Jifunze Computer Na Simu
Pata stori mbalimbali kuhusu filamu na wasanii ikiwa pamoja na filamu recap
Page hii pia inatoa elimu mbalimbali na mafunzo ya computer na simu kupitia page hii utaelimika lakini pia tynatoa sapoti ya ufundi wa computer mahali popote ulipo tutakufikia na kukurekebishia computer yako
Whatsapp 0754233541/Piga kujipatia kitabu
06/09/2025
ππ JIFUNZE COMPUTER KUANZA MWANZO! π»β¨
π Umekuwa ukitaka kujua kompyuta kutoka mwanzo lakini hujui wapi kuanzia?
β
Sasa hapa ni fursa yako ya kipekee!
π Kitabu: Jifunze Computer Kuanza Mwanzo
π° Bei: Tsh 3,000 tu
π² Malipo: Tigo Pesa 0719633541
π Mawasiliano / WhatsApp: 0719633541 / 0754233541
πΉ Kila Kitu Kimefafanuliwa Kieleweke:
Maana halisi ya computer π€
Vifaa vya hardware na software π₯οΈπΎ
Internet, email, na cloud storage πβοΈ
Jinsi ya kuandika, kuhesabu, na kufanya presentations βοΈπ
Kujua jinsi yakutumia Windows na Application zingine
Kujua majina ya software mbalimbali na kazi zake
Social media na online business π±πΌ
Usalama wa data na antivirus ππ‘οΈ
Mifano halisi ya masomo, biashara, na freelancing π«π
πΉ Kwa Nani Kitabu Hiki Ni Muhimu?
π©βπ Mwanafunzi anayejifunza computer kwanza
πΌ Mfanyabiashara au freelancer mtandaoni
π¨βπ» Mtu yeyote anayetaka kuongeza ujuzi wa digital
π Manufaa:
Kutumia computer kwa masomo β
Kufanya biashara mtandaoni β
Kujiendeleza kwa skills za digital β
Hifadhi data yako kwa usalama β
π₯ Usikose hii nafasi!
π Piga au tuma WhatsApp sasa: 0719633541 / 0754233541
π° Lipia Tigo Pesa 0719633541, pata kitabu chako leo!
π’ Tengeneza maisha yako digital leo! Jifunze Computer Kuanza Mwanzo! π»π₯
14/08/2025
π₯ UNATAKA KUINGIZA HELA KILA SIKU KWA SIMU YAKO? π±π°
Kitabu cha Kiswahili kinachokufundisha:
π Njia zote za kuingiza pesa online hatua kwa hatua
π Kuanzisha biashara bila mtaji na kupata mtaji wa kukuza biashara
π Mikakati ya kupata wateja 1000+ kwa siku hata k**a umeanza leo
π Mifano halisi ya Kitanzania kwa matokeo ya haraka
π PDF β Unapewa papo hapo baada ya malipo
π΅ Bei: 3,000/= tu (ndio, elfu tatu tu!)
Njoo Whatsapp 0719633541
π» "JIFUNZE UFUNDI COMPUTER KWA VITENDO β PART 1"
Kitabu hiki kinakufundisha kwa lugha rahisi, hatua kwa hatua, jinsi ya kutambua na kutatua matatizo yote ya kompyuta β kuanzia motherboard, processor, RAM, HDD/SSD, graphics card, PSU, cooling system, peripherals, BIOS, hadi network card.
Kinakuja na mifano halisi ya Tanzania na scenario za mafundi mitaani ili hata k**a wewe sio mtaalamu, utaelewa haraka na kuanza kufanyia kazi mara moja.
π‘ Utajifunza:
β
Kutatua matatizo ya kompyuta bila hofu
β
Mbinu za kuzuia matatizo yasitokee tena
β
Vifaa vya lazima kwa fundi wa kompyuta
β
Siri za mafundi wakongwe mitaani
π° Bei: TSH 5,000 tu!
π± M-Pesa: 0754 233 541
π± Tigo Pesa: 0719 633 541
π₯ Usikubali mteja akukimbie kwa sababu hujui tatizo la kompyuta!
Pata kitabu hiki leo β kesho uwe fundi kinara wa mitaa yako!
π¦ Njia ya kupata: Lipa kupitia namba hapo juu kisha utapokea kitabu kwenye simu yako au email mara moja.
β‘ Ujuzi ni mtaji β Usichelewe! β‘
10/08/2025
Whatsapp 0754233541
31/07/2025
π KITABU MOTO KABISA! π₯
π± JIFUNZE UFUNDI SIMU KWA VITENDO
π¨βπ§ Kwa Wanaotaka Kuanza au Kubobea kwenye Ufundi Simu!
π§ Yaliyomo Ndani ya Kitabu:
β
Mafunzo ya Hardware β Fungua na Tambua kila sehemu ya simu
β
Mafunzo ya Software β Kutatua matatizo ya software kwa apps na tools sahihi
β
Kutambua na Kutatua matatizo yote ya simu (zote!)
β
Ufundishaji kwa lugha nyepesi ya Kiswahili
β
Hatua kwa hatua k**a uko darasani β kwa vitendo kabisa!
π Imeandikwa na: Bizz wa Infotech Success
π° Bei ni Tsh 5,000 tu β Unapata elimu kubwa kwa bei ndogo sana!
π² Mawasiliano:
π Simu / WhatsApp: 0754 233 541
β οΈ Uchumi ni mgumu, lakini ujuzi huu unaweza kukupa mamilioni!
Soma kitabu hiki, anzisha biashara yako leo ππΌ
π Unataka nakala yako sasa?
Tuma ujumbe: "Naomba Kitabu cha Ufundi Simu" kupitia WhatsApp sasa hivi!
19/07/2025
"Panda USB Vaccine ni programu inayolinda kompyuta yako dhidi ya virusi zinazotumia USB kusambaa. Inazuia virusi kuanzisha kazi zao moja kwa moja kwenye flash drive, hivyo kuzuia virusi kusambaa na kulinda data zako."
28/02/2025
Kitabu cha Pc maintenance au ufundi computer kwa upande wa hardware kimekamilika kwa lugha ya kiswahili..kinafundisha matatizo yote ya hardware na suluhu zake kwa kiswahili...hizo chini ni baadhi ya pages zake ...Anaehitaji kipo Aje whatsapp 0754233541
23/09/2024
Mambo muhimu baada ya kupiga windows haya hapa
πtengeneza system restore point
πinstall na update drivers online
πenable processor to maximum number of cores
πinstall malware removal softwares
πinstall antivirus software ilio active na keys
πupdate windows kwa wale wa win 10
πinstall visual c++ redistributable kwa win7
πinstall netframework kwa win7 users
πinstall system care softwares
Mwisho utaweka software zako k**a vlc
NB Kwa mahitaji ya system care softwares na antivirus wasiliana nami whatsapp 0754233541 piga 0785874607
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Iringa