DRAC unit

DRAC unit

Share

Funny page πŸ˜‚πŸ˜‚

25/11/2024

πŸŸ₯ Mpaka mda huu huyu jamaa anakuja kuwa tishio sana kwenye mpira wa bongo, ameanza na kukataa mastaa kwenye timu yake πŸ˜‚

"Kwenye timu yangu sina mchezaji mashuhuri (Staa) kuliko mwingine. Wachezaji wote nawapa haki sawa kwa kuzingatia juhudi zao kwenye uwanja wa mazoezi. Ili tushinde lazima wachezaji wawe na umoja. Natambua ubora wa kila mchezaji lakini jambo la muhimu kwangu ni namna gani mchezaji anatumia uwezo wake kuipa timu matokeo" Sead Ramovic

25/11/2024

πŸŸ₯ Unaambiwa kocha mpya wa YYoung Africans Sports Clubni kocha pekee kwenye ligi ya NBC ambaye anaweza kucheza nafasi yoyote dimbani....

FFollowers

Want your business to be the top-listed Media Company in Kyela?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Mbeya
Kyela