Azedy

Azedy

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Azedy, Business service, Mafinga.

04/08/2024

SIMBA TAFUTENI MSHAMBULIAJI MWINGINE DIRISHA BADO HALIJA FUNGWA.

Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mshambuliaji mwingine , Akili yangu inaniambia nimpe muda Mukwala ila roho ina sita.

✍️Juma Ayo mchambuzi wa Crown FM.

Cc✍️ WadadaSport

04/08/2024

✍️Hii Simba naipa muda tu Kwa sababu sijaona utofauti wake na Ile ya msimu ulio pita.

✍️Hii naipa muda Kwa sababu Ina wachezaji wengi wapya.

✍️Kama wakicheza hivi dhidi ya Yanga hiyo tarehe 8 Kuna asilimia 98 ya Yanga kupata matokeo mazuri siku hiyo, Kwa kifupi sioni Simba ya kuifunga Yanga hiyo tarehe 8.

Cc✍️ WadadaSport

Want your business to be the top-listed Business in Mafinga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Mafinga