Classroom

Classroom

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Classroom, Education, Handeni.

22/11/2019

Katika mtaala mpya wa elimu kuanzia darasa I-VI,,umejikita Katika ujuzi yaani uwezo wa kutenda Kwa kile alichofundishwa mwanafunzi. Ushauri Kwa walimu wenzangu tufundishe watoto Kwa Kwa kutumia mbinu nzuri ili tuweze kufikia malengo yetu tuliyojiwekea.

10/04/2018

Je mtoto huyo atakuwa na uelewa mzuri darasani?? Toa maoni yako.

22/01/2018

Mabaliko ya mtaala wa elimu ya Tanzania una manufaa yake na changamoto zake,,moja ya manufaa ni kumjenga mtoto kuwa na uwezo wa kutenda zaidi katika ujifunzaji wake,, ila changamoto ni upatikanaji wa baadhi ya vifaa vya kufundishia na kujifunzia. pia naomba ufahamu kuwa watoto ambao kwa sasa wapo darasa la nne wataishia darasa la sita yaani hakutokuwa na darasa la saba.

21/11/2017

Kisomo chenye manufaa ni kile Kisomo ambacho kitamjenga mtu kuwa na uwezo wa kutenda kile alichojifunza na hatimaye kuweza kujitegemea kiuchumi.

06/06/2017

MABADILIKO YA MTAALA Wizara ya elimu sayansi na teknolojia imefanya mabadiliko ya mtaala wa elimu ya msingi Tanzania,,,, Ambapo katika mtaala huo unaonesha kuwa elimu ya msingi itakuwa na madarasa kumi (10),, yaani darasa la I-VI na kidato cha I-IV. Ufafanuzi ni kuwa Mtoto atasoma darasa la kwanza hadi la sita, kisha ataendelea na ngazi ya sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne, hivyo jumla ya madarasa yanakuwa kumi (10).tutaendelea na hatua inayofuata......

20/05/2017

Napenda kuwakaribisha wadau mbali mbali katika page yangu ya classroom ili kuweza kupata mambo yanayohusiana na elimu.

Want your school to be the top-listed School/college in Handeni?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


Handeni