Kev damas support
Vichekesho 4G
30/10/2024
26/10/2024
24/10/2024
Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng. Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.
Shamrashamra za kutunuku tuzo hizi za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa na Tuzo hiyo ya Rais Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Mhe.Ali Jabir Mwadini.
19/10/2024
Alhamdulilah πππππππΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
19/10/2024
Mtoto KAUTAKA π π π π π
15/10/2024
KILA LA HERI STARS
LEO, Taifa Stars watakuwa dimba la nyumbani, Benjamin Mkapa wakisaka ushindi dhidi ya DR Congo mechi ya kundi H kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia .
07/10/2024
RATIBA YA SIMBA SHILIKISHOπ₯π₯π₯
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Mbeya