G-Plus Pharmacy
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from G-Plus Pharmacy, Health/Beauty, Kiwira/Tandale, Mbeya.
- Tunauza dawa jumla na rejareja
- Elimu na ushauri kwa magonjwa yote ni bure
- Ushuari wa matumizi sahihi ya dawa
- Daktari wa meno anakuwepo jumamosi na jumapili.
07/02/2025
04/03/2023
Microscope slides kwa matumizi ya maabara zipo.
Karibu G-Plus pharmacy tukuhudumie.
03/03/2023
Diapers za watu wazima zipo. Jumla na rejareja.
Cont.. 0768416166
G-Plus Pharmacy karibu tukuhudumie.
02/03/2023
Spray kwaajili ya maumivu zipo pia.
Kuuliza bei piga au whatsapp namba 0768416166
Karibu.
01/03/2023
Mashine za kupimia sukari na strips zake zinapatikana.
Jumla na rejareja.
Karibu G Plus Pharmacy.
28/02/2023
Mizani zaa kupimia uzito zipo na zinapatikana dukani kwetu.
Karibu
25/02/2023
Mashine za kupimia presha sasa zinapatikana dukani kwetu.
Ni rahisi kuitumia na inafaa kwa matumizi ya nyumbani na hospitali.
KARIBU.
16/04/2021
Mafuta ya rasi/dredz ya ujazo wa 125mls, 250mls na 500mls yanapatikana dukan kwetu. KARIBU
17/03/2021
USHAURI BURE KABISA
▪︎Tutakushauri matumizi sahihi ya dawa unayohitaji au tutakusaidia kutumia dawa ambayo tutaona inakufaa zaidi.
TUNAPATIKANA
▪︎Kiwira-Tandale,Mbeya karibu na Kanisa la Moravian Kiwira.
MAWASILIANO
#0768416166
#0752004657
15/03/2021
RINJU - BODY AND HAND LOTION
□ Rinju inasaidia kutunza ngozi yako ina manukato mazuri,inanukia vizuri mno inaondoa mabaka na kulainisha ngozi.
□ SASA RASMI YANAPATIKANA DUKANI KWETU.
□ Kupata yako sasa tupigie 0768416166
.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kiwira/Tandale
Mbeya
Opening Hours
| Monday | 01:30 - 18:00 |