AbieWinfield

AbieWinfield

Share

Ministering in gospel music, praise and worship services

Photos from Mwl Mkumbo's post 15/05/2026

Hii neema isikupite mtu wa mbeya, karibu Itili Moravian Sae, au ingia youtube tafuta Moravian Itili utabarikiwa sana

08/05/2026
30/04/2026

Njoo tumuhubiri Yesu wa Kweli watu wapate uzima

30/04/2026

Huu ni wakati wakuhubiri injili mahali popote kwahali yoyote siyo wakati waku chagua mazingira. Mungu anataka watu waliyo tayari ....je uko tatari kumuhubiri Yesu wa kweli?

Abie Sigauke 28/04/2026

Habari ya asubuhi. Leo nakualika kutembelea ukurasa wangu wa you tube usikilize wimbo "NIMEKUTEGEMEA" kupitia hii link

Abie Sigauke 6 likes, 1 comment. "Abie Sigauke _ Yesu Nimekutegemea_ (Official Video)"

23/04/2026

Kuogopa kushindwa ni kushindwa tayari, kuwa tayari kujifunza kupitia kushindwa ni kushinda.

18/04/2026

Kila siku mpya ni fursa yako, usiache na wala usichoke kupambana .

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Ituha
Mbeya
255