Elisha abel
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Elisha abel, Sports, Isangar, Mbeya.
31/12/2023
Happy new year๐๐๐๐
20/11/2023
Just been told:
Simba SC have officially opened talks with Tunisian gaffer Radhi Jaรฏdi (48) to take over as the clubโs new head coach. ๐จ๐น๐ณ
Jaรฏdi previously worked at Southampton, Hartford Athletic, Cercle Brugge and ES Tunis.
Itโs over for Benchikha and Pablo Franco Martin but Sven Vandenbroeck is still considered as the last option.
Simbaโs plan is to have a permanent head coach on the bench before facing ASEC Mimosas in the CAF Champions League.
๐ฆ
16/11/2023
๐ฉ๐๐ฃ๐๐๐ข ๐ฉ๐๐๐จ๐๐ช๐ ๐ญ๐๐๐๐
Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo :
FT': Yanga SC 9-0 Simba SC (1938)
FT ': Yanga SC 5-0 Simba SC (1968)
โฝโฝ Maulid Dilunga 18' Pen, 43'
โฝโฝ Salehe Zimbwe 54', 89'
โฝ Kitwana Manara 86'
๐ p๐ถ๐ฟ๐ฎ ๐ธ๐๐ฎ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ถ :
Tarehe 3 Machi 1969 :
Simba SC waligoma kurejea Uwanjani kipindi cha pili baada ya kufungwa (3-0). Yanga SC walipewa pointi (3) na mabao (3) mezani.
FT: Simba SC 6-0 Yanga SC (1977)
โฝ Selemani Sanga OG 20'
โฝโฝโฝ King Kibadeni 10', 42', 89'
โฝ โฝJumanne Masimenti 60'
๐ฆ๐ต๐ถ๐ธ๐ฎ ๐บ๐ธ๐ผ๐ป๐ผ :
Mwaka 1988, Yanga SC waliwasaidia watani zao Simba SC wasishuke daraja. Mchezo wa mwisho wa ligi kuu', Yanga wakishinda wanatwaa Ubingwa, Simba wakisare au kupoteza wanashuka daraja. Yanga hawakumkaba kwa makusudi, Hamisi Shikamkono ili afunge goli Simba wasalie ligi kuu.
Shikamkono akafunga goli, Simba wakasalia ligi kuu na Yanga wakaukosa Ubingwa. Msimu huo Simba SC walikuwa na mgogoro mkubwa baina ya katibu mkuu, Jimmy David Ngonya na wazee wa klabu hiyo.
Mpaka sasa Simba na Yanga ndio klabu pekee ambazo hazijawahi kushuka daraja ligi kuu Tanzania tangu ianzishwe.
๐ฌ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐๐ถ๐บ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฒ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐ฆ๐ถ๐บ๐ฏ๐ฎ ๐ฆ๐ :
Mwaka 1998, Yanga SC waliazima wachezaj kutoka Simba SC ili waongeze nguvu kikosini kwao kwenye michuano ya CAF champions league ambapo Yanga ndio walikuwa klabu ya 1 East Africa kuingia group stage.
Wachezaji walioazimwa ni :
- Monja Liseki
- Shabani Ramadhani
- Alphonce Modest
Zamani hawakuwa maadui ๐
FT': Simba SC 5-0 Yanga SC (2012)
โฝโฝ Emmanuel Okwi 2', 62'
โฝ Felix Sunzu (Penati) 56'
โฝ Juma Kaseja (Penati) 67
โฝ Patrick Mafisango (Penati) 72'
FT: Simba SC 1-5 Yanga SC (2023)
โฝ๏ธ Kibu Denis ๐
ฐ๏ธ Ntibazonkiza 9'
โฝ๏ธ Musonda ๐
ฐ๏ธ Yao 3'
โฝ๏ธ Nzengeli ๐
ฐ๏ธ Aziz Ki 63'
โฝ๏ธ Stephanie Aziz Ki ๐
ฐ๏ธ Mzize 73
โฝ๏ธ Maxi Nzengeli ๐
ฐ๏ธ Mzize
16/11/2023
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Mpira wa Miguu (IFFHS) limetoa takwimu ya viwango vya klabu kwa kipindi cha Novemba Mosi, 2022 hadi Oktoba 31, 2023 ambapo kwa Tanzania klabu ya Yanga inashika nafasi ya 4 kwa Afrika na 53 duniani kutoka 60 huku Simba ikishika nafasi ya 13 Afrika na 154 duniani kutoka 148.
10 bora Afrika ipo hivi;
1. Al Ahly
2. Wydad Casablanca
3. Pyramids FC
4. Yanga
5. Mamelodi Sundowns
6. Raja Casablanca
7. FAR Rabat
8. CR Belouizdad
9. Zamalek SC
10. Esperance
16/11/2023
16/11/2023
From Azam FC Academy to the world! ๐
Tunamtakia kila la kheri mshambuliaji wetu chipukizi, Cyprian Kachwele, aliyejiunga na timu yake mpya ya Vancouver Whitecaps () inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani (MLS).
Kachwele, amelelewa kwenye kituo chetu cha Azam FC Academy () kabla ya kupandishwa timu kubwa mwishoni mwa msimu uliopita na kucheza baadhi ya mechi, akifunga mabao matatu katika mechi za mashindano.
All the best champion boy! ! ๐๐
16/11/2023
Zimbabwe goalkeeper coach George Chigova passed away this morning at his home in Midrand, South Africa. ๐จ๐ฟ๐ผ
He collapsed and his case is quite similar to that of Raphael Dwamena. ๐
Terrible news and may his soul, rest in peace! ๐๐๏ธ
16/11/2023
On Abdelhak Benchikha, I understand that his demands are becoming too difficult for Simba SC to meet. ๐จ๐ฉ๐ฟ
Simba are still exploring their options available. โOnly matter of timeโ, I am told. โ๏ธ
๐ฆ
๐จ ๐๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐
Gift Fred beki raia wa Uganda is Green ๐ข n Yellow ๐ก
Mamadou Doumbia ๐OUT Gift Fred ๐ IN
NB;Gift Fred huyu ndio beki bora msimu huu Uganda 2022-2023.Karibu kwenye familia ya mabingwa Tanzania.
๐จ ๐๐ฉ๐๐ ๐ง๐ข๐ช๐ก
Wachezaji wa Yanga wataanza kuripoti kambini kuanzia jumatatu ijayo tarehe 10.7.2023 kambini Avic town,, Uongozi wa Yanga umewapa muda wa wachezaji wote kuripoti kambini mwisho siku ya jumatato.
Alhamisi wachezaji wote watafanyiwa vipimo vya afya kabla ya Kuanza kwa maandalizi ya msimu mpya.
๐ข๐ก
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Isangar
Mbeya
SRT