dalalitzee
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from dalalitzee, Real Estate, Kariakoo.
08/05/2025
KIWANJA SQM.1,200 KINAUZWA NA BANK, TSHS.9.5 MILIONI, VIGWAZA/CHALINZE.
Hapa ni umbali wa Mita 700 kutoka Barabara ya Lami/SHULE YA MSINGI VIGWAZA.
Panachangamka kujengeka.
UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
06/05/2025
NYUMBA INAUZWA BEI RAFIKI, TSHS.30 MILIONI, KIVULE FREMU KUMI/kwaNYAHIRI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hii nyumba ibaweza kuhitaji maboresho kiasi.
Mf. Sakafu ni ya Kwaida, Rangi nk.
Vyumba 3 ( Masta1) Pia kuna Sebule,
Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani
Ipo ndani ya Fensi.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
06/05/2025
NYUMBA MPYA, VYUMBA VITATU (3) TSHS.40 MILIONI TU, MBAGALA CHAMAZI/KWADUMBA.
Ni umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami.
Ujenzi wa kisasa.
INAUZWA KWA DHARULA.
Vyumba 3 ( Masta 1) pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Huduma za Umeme na Maji zipo pamoja na Parking ndani ya Geti.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
05/05/2025
NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.350 MILIONI, KINONDONI
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 420.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ina vyumba 3 vya ķulala (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Nyumba ipo ndani ya Fensi na Parking ni kubwa na ya kutosha.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mgy
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
05/05/2025
COASTER, DALADAĹA NZURI YA BIASHARA, TSHS.22 MILIONI, DAR.
Ina Hali nzuri na inafanya Kazi.
Piga: +255714591548
04/05/2025
NYUMBA YA VYUMBA VITATU(3) TSHS.800,000/MWEZI, SINZA.
Kwenye Kiwanja kuna nyumba kubwa na Apartments 2 lakini haziingiliani.
Huu ni upande unaoingia pekeyako.
Isipokuwa Parking tu ni ya witp.
Una Geti lako pekeyako.
Vyumba 3( Masta1 ) Sebule,Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Umeme na Maji unajitegemea.
Eneo ni jirani na Barabara ya Lami.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Ķuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
__________mmD
04/05/2025
NYUMBA/KIWANJA SQM.500, TSHS.350 MILIONI KIJITONYAMA SAYANSI.
Nyumba ni ya kizamani.
Ina vyumba vinne(4) Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_____________emN
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
04/05/2025
MADUKA MATANO, TSHS.270 MILIONI, MAGOMENI MAPIPA.
Hii nyumba inaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.
Mtaa uliojengeka KIBIASHARA.
Hapa kuna Fremu za Biashara/Maduka jumla 5.
Pìa kuna Nyumba ya vyumba vya kulala 2 nyuma.
Maduka yote yana WAPANGAJI kwa sasa.
Ukinunua utaamùa uishi nao au Usitishe Mikataba.
Kodi kila Duka ni Tshs.250,000/Mwezi.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________llk
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
03/05/2025
APARTMENT ZA VYUMBA 2 (MASTA1) TSHS.500,000/MWEZI, SALASALA MWANZO.
Hizi nyumba mpya,
Gombania Goli,
Atakaewahi analipia anachukua nyumba.
UNAANZA KUISHI WEWE HAPA,
-NA BARAKA TELE.--------------------- WAHI.
Ni nyumba mpya za kisasa.
Kila moja ina vyumba 2 vya kulala.
Ambapo chumba kimoja ni Masta na pia kuna
Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani.
Maji na Umeme unajitegemea.
Parking inawekwa Paving punde na kutakuwepo na Garden.
Mazingira ni Sqlama na tulivu.
Sasa wewe chelewa badae ujilaumu.
ZIPO ITA TU NA HAZIKAI HIZI AMINI MIMI.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548.
____________dsl
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
02/05/2025
KUPANGA UTAKE WEWE SASA, NYUMBA YA TSHS. 15 MILIONI, MBAGALA KUU.
Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI.
Maboresho yanayohitajika ni madogo.
Na watu wanaishi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
02/05/2025
ENEO LA BIASHARA, INAUZA BANK,TSHS.45 MILIONI, YOMBO VITUKA.
Hili eneo linaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.
Panafaa kuweka Jengo la kisasa la
Maduka ya BIASHARA (MAFREMU) au
Pamoja na Makazi.
Nyumba iliyopo ni YA KIZAMANI na ina.
●Vyumba 9 vya kulala na
●Frem za Duka 5.
Ukubwa ni Kiwanja SQM.400.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
MUWEKEZAJI HAPA PANAFAA WAHI.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
02/05/2025
KIWANJA CHA KWENYE KONA, 750 SQM. TSHS.65 MILIONI,MBEZI MSAKUZI.
Hapa ni jirani na Serikali ya Mtaa,
Almaarufu Kibao cha Njano.
Wastani wa mita 100 tu kutoka Barabara kubwa.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________jj
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Kariakoo