Raji Updates

Raji Updates

Share

Ni kurasa binafsi inayojihusisha na kusambaza maudhui yanayohusiana na Habari, burudani na michezo.

25/10/2025

😂😂

18/10/2025

Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillius Nikata wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Songea, ambaye alikuwa ameripotiwa kupotea tangu Oktoba 9, 2025. Padre Nikata, ambaye pia ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT), amepatikana akiwa salama katika mashamba ya kijiji cha Mawa, kilichopo kata ya Hanga, wilayani Namtumbo.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, SACP Marco Chilya, amesema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa Padre Nikata alijipoteza mwenyewe kutokana na kuachwa na mpenzi wake, matatizo ya madeni na msongo wa mawazo.

16/10/2025

Baba Anjera 😀

15/10/2025

😀😀

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Iringa?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Kihesa
Iringa
255