Bawasiri Therapy
Bawasiri Ni Mtindo Mbovu Wa Maisha Tunaoishi Kila Siku...
09/01/2025
K**a na Wewe ni Miongoni mwa Watu ambao
Wanasumbuliwa Sana na Hii Hali ya Kinywa
Kutoa Harufu Mbaya Sana Kila Siku
Hata Baada ya Kupiga Mswaki
Unakuta Bado Mdomo Unanuka
Mpaka Unajisikia Vibaya Hata Kuwa Karibu na ndugu, Jamaa na Marafiki
Kwa Sababu ya Kuhofia Mdomo Kutoa Harufu Kali
Sasa Leo Nataka Ku Share Kitu Kidogo Tu
Nini Kinasababisha Mdomo Kutoa Harufu Kali
Wengi Wanadhani Shida ni Mdomo ambao Unatoa Harufu
Lakini Shida Sio Mdomo
Tatizo Kuu Lipo Kwenye;
"Mfumo Wako wa Chakula"
Ndio, Maana Yake Mfumo Wako wa Chakula Haupo Vizuri
Mfumo Wako wa Chakula ni Mbovu
Hivyo, Hiyo Harufu Kali Inatokea Kwenye Mfumo wa Chakula
Yaani Kutoka Kwenye Tumbo na Utumbo
Ko Watu Wengi Wanaanza Kuhangaika na Mdomo
Bila ya Kujua Hii Shida Inaanzia Wapi...
Kitu cha Muhimu Sana Ili Kusafisha na Kurekebisha
Mfumo wako wa Chakula Uwe Vizuri
Ni Kutumia
" Juisi ya Limao "
Juisi ya Limao Huwa Tunaita ni Kiosho cha Mwili wa ndani
Tumia Juisi ya Limao asubuhi Kabla ya Kupata
Kifungua Kinywa.
Afya Bora
Ni Wewe
Mwenyewe
Mshauri Wako
Mwankenja Adam
08/01/2025
08/01/2025
Cheza Vizuri.
08/01/2025
Bush Diet...
08/01/2025
Leo nataka nizungumzie Suala Moja ambalo
Linawatesa Wengi Sana Kila Siku
Hasa Hasa kwa Watu Wenye Changamoto ya Bawasiri
✅ Kupata Choo Kigumu Sana.
Hali ambayo Inamfanya Mtu atumie Nguvu nyingi Sana
Wakati wa Kujisaidia Haja Kubwa
✅ Kupata Maumivu Makali Sana Wakati wa Kujisaidia Haja Kubwa
Kwa Sababu ya Kile Kinyesi Kinakwangua Vile Vinyama
Katika Njia ya Haja Kubwa na hii Hali Inaweza Kupelekea
Kuota Vinyama Vingine Tena
unakuta Mtu ana Vinyama Zaidi ya Viwili au Vitatu
Katika Tundu la Haja Kubwa
Kwa Sababu ya;
''Choo Kigumu ''
✅ Kutumia Nguvu nyingi Sana.
Kikawaida Mtu anavyojisaidia Inabidi atumie
Misuli ya Tumbo Ku- Push Haja Kubwa
Lakini K**a Choo ni Kigumu Sana
Itamlazimu atumie Misuli ya Mwili Mzima
Kwa Nguvu Zote...
Unakuta Mpaka Mishipa ya Kichwani Kwenye Komwe
Imevimba Ili Mtu apate Choo
Mpaka Mtu amalize Tayari Kachoka Vibaya Mno
Mpaka
" Kizungu zungu "
Hayo ni Baadhi Tu ya Madhara ya Kutumia sukari
Yaani
Vinywaji Vyenye Sukari Sana
Mfano;
🚫 Soda Nyeusi
🚫 Juisi zaViwandani
🚫 Energy Drinks
Pia na Vyakula Vyenye Sukari Sana
Mfano;
🚫 Keki
🚫 Maandazi
🚫 Mikate ya Viwandani
Kwa Ushauri Zaidi
Kwa Wale
Wenye Matatizo ya Kupata Choo Kigumu
au
Kutopata Choo Kabisa
Wasiliana nami
'' *0766 931 400* ''
Mtindo wako wa Maisha,
Ni Wewe,
Unae amua.
"Epuka Sukari"
Mshauri Wako,
Mwankenja Adam...
13/11/2024
Badili Mtindo, Badili Maisha.
05/09/2024
Watu Wengi Huwa Tunakosea Hapa
Kwenye Suala la Matunda
Na ni Kitu Ambacho Kimezoeleka Sana
Kula Matunda Baada ya
Kula Chakula
Sasa Leo Nikupe Somo Kidogo
Ndani ya Sekunde 60 Zijazo
Utaenda Kujifunza Siri Muhimu
Ya Ulaji Mzuri wa Matunda
Twende Kazi...
Matunda inabidi Yaliwe Kabla ya Kula Chakula
Tena Yaliwe Saa Moja Kabla ya Kula Chakula
Najua Unajiuliza Kwanini?
Ok Vizuri Sana
Matunda ni Rahisi Sana
Kumeng'enywa au Kusagwa
Na Virutubisho Vyake Kufyonzwa Ndani ya Mwili
Ikiwa Tumbo Litakuwa Empty
Yaani Tumbo Halina Chakula
Ukifanya Hivi Utakuwa
Umefanya Mwili Kuweza Kupata
Vitamins na Madini Yatokayo
Kwa Matunda Kiurahisi Zaidi
Lakini Watu Wengi Huwa Wanakula Matunda
Baada ya Kula Chakula Kitu Ambacho
Sio Sahihi Kwa Mwili
Kwanini?
Kwa Sababu...
Ukila Chakula afu Ukala Matunda
Haya Matunda Yanakuw ni Vigumu
Kumeng'enywa au Kusagwa
Kwa Sababu Yamekutana na
Chakula Kizito Tayari Tumboni
Hivyo Basi Vitamins na Madini Yaliyopo
Kwenye Hayo Matunda Hayatafyonzwa Mwilini
Kwa Hiyo Utakuwa Umeupa Tu Mwili
Mzigo Mzito Sana wa Kufanya Umeng'enyaji wa Chakula
Pamoja na Matunda
Ngoja Nikuulize Swali Kidogo?
Hivi Ushawahi Kula Chakula afu Baada ya Hapo
Ukala Tikiti Maji?🍉
Ulijisikiaje??
Najua Hii Experience Kila Mtu Anayo
Yah Ulihisi Tumbo Limejaa Sana...
Ila Ungeanza Kula Tikiti Maji afu Baadae
Ukala Chakula Inakuwa ni Vizuri Zaidi
Na Hii Itakufanya Usile Chakula Kingi Sana
Na Hii ni Nzuri Sana Kwa Wale Ambao Hawataki
Kuongezeka Uzito wa Mwili
Kwa Leo Tuishie Hapo
Kula Matunda kwa Afya Yako
Mshauri Wako
Adam Mwankenja...
04/09/2024
Changamoto Nyingine Kubwa Zaidi
Ambayo Inawasumbua Watu Wengi
Wenye Tatizo la Bawasiri
Ni, Kuharisha
Suala la Kuharisha ni Suala la Kawaida
Ambalo Linamtokea Kila Mtu na Muda Wowote
Bila Kutarajia
Lakini Hili Suala Tunaweza Tukalipunguza
Ka Kiasi Fulani Ili Tusipate Majanga Zaidi
Hasa Hasa Kwa Mtu Mwenye Bawasiri
Huwa Inakua ni Hatari Zaidi
Kwa nini? Utauliza
Ok Vizuri Kwa Kuuliza
Kwa Sababu
Kitendo cha Kuharisha Huwa Kinasababisha
Maumivu Makali Sana Kwa Bawasiri
Au Vile Vinyama Katika Njia ya Haja Kubwa
Yaani Haya Maumivu Huwa Yanakuwa Mara Saba Zaidi
Ya Maumivu Kawaida
Inaweza Kupelekea Mtu Asiweze ata Kuketi
Kwenye Kiti Kwa Sababu ya Maumivu Makali
Hivyo Basi
Hakikisha Unakula Chakula Salama Kwa Tumbo Lako
Hata K**a Unakula Mgahawani
Hakikisha Unachagua Mgahawa Mzuri na Msafi
Ni Bora Ugharamie Chakula Ghali ata Kwa 15,000/=
Kuliko Kula Chakula cha 3000/=
Ukaharisha na Kuishiwa Maji Mwilini
Na Kwenda Kulazwa Hospitali na Kulipa Gharama Zingine
Zaidi ya Ile ya Kugharamia Chakula
Kwa Hiyo Hakikisha Una Kuwa Selective
Yaani Uwe Mtu Mwenye Uwezo wa Kuchagua
Nile nini? Nisile Nini?
Nile Wapi? Nisile Wapi?
Kula Salama Kula Vizuri
Mshauri Wako
Mwankenja Adam
03/09/2024
Matokeo ya Mtindo Mbovu wa Maisha
Tunaoishi nao Kila Siku
Imekuwa ni Gumzo Kwa Sasa
Hasa Hasa kwa Magonjwa
Yasiyo ya Kuambukizwa
Ikiwemo Bawasiri
Imekuwa ni Changamoto
Kubwa Sana Kwa Watu Wengi Sanaa
Hivyo Basi
Kitu cha Kwanza Kabisa
Kabla Hata ya Kuhangaika
Kutafuta Hiyo Dawa
Jichunguze Mtindo Wako
Wa Maisha
Badilika
Sio Rahisi
Ila, Inawezekana...💪🏽
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the practice
Website
Address
Mbeya
53220