Kaps Community Development

Kaps Community Development

Share

KAPs foundation Ltd is a Non-Governmental Organization (NGO) which has established Training Institute which is known as KAPs Community Development Institute.

The institute is under National Council for Technical Education (NACTE)

25/02/2021

KARIBU UJIUNGE NA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII KAPS MAFINGA HAUTA JUTA. KARIBU SAANA

20/08/2020

CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII KAPs

Katika Mwaka wa Masomo 2020/2021 chuo kinatangaza nafasi za Masomo katika fani zifuatazo

MAENDELEO YA JAMII KWA NGAZI YA CHETI

SIFA ZA MUOMBAJI

Katika Kozi Ya Jamii Kwa Ngazi Ya Cheti
Awe amehitimu kidato cha Nne na kufaulu angalau Masomo (4) Yaani (Pass nne) Au D4 Katika Masomo Aliyosoma au
Awe amemaliza chuo cha Ufundi ambacho kimesajiliwa na Veta na kutunukiwa National Vocational Award Level 3 (NVA 3)

MAENDELEO YA JAMII KWA NGAZI YA DIPLOMA

Awe Amemaliza kidato cha sita na kupata principal pass moja na subsidiary pass moja au Basic Technician Certificate in related Programmes (NTA 4)

Chuo kimesajiliwa na NACTE Kwa Namba za Usajili REG/PWF/047

Fomu zinapatikana kwenye website ya chuo www.kapsinstitute.co.tz au fika jengo la CCM Mkoa wa Iringa Chumba na 9 au chuoni Mafinga Kinyanambo C

MWISHO WA USAJILI NI TAREHE 15/09/2020

Kwa Mawasiliano Piga 0755905278, 0717676824, 0764059729

Want your university to be the top-listed University in Mafinga?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Address

Kinyanambo C
Mafinga