Renee Collection
We offer variety of women handbags from well-known brands all over the world, different sizes, color with well touch out pockets and zips.
23/11/2019
Daktari Mkuu wa Kitengo cha Ultra Sound katika Hospitali ya Chakechake, Zanzibar Masoud Abdallah mwenye umri wa miaka 53 amekamatwa na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) kwa tuhuma za kuomba rushwa ya ngono kwa mgonjwa mwenye mimba ili ampatie huduma ya uchunguzi kwa kina.
-
"Huyo Mama Mjamzito alishafika Hospitalini hapo mara tatu mfululizo lakini hakupata matibabu kutokana na Daktari kudai rushwa ya ngono ndipo amuhudumie"-ZAECA
_
Baada ya kuweka mtego tulifanikiwa kumkamata akiwa chooni pamoja na mteja wake na tuliwakuta wakiwa wamevua nguo, tumemuhoji na kumpa dhamana kwakuwa ni haki yake”-ZAECA
22/04/2019
Wapenzi na walaji wa dagaa wa mwanza nawakribisheni kwa oder zenyu wako wanapatikana kwa saizi na idadi utakayo penda karibuni sana
27/08/2016
Zimebaki Chache, wahi Mapema kabla hujakosa Mikoba Bora, toka kwa Renee Collection! Order NoW! 0759 217 160
20/06/2016
New available
Mzigo mpya huo Sasa unapatikana so plz check me!
20/06/2016
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Mwanza
Geita