AFYA YA JAMII

AFYA YA JAMII

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from AFYA YA JAMII, Health/Beauty, Iringa.

Hii page ipo mahususi kwa ajiri ya kushirikishana masuala ya kiafya (hii inajumuisha elimu pamoja na ushauri )katika jamii zetu...

Ili tupige hatua katika maendeleo afya zetu ni zamsingi sana hivyo basi tujenge afya zetu ziwe imara siku zote

02/10/2020

```_*UJUE UGONJWA WA KISUKARI (DIABETES)*

____________________
Ugonjwa wa kisukari ni ugonjwa unaosumbua watu wengi katika jamii.

Ugonjwa huu hutokea wakati sukari katika damu inapokuwa nyingi kupita kiwango cha kawaida kwa muda mrefu.

Sukari hutumiwa na mwili ili kupata nishati lishe.Kwa kawaida ili mwili uweze kutumia sukari inayotokana na vyakula unahitaji kichocheo cha insulini.

Insulini husaidia sukari kuingia kwenye chembechembe hai ili kutengeneza nishati lishe.

Ugonjwa wa kisukari unasababishwa na kichocheo hiki kupungua au kutofanya kazi K**a inavyotakiwa.Hivyo kiwango cha sukari kinabaki kikubwa kwenye damu kwa sababu sukari haikuwezeshwa kuingia kwenye chembechembe hai za mwili.

*DALILI KUU ZA KISUKARI (DIABETES).*


1.kuongezeka kwa kiwango cha sukari kwenye damu.
2.Kupata njaa na kiu mara kwa mara.
3.Uzito wa mwili kupungua ua kuongezeka.
4.Uchuvu.
5.kutokuona vizuri
6.Kifafa.
7.Kupatwa na haja ndogo mara kwa mara.

*HIVYO UNASHAURIWA UKIONA DALILI K**A HIZO FIKA KITUO CHA AFYA MAPEMA NA HARAKA IWEZEKANAVYO.*

*MADHARA YA KISUKARI.*

-Watu wenye kisukari wapo katika hatari zaidi ya kupata magonjwa yafuatayo:-
*Magonjwa ya moyo.
*Kiharusi
*Kuharibika kwa kibofu cha mkojo.
*Upofu.
*Kufa kwa mishipa ya fahamu.
*Shinikizo la juu la damu.
-Mtu mwenye kisukari mzunguko wake wa damu miguuni hupungua na hii ndiyo sababu kubwa ya kufa kwa neva za fahamu na hivyo mtu kupoteza hisia katika mwili.._```

Picha zilizopo hizo ndio dose kamili ya kisukari

Kisukari kinatibika kwa kutumia virutubisho lishe (Food suppliments)na sio dawa za hospital

UKITUAMINI TUNAKUHUDUMIA
AFYA YA JAMII-admin
0620126323

Photos from AFYA YA JAMII's post 15/09/2020

TIBA YA YA KUDUMU YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Baadhi ya wanaume wanakabiliwa na changamoto kadhaa za uzazi ikiwemo pungufu wa nguvu za kiume,uchache wa mbegu za kiume au hata kuwa na mbegu dhaifu sana zinazoshindwa kurutubisha yai la mwanamke vizuri

Kwa watu wanaopenda kufuata msingi wa tibalishe (Virutubisho) katika kukabiliana na tatizo hili wanaweza kumtafuta mtu huyu kwa msaada

Aina ya tiba : VIRUTUBISHO

Ubora: VIMETHIBITISHWA

Jina:AFYA YA MWANAUME

Mawasiliano: 0620126323

14/09/2020

Habari tumefungua group Facebook pia ili kutoa uwanja mpana wa kupata elimu na ushauri kuhusu maswala ya kiafya karibuni.Group hili nilamchanaganyiko wa jinsia zote kwani tutakuwa tunatoa elimu ya afya ya inayohusu wote ila kwa mambo ambayo ni yakipekee kwa kila jinsia tutafungua magroup kwa ajiri ya kila jinsi kuwa huru..
Bonyeza link apo chini kujiunga nasi
👇👇👇👇
https://web.facebook.com/AFYA-YA-JAMII-111850080484654/groups/

13/09/2020

_*LIVEN COFFEE*_

*Hii ni kahawa nzuri na yenye ubora na kazi jenzi katika mwili wako ifahamu zaidi soma mpka chini ujue manufaa yake.*

Pia Imesajiriwa kwa FDA FR No. 75086

*JINSI ILIVOTENGENEZWA*

-Ina mjumuuiko wazaidi ya virutubisho 16,000 vinavyotokana na aina 131 ya malighafi asilia.

*_Ikiwemo vitu vifuatavyo;-_*

*Aina 29 za madini pamoja vitamin,,ikiwa na kiwango kikubwa Cha madini ya zinc ambayo Ni mazuri kwa wanaume

*Aina 14 ya vyakula vya kijani

*Aina 12 ya uyoga,ambazo hukukinga na kupambana na virusi wa kansa

*Aina 12 ya vimengenya chakula

*Aina 12 ya mitishamba na virutubisho maalumu

*Aina 10 ya mafuta muhimu(fatty acid)

*JE HII NI AINA GANI YA KAHAWA NA INATOFAUTIANA VIPI NA HIZI ZA VIJIWENI*

Kahawa hii ya *arabica(Arabica coffee)* ni kahawa ambayo ina kiwango kidogo Sana Cha *caffeine* (sumu inayopatikana kwenye kahawa) ukilinganisha na kiwango kinachopatikana kwenye *canephora (Robusta)*

Hata hivo kahawa hii imekaangwa na kuondolewa kiwango hiki Cha *caffeine (sumu inayopatikana kwenye kahawa)* ambayo hufanya watu wengi wachukie kahawa

*Pia kahawa hii Ina radha nzuri mno inayovutia watumiaji pamoja asili yake ya utamu*

_*JE, NI NINI KAZI YA KAHAWA HII MWILINI*_

°Inaongeza hamu ya tendo la ndoa, kwa kuimarisha homoni za uzazi *testerone*

°Inaongeza uzalishaji wa mbegu za kiume yaani shahawa kwa uwepo wa madini ya *zinc*

°Inaondoa sumu mwilini
Inaimarisha utendaji kazi wa ubongo

°Inaondoa uchovu wa mwili na kukuacha mchangamfu

°Inaboresha mfumo wa mzunguko wa damu na uzalishaji wa seli mwilini
Inakukinga na magonjwa atarishi K**a pressure, kisukari n.k kutokana na uwepo wa mdini na vitamins mbalimbali

_*PIA ITAKUSAIDIA NA MATATIZO K**A YA:-*_

_kutokua mfanisi/imara katka tendo la ndoa.

_watu wanaowahi kufika kileleni.

_Uume kusinyaa na kuwa k**a mtoto.

_kunyoosha mishipa ya askari(uume) iliyosinyaa kutokana na kujichua kwa muda mrefu -au ngiri ,nk

_kukaza misuli ya askari(Uume) iliyolegea kutokana na kujichua

_Hii tiba lishe haina madhara kwa sababu ni haina kemikali_*

_*GHARAMA YAKE NI ELFU 45, 000 TU*_

Afya ya mwanamke 11/09/2020

Je wewe ni mwenamke na unasumbuliwa na haya yafuatayo na magonjwa ya uzazi au ungependakupata elimu zaidi kuhusu afya yako kiujumla au ushauri? K**a ni ndio upo sehemu sahihi ..Karibu ujiunge nasi katika group la whatsapp ilikujua yote hayo ikiwemo kupata elimu ya afya ya uzazi...

Pia tunavirutubisho kadha ambavyo husaidia kupambana na magonjwa k**a PID,UTI,KURUDISHA MZUNGUKO WA HEDHI KATIKA MPANGILIO MZURI,KUONDOA NA KUTIBU FUNGUS, KUONDOA HARUFU MBAYA , PAMOJA NA MENGINE MENGI

bonyeza link apo chini kujiunga nasi

Afya ya mwanamke WhatsApp Group Invite

04/09/2020

Jiunge na group letu kupata elimu zaidi na ushauri https://chat.whatsapp.com/Fd8GDIXgmQ4FDMqMX0FskI

ALKALINE LATTE KIBOKO YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.

sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la watu wenye tatizo la nguvu za kiume, kutokana na sababu lukuki zikiwemo
kisukari,
presha,
tezi dume
n.k

HILI NI SULUHISHO LA TATIZO LAKO
karibu ktk group letu la whatsap ukutane na mtalaam wetu wa maswala ya AFYA YA UZAZI uweze kujifunza zaid moja kwa moja toka kwa mtalaam namna ya kumaliza tatizo lako.

Au wasiliana nasi kwa namba
0620126323
0767767505
0714967505

02/09/2020

https://chat.whatsapp.com/Fd8GDIXgmQ4FDMqMX0FskI
ALKALINE LATTE KIBOKO YA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME.

sikuhizi kumekuwa na wimbi kubwa la watu wenye tatizo la nguvu za kiume, kutokana na sababu lukuki zikiwemo
kisukari,
presha,
tezi dume
n.k

HILI NI SULUHISHO LA TATIZO LAKO
karibu ktk group letu la whatsap ukutane na mtalaam wetu wa maswala ya AFYA YA UZAZI uweze kujifunza zaid moja kwa moja toka kwa mtalaam namna ya kumaliza tatizo lako.

Au wasiliana nasi kwa namba
0620126323

02/05/2020

Chemsha maji moto au chukua maji moto yaliyopo kwenye chupa ya chai, acha yapoe kidogo na kuwa ya uvuguvugu, kisha weka kijiko kimoja cha asali mbichi kunywa kisha lala. Kunywa maji hayo nusu saa au zaidi baada ya kula chakula cha mwisho.

Kitendo hicho kitakuwezesha kuyeyusha mafuta, kusadia usagaji wa chakula tumboni na hivyo kukuwezesha kutoa uchafu na sumu mwilini kwa njia ya haja kubwa. Kwa utaratibu huu, hutakaa na uchafu tumboni wala mrundikano wa mafuta mabaya mwilini.

Ni jambo lisilo shaka kuwa iwapo kila mmoja wetu atazingatia kanuni za ulaji na unywaji sahihi, bila shaka matatizo ya moyo na shinikizo la damu yanaweza kupungua kwa kiwango kikubwa, k**a siyo kutoweka kabisa.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Iringa

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 16:00
Sunday 09:00 - 16:00