Baba manka
this is the special page for entertainment, gossip, music, adverts as well as business services.
22/07/2024
Kwa mara ya kwanza kabisa exclusive interview na ndani ya kipindi cha ya Tega sikio kuanzia 10.00 Jioni mpaka saa 2.00 usiku tutakuwa nao mjengoni tukipiga nao story kuhusu kuelekea kwenye Party ya miaka sita ya tarehe 28 pale savannah.
Cc
21/07/2024
Boonge la party tunakutana kupartee KI-VIP Miaka sita ya Baba manka kwenye maiki kiingilio elifu 5 tu Tarehe 28 pale savannapub k**a ni msanii utapata nafasi ya kupata elimu jinsi ya kupata fedha kwenye digital platform na pia utapata nafasi ya kuperform ngoma zako pia utapata fursa ya promotion na interviews za kazi zako
Tiketi zinapatikana Nurufm no 0719431733
Inapewa nguvu na pocket wifi barber shops growth musicians recod
18/07/2024

15/07/2024

07/07/2024
Kwenye kutoka home leo tutakuwa na tutakuwa nao mjengoni tukipiga nao story kuhusu mzikii wao na mzikii wa nyanda za juu kusini kwa ujumla.
Pia usisahau kudropisha Request ya nyimbo unayotaka kuiskilza ndani ya kutoka home kuanzia saa 7.00 jioni mpaka 9.00 usiku.
Endelea kutufuatilia zaidi kupitia
Instagram :
Facebook:Nurufmiringa93.5
Tiktok :nurutvdigital
Youtube:Nuru Digital Tv
Sikiliza LIVE: radio.tadio.co.tz/nuru-fm
21/05/2024
Usiishi k**a refa, kutafuta kasoro za watu, ishi k**a mchezaji kutafuta mafanikio yako.
07/05/2024
SHINDA MILIONI 2 KUPITIA KIPINDI CHA BODA BODA MUDA HUU !! 💰💰
CHEZA SASA Kushinda MILIONI 2 Kupitia ya MUDA HUUU, Kwenye Droo itakayochezeshwa kuanzia Saa 9:50 Mchana .
Namna Ya Kucheza Kupitia Mtandao Wa TIGO, AIRTEL HALOTEL AU VODACOM
HATUA 1. Bonyeza menu yako ya malipo
HATUA 2. Chagua Lipia Bili
HATUA 3. Kisha weka namba ya Kampuni 👉🏾 553111
HATUA 4. Ingiza namba ya kumbukumbuku 👉🏾 935
HATUA 5. Weka Kiasi 1000
HATUA 6. Ingiza Namba yako ya SIRI
HATUA 7. Bonyeza 1 KUTHIBITISHA MUAMALA
Cheza Ushinde Sasa!!! 🤑
🔞Kwa wenye Umri wa Miaka 18 na Kuendele
15/04/2024
Who is this guy??? Why between my interview you are passing around????!
Niko LIVE Muda huu
📸
12/04/2024
Mtu poa kabisa mwenye upendo wake more life...more blessingsss....happy birthday my sisiter
09/04/2024
EID MUBARAK 🙏
01/04/2024
Happy birthday GOD give you a long life be blessed more and more meaning you are a good role model in our society don't forget to give them a chance and keep reminding girls that they can be like you and young people in general Bahati Mandoa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Iringa