Mr. Lab TV
Hii page tegemea kupata taarifa mbalimbali zinazohusiana na shughuli za Maabara za afya kwa ujumla."
17/04/2024
PART THREE: VIPIMO MAALUM VYA VIDONDA VYA TUMBO.🔥🔥🤷 VIPIMO mahususi Kwa vidonda vya tumbo Ni..endoscopy, H. Pylori test, Urease test, Biopsy
17/04/2024
PART TWO: SABABU KUU ZA VIDONDA VYA TUMBO USIZOZIJUA.🔥🔥🤷🤷 Kidonda cha tumbo au tumbo ni Hali ya kuwa na majeraha/vidonda Katika tishu za tumbo. Vidonda vingi vya tumbo husababishwa na kuambukizwa na bakteria ya Hel...
17/04/2024
PART ONE : VIDONDA VYA TUMBO NI NINI??🔥🔥🔥🤷 Vidonda vya tumbo ni vidonda vinavyotokea kwenye ukuta wa tumbo au utumbo. Vidonda vya tumbo vinajulikana kwa kitaalamu k**a peptic ulcers.
11/02/2023
🚑🚑💊VISABABISHI TOP-5 VYA UGONJWA WA FIGO🚑 🚑🚑VISABABISHI TOP-5 VYA UGONJWA WA FIGO💊Shinikizo la damu la juu(Hypertension)💊Kisukari(Diabetes)💊Urinary Tract Infection(UTI)💊Urinary Tract obstructi...
22/01/2023
🔥🔥Watanzania washauriwa kufahamu dalili za awali za ugonjwa wa figo . Dalili za Ugonjwa wa Figo🌟kuvimba miguu na macho🌟kukojoa mkojo wenye povu🌟maumivu ya mgongo na tumbo🌟kichefuchefu,kukosa hamu ya kula na kutapiki 🌟shin...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Iringa