CHRIS BEE
Presenter:- EBONY FM RADIO | Rapper | Hip Hop | Afro Pop | RnB | Song writer | Recording Artist : UP
🚨 **BRAND YAKO INAONEKANA YA KAWAIDA?** 🚨
T-SHIRTS & CAP PRINTING ..
Ukweli mchungu ni kwamba watu wengi wanawahukumu wafanyabiashara kwa muonekano wao kabla hawajajua ubora wa huduma zao!
Cap na T-Shirt zenye branding ya kitaalamu zinaifanya biashara yako ionekane imara, ya kuaminika, na rahisi kukumbukwa popote unapokwenda.
🔥 Usikose fursa ya kutangaza biashara yako kila siku kupitia mavazi yenye brand yako.
✅ Embroidery Caps
✅ Printed Caps
✅ Embroidery T-Shirts
✅ DTF T-Shirt Printing
✅ Company & Event Branding
📞 Wasiliana nasi leo:
📱 0615 868 248
📱 0655 246 517
âš¡ Weka oda yako sasa na ipe brand yako mwonekano wa kiwango kingine!
16/06/2026
HISILI MUSIC ft KWAZE & WAMWIDUKA - SOJA
12/06/2026
11/06/2026
Ushindi Tena Na My Boss TIGER MNYAMA
Ndio Maua Yetu Sasa Tutafanyaje🤣🤣🤣🤣🤣 Kaka HUYU Binti Simfahamu Ndio Maana Sijam-Tag…….
Tafuta Mtaa Wa Kuwaonea……. Vibe Letu La Mkesha Wa Mwenge Wa Uhuru Lilianzia Hapa. Nitoe Shukrani Zangu Za Dhati Kwa Platform Hii Kwa Big Brother Shukrani Sana Kwa Baraka Zote Ulizonipa Wakati Ukinitambulisha Kwa Umma Huu Nakunipa MIC Niendelee Nao Kwangu Ilikuwa Baraka Tosha….. Shukrani Kwa Wana-IRINGA Wote….. TANZANIA YETU SOTE TUSHIKAMANE KULETA MAENDELEO. Cc
Too Much Love Na Heshima Kwako GOD FATHER, LEGEND, Role Model Wa Wengi Hivi Ndivyo Nilivyopata Nafasi Kwa Heshima Kubwa Kumpandisha Kwenye BIG STAGE Ya Mkesha Wa Mwenge Wa Uhuru 2026 IRINGA….. Tanzania Yetu Sote Tushikamane Kuleta Maendeleo
MAISHA Yakujitoa Sadaka Kwaajili Ya Mwana Au Wana…..
Status Yako Ikoje Kwenye Mbishe Hii. Follow Me!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Iringa
51109
11/06/2026