Phyner Store

Phyner Store

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Phyner Store, Shopping & retail, Kariakoo.

12/05/2025

Doti setii
Sahani kubwa 6
Side plate 6
Bakuli 6
Vikombe 6
Serving seti zinakua pcs 3

Call/ watsap 0789431587
MALIPO BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKO POPOTE ULIPO

12/05/2025
01/01/2025

Heri ya mwaka mpya wapendwa wanguu
Hakika ninyi ni watu wa thamani kubwa kwangu

Katika mwaka huu mpya 2025 tutakua na maboresho mengi katika biashara yetu na mengi ni mazuri
Usikae mbali nasi kuanzia sasa
Nitaendelea kuwapa mrejesho wa kila kitu kitakachokua kinaendelea

NAWAPENDA SANA MUWE NA SIKU NJEMA❤️

03/12/2024

Hotpot nzuri
Indian made
Zinatunza moto kwa muda mrefu

Zinapatikana kwetu,
Tupo kariakoo, mtaa wa agrey na lumumba

Tunafanya delivery ndani ya dar es salaam na mikoani pia

MALIPO BAADA YA KUPOKEA

CALL/WATSAP 0789431587

30/11/2023

Jagi na glass zake 6
Material ni kioo kizitoo
Wahiii kabla mali haijaishaa tsh 50,000

Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey na livingstone
Lakini pia tunafanya delivery,
Popote ulipo mzgo utakufika

Na habari njema ni utalipia ukishapokea mzgo wako

29/01/2023

Chupa nzuri ya chai ujazo lita 3.6, inatunza joto kwa muda wa masaa 48.tsh 60,000

25/11/2020

asante sana kwa kuwa mteja wetu...karibu tena na tenaa😍

Photos from Phyner Store's post 25/11/2020

Chagua uipendayo na ujipatie kwa bei nzuri kabsaa....
call/watsap 0789431587.
unaweza kubonyeza link kwenye bio yangu ili kujiunga na group letu na kujionea bidhaa nyingi zaidii

Photos from Phyner Store's post 22/11/2020

karibu tukuhudumiee...

call/watsap 0789431587
au bonyeza link kujiunga na group letu la watsap na uweze kuona bidhaa nying zaid

Tunafanya free delivery kwa wakazi wa dar na mkoani tunatuma kwa uaminifu

Photos from Phyner Store's post 20/11/2020

Jamanii unaikosaje hii...Nyumba ni vyomboo😃.
karbu tukisikilize

call/watsap 0789431587
tunafanya delivery popotee ulipo na mzigo unakufikia

Photos from Phyner Store's post 19/11/2020

hii siyo ya kukosa kabsaa...weka oda yako mapema.

Nyumba ni vyombo😊😊.

call/watsap 0789431587
unaweza kubonyeza link kwenye bio yangu ili kujiunga na group kwa kupata bidhaa nyingi zaidi

Want your business to be the top-listed Shop in Kariakoo?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Kariakoo