Wajasitz

Wajasitz

Share

Wajasitz ni mtandao ambao unakupatia fursa ya kununua bidhaa zenye ubora kwa bei nafuu kabisa kutoka katika duka letu la Mtandao.

Tunauza bidhaa mbalimbali za Asili kabisa zilizotengenezwa na wajasiriamali wazawa wa Tanzania

08/12/2022

Ebu fikiria changamoto ya kuamka asubuhi halafu ukakumbana na kadhia ya kutafuta dawa ya meno, kumbee ipo chumbani kwa watoto, au uliichanganya na mavitu mengine. Vipi k**a ukiwa na kifaa k**a hiki? Hakuna tena changamoto ya "Iko wapi dawa ya meno"

Ni rahisi sana kutumia, na pia inakupa matumizi sahihi kabisa ya dawa yako ya meno.

Utaletewa popote ulipo: 0689629763
WhatsApp: +255 656 142 433

Stock Management and Accounting System 08/12/2021

Stock Management and Accounting System -

Stock Management and Accounting System Managing and promoting your business has never been easy, that is why Wajasitz come up with the idea of facilitating the SMEs/Businesses with less effort to managing their business and gaining control of it.Today, we are happy to introduce to you our new for SMEs/Businesses to manage their...

02/12/2021

Jipatie mfumo mahsusi wa kutunza kumbukumbu ya biashara yako, mfumo huu utakusaidia:
1. Kufuatialia gharama za uzalishaji za biashara yako
2. Kufuatilia bidhaa
3. Mishahara kwa wafanyakazi wako
4. Kutunza kumbukumbu za ulipaji kodi
5. Faida ya kila bidhaa
6. Malighafi za uzalishaji
7. Taarifa ya mapato na matumizi
8. Kufuatilia uzalishaji wa bidhaa
9. Kufuatitia uwekaji wa pesa bank
10. Kuhifadhi taarifa za wateja
11. Kuhifadhi taarifa za mauzo
12. Akaunti ya mfumo wa mauzo (Point of Sale)

Kwa sasa, unaweza kuujaribu mfumo huu bure kabisa kwa siku 15, na baada ya hapo utatakiwa kulipia

Ingia hapa: https://daimsy.com

Photos from Wajasitz's post 26/01/2021

Karib Ujipatie saa ya kisasa kabisa kwa bei poa, bei ya punguzo.

**Sifa za Saa hii**

1. Ina uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku 3
2. Ina camera yenye uwezo wa hali ya Juu
3. Unaweza ukaitumia k**a simu kwa ina sehemu ya Memory card pamoja na sim card (Line)
4. Unaweza ukaitumia ku control music kwa njia ya bluetooth kwenye simu au radio yako
5. Inakupa uwezo wa kupiga na kupokea simu, pamoja na kuona majina yote ya kwenye simu yako
6. Ina uwezo wa kutuma na kupokea sms, na kupata taarifa toka kwenye mitandao yote ya kijamii

Saa hii utaipata kwa bei ya Punguzo ya Tshs. 85,000/= Karibu sana.

Kwa mawasiliano zaidi:
WhatsApp: 06561424344
SMS/Calls: 0689629763

S

29/12/2020

Karibu ujipatie Smart Watch yenye sifa zifuatazo kwa bei nafuu kabisa:

1. Huwezo wa kukuwezesha kupata taarifa mbalimbali toka kwenye simu yako k**a vile SMS, WhatsApp chats, Calls, Instagram notification n.k

2. Ina ukubwa wa memory yenye kukuwezesha kuhifadhi hadi nyimbo 50

3. Inakupa uwezo wa kuchunguza mwenendo wako wa ki afya k**a vile Kupima mapigo ya moyo, msukumo wa damu na kiwango cha oxygen kwenye damu

4. Unaweza kuunganisha na wireless headphone/earphone na kusikiliza nyimbo

5. Kupiga na kupokea simu

Na sifa zingine nyingi....

https://wajasitz.com/product/classic-smart-watch-2/

28/06/2020

Five steps to go...
Watch the video to start selling on wajasitz marketplace..!!

https://wajasitz.com

Photos 17/06/2020

Karibu wajasitz.com kwa mahitaji ya bidhaa mbalimbali za ki asili ja halisi za wajasiriamali wazawa wa Tanzania.

Bluetooth Smart Watch - Wajasitz 15/04/2020

Karibu Ujipatie saa aina ya "Smart Watch" kwa bei rahisi kabisa.

Tembelea leo duka letu la mtandao ili uweze kuwahi ofa hii kabambe kwa bie ya punguoz la zaidi ya 40%.

>>>>:

Bluetooth Smart Watch - Wajasitz Personalized screen display, colorful UI interface design with  message pushes the caller ID.Monitor physical health changes, detect health data, display risk status, and evaluate results.

Want your business to be the top-listed Business in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Kibaha, Picha Ya Ndege
Kibaha
61104