Matangazo Production
�Tunatengeneza Matangazo ya sauti,Picha,na Video kwa Gharama Nafuu.
�Wasiliana nasi kupitia :
?
Hivi Unafahamu Kuwa Biashara ni Matangazo..? 📢
Sasa K**a Bado Unajiuliza Ni Wapi Utapata Tangazo Bora La Video na Sauti Kwa Ajiri Ya Biashara Au Huduma Yako, Basi Upo mahali Sahihi.
MATANGAZO PRODUCTION Tunakuletea Huduma Ya Utengenezaji Wa Matangazo Ya Sauti, Picha na Video.
KARIBU HUDUMA ZETU NI K**A IFUATAVYO👇👇
| Tangazo La Sauti, Picha na Video |
Sekunde 30 |Tshs30,000|=
Dakika 1 |Tshs 50,000|=
Dakika 2 |100,000|=
UNASUBIRI NINI SASA TUPIGIE LEO KUPITIA NAMBA 0682033492 📞
Follow us Matangazo Production
Je umekuwa hupati wateja wa Biashara Yako!? Licha Ya kukesha na sponsored Ads kwenye Facebook na instagram.
Yes!!Ni kweli!! Biashara Bila Matangazo Ni sawa Na Gari Bila Engine, Lakini Matangazo Yasiofaa Ni sawa na Oil Chafu Kwa Gari Yako
NAJUA HAUPO TAYALI KUONA BIASHARA YAKO IKIFA KWENYE MIKONO YAKO EENH????🤔🤔🤔
Sasa Basi Ujanja Ni Matangazo Ya Kisasa, Na Sisi Tunasema Hilo Limeishaaaa!
MATANGAZO PRODUCTION TUNAKULETEA HUDUMA YA MATANGAZO YA SAUTI, VIDEO NA PICHA.
USISHTUKE SASA TULIA NI KUELEKEZE!!!!!!!!
1.Endapo ukitumia tangazo la sauti na video Litakusaidia Kupata wateja Kwa Urahisi zaidi Kwani Watu wengi Hawapendi Kusoma
2. Lakini Pia Tangazo la sauti linasaidia kuongeza thamani(Brand)na uaminifu(Trust) kwa wateja wa biashara au huduma yako.
Sasa Basi MATANGAZO PRODUCTION tunakuletea OFFER YA KUTENGENEZA TANGAZO LA BIASHARA YAKO KWA BEI YA MJASIRIAMALI MDOGO KABISA ANAYEANZAHuduma ya Matangazo ya sauti Tu(Audio)
Sec30-Tshs20,000|=
1mins-(Tshs30,000|=)
2mins-45,000Huduma ya Matangazo ya sauti&picha)
Sec 30(Tshs25,000|=)
1mins (Tshs 50,000|=)
2mins-75,000|=Unasubiri Nini sasa Tupigie Leo kupitia namba 0682033492 ......OFFER HII MWISHO TAREHE 15/01/2022.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Iringa