Royal Agro-school

Royal Agro-school

Share

sponsored by AmoxEnterprises

12/01/2024

Unapenda kula???
Unasuburi nini???
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚???

17/12/2023

Hapa lazima kilimo kihusike kuokoa uchumi wa kizazi cha Leo

30/11/2023
24/05/2023

What do you think of this?? Drop your comment๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

24/05/2023

I was like to give up๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚juu ya viwavi jeshi

08/05/2023

Mimi ni kilimo, kilimo ni mimi๐ŸŒพ๐ŸŒป๐ŸŒฑ

03/05/2023

Baada ya palizi la kwanza, mahindi hushambuliwa na wadudu aina ya viwavi ambao huharibu majani na kiharibu mmea wa hindi kabisa,,hivyo mkukima unashauriwa kupulizia dawa ya kuulia wadudu hao ili kuruhusu mahindi yako kukua kwenda hatua ya pili ya kuzaa pingili za mmea wake๐Ÿ™๐Ÿ™usikose post zinazofata zitazohusu matumizi ya chemikali za kilimo...

03/05/2023

Katika kilimo cha mahindi,, unashauriwa kutumia mbolea ya DAP wakati wa kupanda,UREA/NPK wakati wa kukuzia mahindi zaidi UREA ni nzuri kwenye udongo wa kichanga Kwa sababu in madini mengi ya phosphorus ambayo hupotea sana kwenye udongo wa aina hiyo...unaweza kuweka mbolea ya kukuzia kufikia wiki ya Tano baada ya kupanda..

03/05/2023

Kwa kawaida kilimo huanza Kwa mikakati ya namna ya kuendesha aina ya kilimo na zao unalohitaji kupanda, muhimu zaidi ni kuweka sawa bajeti ya mradi Toka mwanzo wa mradi mapka hatua ya kuvuna.
Hii husaidia zaidi kufahamu mwenendo wa mradi na faida za mradi baada ya mavuno

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Geita?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Geita