TAG Rama revival temple

TAG Rama revival temple

Share

YOHANA 4:23Lakini saa inakuja,nayo sasa ipo ambao waabuduo halisi wata mwabudu baba katika Roho kweli

09/06/2023

uabudu nasi Jumapili sisi Tunawapenda wageni.
Ina Anza saa 9:00 hadi 12:30pm.
/mwaka wa kubarikiwa mara (2) mbili .
Wote mnakaribishwa.

05/06/2023

KWA KUABUDU NA SISI .Kanisa TAG Rama Revival Temple. Karibu sana sisi . Tunapenda wageni. Neno la mwaka 2023 Upako Mara mbili (2).
Nyote mnakaribishwa.

04/06/2023

akimshukuru Mungu Matendo Makuu aliyo mtendea Bwana .Katika ibada ya jumapili kanisa TAG Rama Revival Temple.

04/06/2023

YA JUMAPILI 04/ 06/ 2023 KANISA TAG (RRT) : MAJIRA YA KUONDOKA NA KUANGAZA
MHUBILI:EV FADHILI.
WA KUKUMBUKA
*ISAYA 60:1 Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia.

04/06/2023

YA JUMAPILI 04/ 06/2023 KANISA TAG (RRT) TRUE WORSHIPPERS PRAISE WORSHIP TEAMS. Walipata wakati mzuri sana wa kumsifu Bwana. 150:6 Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana. Haleluya.

04/06/2023

YA JUMAPILI 04/06/ 2023 KANISA TAG (RRT) NA Tumemuona Mungu akifunguwa watu katika ibada ya leo. Roho mtakatifu alishuka kulihudumia kusanyiko lake. Karibu Wewe unaye sumbukiwa na magonjwa sungu.Yesu kristo atakuponya bure.
KWA MAWASILIANO
+255762742385
+255785522556

Photos from TAG Rama revival temple's post 04/06/2023

YA JUMAPILI 04/06/2023 KANISA TAG (RRT) NA , Tumemuona bwana akifunguwa watu wengi wenye shida na magonjwa mbalimbali. Bado ujachelewa wewe mwenye shida magonjwa. Karibu maali hapa upokee Uponyaji wa Yesu kristo mtenda miujiza.

Photos from TAG Rama revival temple's post 04/06/2023

YA JUMAPILI 04/06/2023 KANISA TAG (RRT) LA MUNGU
EV: FADHILI
: MAJIRA YA KUONDOKA NA KUANGAZA
MSTARI WA KUKUMBUKA
60:1 Ondoka, uangaze; kwa kuwa nuru yako imekuja, Na utukufu wa Bwana umekuzukia.
-Ni lazima uamue maamuzi magumu Ili utoke maali pengine, Upandishwe sehemu nyingine Tena.
-Ni lazima utambue maali ulipo, Na unapo kwenda majira yako yakukaa na unapo endelea mbele.

Photos from TAG Rama revival temple's post 04/06/2023

YA 04/06/2023 KANISA TAG (RRT) Leo Tulipata wakati mzuri sana, bwana tumeziona nguvu zake zikishuka katika kumwabudu bwana.

Photos from TAG Rama revival temple's post 04/06/2023

ya jumapili kanisa TAG (RRT) Bwana alituhudumia kupitia Sifa
150:3 Msifuni kwa mvumo wa baragumu; Msifuni kwa kinanda na kinubi;

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Kibaha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Kibaha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAG Rama revival temple posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Kibaha.