MBAGO PRO
Mbago Pro β Tamthilia, Filamu, na Vichekesho vya Kipekee! Jiunge nasi kwa hadithi zinazogusa, kuhamasisha, na kutoa burudani ya kipekee!
Karibu kwenye Mbago Pro, ambapo tunaleta hadithi zenye ubunifu, vichekesho vya kusisimua, na tamthilia za kipevu. MBAGO PRO ni kituo cha mtandaoni (Online Channel) kituo hiki kinajihusisha na urushaji wa video mbalimbali za sherehe na kutoa elimu kuhusu urembo kutoka kwa wataalamu husika, Lengo likiwa ni kupeleka elimu kwa jamii na wadau
16/05/2025
28/02/2025
Umetazama interview hii, K**a bado bonyeza hapa kuitazama
https://youtu.be/D9kOQGr4DwY
Usisahau ku-subscribe k**a bado ujafanya hivyo, Ku-comment, Ku-share na marafiki na Ku-Like
Monica amechoshwa na madai ya mchepuko wake! Akimkabili kwa hasira, anakanusha kabisa kuwa mimba hiyo ni yake na kumshutumu kuwa ametumwa na mtu mwenye nia ya kuvuruga maisha yake. Je, kuna ukweli wowote katika madai ya mchepuko? Au kuna mchezo mchafu unaochezwa nyuma ya pazia? Tazama clip hii kali kutoka Haki ya Mapenzi!
Monica anapokea simu ya mchepuko wake, lakini habari anazopata zinamchanganya kabisa! Mchepuko wake anadai kuwa ana mimba yake, jambo linalotishia kuvuruga kila kitu. Je, Monica atajibu vipi? Ataficha ukweli au ukweli utajidhihirisha? Tazama clip hii ya kusisimua kutoka Haki ya Mapenzi!
Monica anapokea simu ya mchepuko wake, lakini habari anazopata zinamchanganya kabisa! Mchepuko wake anadai kuwa ana mimba yake, jambo linalotishia kuvuruga kila kitu. Je, Monica atajibu vipi? Ataficha ukweli au ukweli utajidhihirisha? Tazama clip hii ya kusisimua kutoka Haki ya Mapenzi!
Haki ya Mapenzi inasimulia hadithi ya mapenzi yenye changamoto na mvutano kati ya wawili wanaopigania upendo wao dhidi ya maadui wanaoingilia. Je, ni nani atakayepewa haki ya upendo katika dunia inayoshindwa kuona tofauti za kweli? Jiunge na sisi katika safari hii ya kipekee ya mapenzi, usaliti, na ujasiri. Episode ya kwanza inakuja hivi karibuni!
Safari ya sanaa si rahisi! ππ¬ Kini anafunguka kuhusu safari yake ya kisaniiβmwanzo wake, mapambano aliyopitia, na changamoto zilizomtengeneza kuwa msanii alivyo leo. Je, unajua ni mambo gani magumu wasanii hukutana nayo njiani? Tazama clip hii na ujifunze kutoka kwa uzoefu wake!
π Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa zaidi kutoka Mbago Pro!
Je, ni nini kinachomfanya mwanaume kuondoka nyumbani na kutokurudi tena? π€ Subira anaweka wazi mtazamo wake kuhusu tukio hili linalowakumba baadhi ya wanandoa na wapenzi. Je, unakubaliana naye au una maoni tofauti? Drop your thoughts below! π
Subira anafunguka kuhusu wasanii anaowapenda! π Kwa nje, moyo wake unapenda uigizaji wa Seiran, nyota wa Golden Boy, lakini hapa Tanzania, anampenda Wema Sepetu kwa mvuto na kipaji chake. Je, unakubaliana naye? Tazama clip hii na tupe maoni yako! π
π Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa zaidi kutoka Mbago Pro!
#
Subira anasimulia changamoto alizokutana nazo wakati wa kurekodi tamthilia ya Chanda Chema. Mpenzi wake hakujua kinachoendelea, hivyo ilibidi atoroke ili afanikishe ndoto yake! π¬π₯ Je, ungehimili hali k**a hii? Tazama simulizi yake kamili hapa!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kibaha
61201