KilimoCom

KilimoCom

Share

Kilimocom Tanzania Limited
We do Agri-Business Safely and Affordable
+255752405510

Photos from KilimoCom's post 26/08/2026

Anayekuloga sisi tunamjua na tunamuweza,tuachie sisi.

Kinachokuzuia kuvuna magunia zaidi ya 30 ya mahindi/mpunga kila gunia ukazalisha chini ya gharama ya Tsh 20,000/= ni tabia yako ya kwenda shambani kuzalisha kwa KUKURUPUKA yaani hadi sasa hujui;
✓Nani atakuwa Mshauri/Msimamizi wako
✓Mpangilio wa Shamba lako utakuaje
✓Utapanda Mbegu gani
✓Utanunulia Pembejeo wapi
✓Utatumia Gharama gani za uzalishaji
✓Utapata FAIDA kiasi gani

Mchawi wako anaitwa KUKURUPUKA,wasiliana nasi Kilimocom Tanzania Limited tumalize kazi na uache kupata hasara kwa kujitakia.
+255752405510

Photos from KilimoCom's post 26/08/2026

Anayekuloga sisi tunamjua na tunamuweza,tuachie sisi.

Kinachokuzuia kuvuna magunia zaidi ya 30 ya mahindi/mpunga kila gunia ukazalisha chini ya gharama ya Tsh 20,000/= ni tabia yako ya kwenda shambani kuzalisha kwa KUKURUPUKA yaani hadi sasa hujui;
✓Nani atakuwa Mshauri/Msimamizi wako
✓Mpangilio wa Shamba lako utakuaje
✓Utapanda Mbegu gani
✓Utanunulia Pembejeo wapi
✓Utatumia Gharama gani za uzalishaji
✓Utapata FAIDA kiasi gani

Mchawi wako anaitwa KUKURUPUKA,wasiliana nasi KilimoCom Tanzania Limited tumalize kazi na uache kupata hasara kwa kujitakia.
0625 938 529

Photos from KilimoCom's post 25/08/2026

Au umelogwa?
Unashindwaje sasa kuvuna zaidi ya magunia 30 ya mpunga/mahindi kwa ekari moja na kutumia GHARAMA chini ya Tsh 20,000/gunia ili ukiuza kwa BEI ya SOKO ikulipe?

Kupata FAIDA kwenye kilimo inahitaji MBINU hizi.
Ona hapa;
MBINU 1:Fahamu mpangilio wa shughuli zitakazofanyika kwa muda wote na PEMBEJEO zitakazohitajika.Hapa usitukwepe Wataalam ukitukwepa Kilimocom Tanzania Limited umekwisha.
MBINU 2:Fanya manunuzi ya pembejeo kwa jumla ukiwa na Mtaalam wa Kilimo,usifanye peke yako na usinunue kidogo kidogo.
MBINU 3:Uza mazao kwa BEI mara mbili au zaidi ya GHARAMA ulizotumia kuzalisha.

Ili kuhakikisha unapata faida Kilimocom Tanzania Limited tumekuandalia PACKAGE maalumu zenye gharama nafuu kulingana na zao unalozalisha.Tuambie ni zao gani unatarajia KULIMA msimu huu tukupatie.Fanya maamuzi mapema ili tuanze kukuhudumia mapema uepuke hasara zinazoweza kuzuilika.
Popote TANZANIA tunakutumia package yako na tunaweza kukufikia.
Piga/SMS/Whatsapp +255752405510...........................................................
Pia usisahau kula chakula kinacho hitajika mwilini usile kila chakula,usiseme sijakwambia.Pendelea kula Dona Lishe na Mchele SUPER kutoka kwetu kwa usalama wa afya yako siunajua tena chakula bora ni dawa?
Dona Lishe ni unga wenye mchanganyiko wa Mahindi,Mihogo na Mtama unaofaa kwa Ugali na Uji.Magonjwa mengi yenye mateso makali na gharama kubwa za matibabu yametokana na mpangilio mbaya wa lishe.
Usipo ziba ufa utajenga ukuta,walisema waswahili.

Danieli 1:12-16
[12]Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe.
[13]Kisha nyuso zetu zitazamwe mbele yako, na nyuso za wale vijana wanaokula chakula cha mfalme; ukatutendee sisi watumishi wako kadiri ya utakavyoona.
[14]Basi akawasikiliza katika jambo hilo, akawajaribu siku kumi.
[15]Hata mwisho wa zile siku kumi nyuso zao zilikuwa nzuri zaidi, na miili yao ilikuwa imenenepa zaidi, kuliko wale vijana wote waliokula chakula cha mfalme.
[16]Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu.

Photos from KilimoCom's post 25/08/2026

Au umelogwa?
Unashindwaje sasa kuvuna zaidi ya magunia 30 ya mpunga/mahindi kwa ekari moja na kutumia GHARAMA chini ya Tsh 20,000/gunia ili ukiuza kwa BEI ya SOKO ikulipe?

Kupata FAIDA kwenye kilimo inahitaji MBINU hizi.
Ona hapa;
MBINU 1:Fahamu mpangilio wa shughuli zitakazofanyika kwa muda wote na PEMBEJEO zitakazohitajika.Hapa usitukwepe Wataalam ukitukwepa Kilimocom Tanzania Limited umekwisha.
MBINU 2:Fanya manunuzi ya pembejeo kwa jumla ukiwa na Mtaalam wa Kilimo,usifanye peke yako na usinunue kidogo kidogo.
MBINU 3:Uza mazao kwa BEI mara mbili au zaidi ya GHARAMA ulizotumia kuzalisha.

Ili kuhakikisha unapata faida KilimoCom Tanzania Limited tumekuandalia PACKAGE maalumu zenye gharama nafuu kulingana na zao unalozalisha.Tuambie ni zao gani unatarajia KULIMA msimu huu tukupatie.Fanya maamuzi mapema ili tuanze kukuhudumia mapema uepuke hasara zinazoweza kuzuilika.
Popote TANZANIA tunakutumia package yako na tunaweza kukufikia.
Piga/SMS/Whatsapp 0625 938 529...........................................................
Pia usisahau kula chakula kinacho hitajika mwilini usile kila chakula,usiseme sijakwambia.Pendelea kula Dona Lishe na Mchele SUPER kutoka kwetu kwa usalama wa afya yako siunajua tena chakula bora ni dawa?
Dona Lishe ni unga wenye mchanganyiko wa Mahindi,Mihogo na Mtama unaofaa kwa Ugali na Uji.Magonjwa mengi yenye mateso makali na gharama kubwa za matibabu yametokana na mpangilio mbaya wa lishe.
Usipo ziba ufa utajenga ukuta,walisema waswahili.

Danieli 1:12-16
[12]Tafadhali utujaribu sisi watumishi wako muda wa siku kumi; na watupe mtama tule, na maji tunywe.
[13]Kisha nyuso zetu zitazamwe mbele yako, na nyuso za wale vijana wanaokula chakula cha mfalme; ukatutendee sisi watumishi wako kadiri ya utakavyoona.
[14]Basi akawasikiliza katika jambo hilo, akawajaribu siku kumi.
[15]Hata mwisho wa zile siku kumi nyuso zao zilikuwa nzuri zaidi, na miili yao ilikuwa imenenepa zaidi, kuliko wale vijana wote waliokula chakula cha mfalme.
[16]Basi yule msimamizi akaiondoa posho yao ya chakula, na ile divai waliyopewa wanywe, akawapa mtama tu.

Photos from KilimoCom's post 24/08/2026

ACHA ACHA ACHA MARA MOJA,
NASEMA ACHA KULIMA KWA MBINU ILE ILE ISIYOWEZA KUKUPATIA MATOKEO.

Tunaweza kukusaidia kuvuna magunia zaidi ya magunia 30 ya mpunga/mahindi kwa ekari moja na kukuepusha na hasara zinazoweza kuzuilika kupitia Package zetu tutakazo kupatia.

Kuwa mtulivu na usiruke hatua
Amua kufanya kazi na sisi kuanzia mwanzo.
✓Tuambie unataka kulima zao gani na ukubwa gani.Sisi tutakusaidia kufanya mpangilio wa kazi zako shambani.
✓Tutakusaidia kufanya maandalizi mapema ya shamba lako kwa namna inavyotakiwa.
✓Tutakupatia Mbegu Bora inayofaa kwa shamba lako,tutazipanda kwa nafasi na kuzuia visumbufu ili uvune zaidi ya magunia 30 ya mpunga/mahindi kwa ekari moja.
✓Tutazuia visumbufu vyote k**a nyasi,wadudu na magonjwa visishambulie mazao yako.

Hapo Kilimocom Tanzania Limited itakuwa imekusaidia kuvuna mazao mengi bora yenye usalama wa MLAJI na MAZINGIRA kwa gharama nafuu.
Fanya BOOKING mapema tukuweke kwenye nafasi ya kukusaidia au andika neno PACKAGE kuja namba +255752405510 unaweza kupiga/sms/Whatsap.

Photos from KilimoCom's post 24/08/2026

ACHA ACHA ACHA MARA MOJA,
NASEMA ACHA KULIMA KWA MBINU ILE ILE ISIYOWEZA KUKUPATIA MATOKEO.

Tunaweza kukusaidia kuvuna magunia zaidi ya magunia 30 ya mpunga/mahindi kwa ekari moja na kukuepusha na hasara zinazoweza kuzuilika kupitia Package zetu tutakazo kupatia.

Kuwa mtulivu na usiruke hatua
Amua kufanya kazi na sisi kuanzia mwanzo.
✓Tuambie unataka kulima zao gani na ukubwa gani.Sisi tutakusaidia kufanya mpangilio wa kazi zako shambani.
✓Tutakusaidia kufanya maandalizi mapema ya shamba lako kwa namna inavyotakiwa.
✓Tutakupatia Mbegu Bora inayofaa kwa shamba lako,tutazipanda kwa nafasi na kuzuia visumbufu ili uvune zaidi ya magunia 30 ya mpunga/mahindi kwa ekari moja.
✓Tutazuia visumbufu vyote k**a nyasi,wadudu na magonjwa visishambulie mazao yako.

Hapo KilimoCom Tanzania Limited itakuwa imekusaidia kuvuna mazao mengi bora yenye usalama wa MLAJI na MAZINGIRA kwa gharama nafuu.
Fanya BOOKING mapema tukuweke kwenye nafasi ya kukusaidia au andika neno PACKAGE kuja namba 0625 938 529 unaweza kupiga/sms/Whatsap.

Photos from KilimoCom's post 24/08/2026
22/08/2026

Nadhani unafahamu kuhusu;
✓Gharama za Uzalishaji
✓Gharama za Uendeshaji
✓Faida Ghafi
✓Faida Halisi
Siku hizi Kilimo ni Biashara kwa sababu ili uzalishe ni lazima umtegemee mwingine kitendo cha kutegemeana kinaitwa MNYORORO WA THAMANI.
Mfano:Mkulima anategemeana na Mlaji ili Mkulima afike salama safari yake hapo katikati anakutana na wadau wengi.Yeyote atakayempuuza mwingine baada ya MUDA kutatokea shida kwenye mnyororo.

Mkulima k**ata hizi Points;
Zingatia mahitaji ya MLAJI.
Zingatia MAARIFA sahihi ya zao husika.
Zingatia matumizi sahihi ya PEMBEJEO.
Baada ya maandalizi panda Mbegu kwa nafasi
mfano ukipanda mahindi utatumia 8 hadi 10Kg.
Ukifuata hayo na mengine utapata faida hizi;
✓Utaokoa Muda
✓Utatumia Gharama kidogo
✓Utavuna Mazao mengi na Bora
✓Hata ukiuza kwa bei ndogo bado utapata FAIDA.
Maana yake kila mdau atanufaika na kuwa SALAMA.

KilimoCom Tanzania Limited tunayo package maalumu kwa zao unalolima tukusaidie kuvuna mazao mengi bora kwa usalama wa MLAJI na MAZINGIRA.
Andika neno PACKAGE tuma kwa
Whatsapp 0625 938 529 tukusaidie haraka.

17/08/2026

Acha Kulima,Ndio!Nasema acha Kulima tukubaliane kwanza hili jambo ndipo uendelee Kulima.

Kilimo ni Uzalishaji,
Uzalishaji ni Kuongezeka.
Ona hii,"Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki".Mwanzo 26:12

Kwa taarifa yako;
Mavuno mengi yanaanza kwenye Upandaji,
Unatakiwa kupanda Mbegu bora na sio Nafaka,
Nafaka ni kwa ajili ya Chakula,Mbegu bora ni kwa ajili ya kupanda Shambani.
Mbegu bora inaandaliwa na kudhibitishwa.

Eneo la Ekari 1 kwa Kilimo bora unaweza kuvuna magunia 55 ya mahindi na magunia 30 ya mpunga.
Mbegu iliyodhibitishwa inapatikana kwa Mawakala wa Pembejeo waliodhinishwa kwa kupatiwa VIBALI maalumu k**a KILIMOCOM TANZANIA LIMITED.
Sio kila Wakala anaweza kukupatia Pembejeo bora,tafadhali usichanganye mambo hapo.

Tuambie unalima zao gani kupitia Whatsapp +255752405510 tukwambie PAKEJI SPESHO tuliyoandaa kwa ajili yako ili tukusafirishie BURE.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Ifakara?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

P. O Box 71, Kilombero/
Ifakara