MrSolarGrid

MrSolarGrid

Share

tunashughulika na kufunga umeme wa Solar katika ubora wa hali yajuuu kabisa. karibuni sana world wide

24/08/2026

Mitambo mikubwa yakisasa kwa matumizi ya umeme wa viwandani na sehemu za biashara kubwa zenye mahitaji makubwa zaidi ya umeme.
Karibu, nii Inverter za KVA 120kva, 150kva, 250kva. 350kva, na 500kva.

Photos from MrSolarGrid's post 23/07/2026

Solar Carport
Kwa matumizi ya kupaki gari yako na kuzalisha umeme kwa wakati mmoja.
Inakupa uhakika wakutokuwa tegemezi wa chanzo kimoja cha umeme.
Inakuhakikishia kuwa na umeme 24hrs
Inakuondolea gharama ya kununu umeme LUKU.
Inaongeza thamani ya nyumba yako.

Hii ni system imeundwa kwa muunganiko wa-
PV solar panel 620W 16pcs
Inverter 20kW 3phase 1pc
Lithium battery 15kWh 2pcs

Inazalisha Unit zaidi ya 48kWh kwa masaa 7 ya jua hivyo ikiwa tutakuwa na jua zaidi ya masaa 7 basi tutazalisha zaidi ya Unit 52kWh kwa siku.

Battery storage ni 30kWh
Sawa na Unit 25.92 usable capacity.

Inverter ya three phase 20kW

Mteja anaokoa TZS 10,000 ~ 12,460 kwa siku
Sawa na TZS 295,000 ~ 386,260 kwa mwezi
Sawa na TZS 4,000,000 ~ 4,547,800

Hesabu hii nikwamujibu wa gharama ya Unit 1 ikiwa pamoja na makato ya EWURA, na REA plus VAT ya 18%

Je wewe kwa siku, wiki, au mwezi unatumia umeme wa TZS ngapi?.

Want your business to be the top-listed Engineering Company in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Geita
30101