Bee Excellent
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bee Excellent, Entrepreneur, Don Bosco, Iringa.
Welcome to official page of Bee excellent and General Supply Ltd(BeeGS)
"The beekeepers Hub"
Our service includes:
📌Be equipment supply
📌Bee products supply
📌 Trainings & Consultations
08/06/2026
04/06/2026
Harvest season coming soon
22/05/2026
All about 2026 world bee day
Heri ya Siku ya Nyuki duniani!
K**a upo Tabora usikose kutembelea Banda letu Leo tarehe 20 -22 may kwani utajipatia vifaa vya ufugaji wa nyuki kutoka BEE EXCELLENT kwa bei ya punguzo hadi 30%
Mfano vazi la nyuki kutoka 130000 hadi 90,000/= pekee!!!!
Smoker/ Bomba la Moshi kwa Tsh 39,000/= pekee
Wahi Leo upate punguzo ya bei kwa tarehe tajwa hapo juu
Wahi Leo tukuhudumie!
+255759904750
15/05/2026
OFA KUBWA
Kuelekea siku ya nyuki duniani bee excellent hatujakuacha nyuma, tumekuletea punguzo la bei mpaka 30% ya vifaa vya ufugaji nyuki, k**a vile mavazi, bomba moshi, chujio za asali, hive tool, mizinga N.k
Punguzo hili ni kuanzia mei 19 mpaka 22-5-2026
Na tutakutumia mzigo wako kwa uhakika ndani ya masaa 24 baada ya malipo.
"USIPANGE KUKOSA"
*TUNAPATIKANA*
Iringa mjini - Tanzania.
Mtaa wa Don Bosco
📞TUPIGIE
+255759904750
+255762304750
www.beeexcellent.co.tz
[email protected]
11/05/2026
Uncapping knife & uncapping fork vinapatikana
Hivi ni vifaa maalum vinavyotumika kuondoa vifuniko vya nta (wax caps) kwenye sega la asali kabla ya kuchakata asali.
Kurahisisha asali kutoka kwa wepesi na haraka wakati wa kutumia frame extractor pindi unachakata asali.
Kwa vifaa mbalimbali vya ufugaji nyuki, karibu bee excellent and general supply ltd
TUNAPATIKANA
Iringa mjini - Tanzania.
Mtaa wa Don Bosco.
📞TUPIGIE
+255759904750
+255762304750
www.beeexcellent.co.tz
[email protected]
Furaha ni kuona watu wanasoma na kuelimika juu ya ufugaji wa nyuki! PATA nakala yako Leo! KITABU hiki ni zaidi ya Maarifa ya ufugaji wa nyuki! Kipo katika lugha ya kiswahili na kingereza pia! Popote ulipo unakipata!
Karibu sana.
+255759904750
Iringa mjini Tanzania
01/05/2026
Happy workers day 🎉
19/04/2026
SOMA ONGEZA MAARIFA
Bee excellent and general supply ltd tumekuleta vitabu vitakavyo kusaidia kuongeza maarifa juu ya ufugaji nyuki na mazao ya nyuki kwa ujumla
Vitabu hivi vinapatikana kwa lugha ya kiswahili na kingeleza.
*TUNAPATIKANA*
Iringa mjini - Tanzania.
Mtaa wa Don Bosco
📞TUPIGIE
+255759904750
+255762304750
www.beeexcellent.co.tz
[email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Don Bosco
Iringa
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 19:30 |
| Tuesday | 08:00 - 19:30 |
| Wednesday | 08:00 - 19:30 |
| Thursday | 08:00 - 19:30 |
| Friday | 08:00 - 19:30 |
| Saturday | 08:00 - 19:30 |