MAS - FARM

MAS - FARM

Share

Tunatoa elimu kuhusu mazao,mbegu, afya ya wanyama na vyote vinavyohusu kilimo na mifugo ikiwa ni pamoja na kumuunganisha mkulima na soko Karibuni sana.

23/01/2026
03/03/2024

Dhahabu F1, Mchumo wa pili huu

10/08/2023

MBOLEA ZA KUKUZIA MAHINDI.

Ni mbolea zinazotumika baada ya mimea kuota kwa lengo la kuikuza mimea ili itoe mavuno bora. Mara nyingi mbolea hizi zinatoa kirutubisho cha naitrojeni. zifuatazo ni mbolea za kukuzia na kiwango chake cha naitrojeni:

i/ UREA: 46% N
ii/ Calcium Ammonium Nitrate, CAN: 23% N
iii/ Sulphate of Ammonia, SA: 21%

Urea inakirutubisho cha naitrojeni kwa kiwango kikubwa na watu wengi wanauzoefu nayo. Vilevile bei yake ni nafuu ikilinganishwa na mbolea zingine za kukuzia. Mbolea hii iko katika hali ya chengachenga za mviringo (granules) za rangi nyeupe. Kiwango cha urea ni nusu kizibo cha soda kwa kila shina. Mbolea hizi hazidumu kwenye udongo kwa muda mrefu kwa hiyo huwekwa shambani wakati mimea inapokuwa na mahitaji makubwa ya kirutubisho cha naitrojeni na wakati udongo una unyevunyevu na shamba halina magugu.

Pia wakulima hutumia mbolea za kukuzia zinazopatikana kwa bei nafuu k**a vile BOOSTER (foliage nitrogeneous fertilizers) ambayo hupigwa kwa kunyunyizia katika majani ya mmea kila baada ya wiki 3, kwa mara 2-3 mpaka mahindi kuvunwa.

Kiwango cha kupiga ni mchanganyo wa mls 50-80 katika lita 15 za maji. Mbolea za kukuzia huwekwa kuzunguka kila shina la mimea au pande mbili au tatu au nne za kila shina. Cha muhimu ni kwamba mbolea isirundikwe sehemu mmoja.

10/08/2023

Nyanya imekubali.

10/08/2023

Nane nane

Photos from MAS - FARM's post 12/06/2023

Pilipili Hoho.

05/06/2023

Msimu

09/12/2022

Tumebadili jina la ukurasa wetu lakini huduma zetu ziko palepale

16/03/2022

Tumerejea kuendelea kutoa huduma kwa wakulima na wafugaji, karibuni Sana.

Want your business to be the top-listed Business in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Kwa Matias
Kibaha