Super Gro

Super Gro

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Super Gro, Urban Farm, Iringa, Iringa.

17/05/2025

NANI BADO HAJAPATA TONE LA AJABU 0766 930 321

25/03/2025

*SUPER GRO NI NINI?*

NI MBOLEA BORA YENYE UWEZO WA KUPIGA VITA UMASIKINI NA NJAA

*SUPER GRO PIA*
Ni mbolea ya asili isiyokua na kemikali hatarishi. Yenye uwezo wa kurutubisha mmea na ardhi. SUPERGRO ipo imeenea karibu duniani kote na ipo tangu mwaka 1958 INATENGENEZA NA KAMPUNI KUBWA DUNIANI YA KIMARENI

*SUPER GRO IMEWEZA KUJIBU CHANGAMOTO ZA WAKULIMA*

MFANO:
👇👇👇👇
*1⃣Msimu usiotabirika.* Yaani mvua zinaweza kua nyingi au chache, hivyo inapelekea kutokuvuna vzr.
*2⃣Mazao hafifu.* Wakulima wamekua niwatu wanaotumia nguvu kubwa sana kulima lakini hawapati kinachostahili
*3⃣Udongo uloishiwa rutuba.* Tumekua tukilima ktk mashamba yaleyale kwa tangu enzi za babu zetu hivyo kupelekea kupoteza rutuba ya asili
*4⃣Wadudu na Magonjwa.* Hili ninjanga kubwa maana magonjwa yamekua mengi sana ktk mimea na mazao yetu ni kwa sababu rutuba hakuna. (Kumbuka mwenyewe zamani wakati rutuba ipo hali ilikuwa hivi??)
*5⃣Gharama kubwa za pembejeo.*
*6⃣Kutokua na uhakika wa soko.* Mkulima ni mtu ambae hana kabisa uhakika na soko lake maana kunawakati mazao yanauzwa kipindi kuna mteremko wabei nakusababisha hasara. lakini pia hana uwezo wa kuuza masoko ya nje kutokana na kemikali nyingi alizotumia

*SASA,,, Changamoto zote hizi zinajibiwa na👉Super Gro tu.*

*TUANGALIE KAZI KUU 3 ZA SUPER GRO NDO UTAONA NI KWELI NI JIBU LA CHANGAMOTO AU LAA*
1. Hulainisha maji na kuondoa mzio wa maji. Kwani huwezesha maji kupenya hadi tabaka la tatu la udongo ambalo huwa na madini na virutubosho vingi muhim na kuvipandisha juu katika mmeahivyommeaunajitengenezea chakula chake wenyewe..

↘Kwa Kawaida maji mengi hutiririka juu ya udongo na majani ya mimea bila kupenya ardhini na kiasi kidogo tu hupenya na kuishia tabaka la juu la udongo, Jua likiwaka maji hayo hupotea k**a mvuke hewani. *Ila ukitumia super gro huweza kupenya na kwenda kujihifadhi chini ili mvua zikikata unyevu nyevu hupanda juu ili mme usiathirike na jua.*

2. Kuwezesha mizizi kupenya na kufika mbali zaidi ila kwenda kujichukulia Rutuba ambayo haijafikiwa kabisa na sumu yoyote hivo mmea kuweza kuwa bora sana

3. Kuchochea ufanyaji kazi mzuri wa mbolea na viwatilivu kuweza kufanya kazi vizuri pia kunatisha madawa yasiondolewe na m

25/03/2025

Ufuta uliopigwa super gro tone la ajabu mara moja tu baada ya wiki moja mambo yapo hivyo
0766 930 321

25/03/2025

It's super gro tone la ajabu 0766 930 321

25/03/2025

Super gro tone la ajabu nipigie 0766 930 321 kuipata

25/03/2025

Nipigie 0766 930 321

25/03/2025

Super gro

25/03/2025

Huu ni ufuta ulio pigwa super gro wiki moja
0766 930 321

15/03/2025
Want your business to be the top-listed Pet Store/pet Service in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Iringa
Iringa