Kinka Computer
UKURASA MAALUMU UNAOTOA TAARIFA, MATUKIO NA HUDUMA ZA (KiNKA)
JIUNGE NASI ILI UPATE TAARIFA ZAID.
17/07/2026
28/05/2026
๐ SOMO LA 4:
Tofauti kati ya HDD na SSD
๐พ HDD (Hard Disk Drive)
โ Bei nafuu
โ Nafasi kubwa ya kuhifadhi mafaili
โ Inafaa kwa movies, music, documents na matumizi ya kawaida
Hasara yake:
โ Speed yake ni ndogo kidogo
โก SSD (Solid State Drive)
โ Speed kubwa sana
โ Computer kuwaka haraka
โ Programu kufunguka fasta
โ Inapunguza kuganda kwa computer
Inafaa kwa:
๐ฌ Editing
๐ง Studio
๐ผ Office nzito
๐ฎ Games
Na kazi zinazohitaji speed kubwa
๐ โSSD ni k**a kuongeza injini ya speed kwenye computer yako.โ
Mfano:
Computer yenye HDD inaweza kuwaka ndani ya dakika 1
Lakini yenye SSD inaweza kuwaka ndani ya sekunde 10โ20 tu ๐
27/05/2026
๐ SOMO LA 3:
RAM ni nini na kwa nini ni muhimu?
๐ง RAM ndiyo โspeed ya akili ya computerโ
Kazi yake ni kusaidia computer kufanya mambo mengi kwa haraka bila kuganda au kuchelewa.
Mfano:
Ukifungua Chrome, Word, kuplay Music, Kuconvert, kukopy vitu sehem nyingi kwa wakati mmoja n.k kwa pamoja
RAM ndiyo inayosaidia vyote vifanye kazi vizuri kwa wakati mmoja.
๐น 4GB RAM
Inafaa kwa matumizi ya kawaida
(Word, typing, browsing, Kulusha movies)
๐น 8GB RAM
Inafaa kwa biashara, office na matumizi ya kila siku kwa speed nzuri (kwa wenye foleni kubwa ya wateja)
๐น 16GB RAM
Kwa kazi nzito zaidi
(Video editing, gaming, graphics, multitasking kubwa) pia humcheleweshi mteja
๐ RAM ikiwa ndogo sana computer inaweza kuwa nzito au kuganda
๐ RAM kubwa inasaidia computer kufungua programu kwa haraka na kufanya kazi smoothly bila kukwama ๐ป๐ฅ๏ธ
26/05/2026
๐ SOMO LA 2:
Tofauti kati ya Processor i3, i5 na i7
Processor ni โubongoโ wa computer ๐ป๐ง
Kazi yake ni kufikiria na kuendesha kila kitu ndani ya computer.
Mfano: Ukifungua music, kuandika Word, kucheza game, Kuconvert au kuingia internet โ processor ndio inayochakata hizo kazi zote.
Processor huwa na aina k**a:
Intel Core i3
Intel Core i5
Intel Core i7
Tofauti yake ni nguvu na speed ya kazi.
๐ป i3
Inafaa kwa matumizi ya kawaida (typing, browsing, Excel)
๐ป i5
Kwa ofisi na biashara (kazi nzito)
Ina speed nzuri
๐ป i7
Kwa kazi nzito zaidi (design, video editing, programming)
Inaokoa unamsongamano wa wateja/kazi kwenye biashara yako
๐ โChagua processor kulingana na kazi yako, siyo kwa sifa tu.โ
25/05/2026
๐ SOMO LA 1:
Kuelewa Computer kabla ya kununua
Wateja wengi hununua bila kujua tofauti ya vifaa.
๐ป Computer ina sehemu kuu 4:
Processor (i2, i3, i5, i7)
RAM (speed ya kazi)
HDD/SSD (uhifadhi)
Motherboard (sehemu inayounganisha vifaa vyote)
๐ Computer nzuri si bei tu, ni matumizi yako ndio yanayoamua.
24/04/2026
Ukizungumzia SPEED, basi HP Z210 ndio habari ya mjini hadi vijijini! ๐โจ
Mashine ya kazi kweliโipo fasta, imara na inafanya kazi zako zote bila kusuasua ๐
๐ป Jipatie Computer Complete:
๐น HP Z210
๐น HDD 500GB
๐น RAM 4GB
๐น Monitor 24โ
๐น Keyboard & Mouse
๐ฐ Bei ni nafuu sana + unapata punguzo la kipekee ๐
๐ Inafaa kwa:
โ Ofisini
โ Biashara (Cyber, Library, Studio, Printing, nk)
โ Matumizi ya nyumbani na masomo
๐ผ BONUS:
Pata mabango HD tayari yameandaliwa kabisa โ unafika unachagua, hakuna kusubiri foleni!
๐ฒ Wahi mapema uwe wa kwanza kupata ofa hii kabla hazijaisha!
05/04/2026
๐
โจ Hayupo tena kaburini, Amefufuka! โจ๐
Kinka Pc tunaungana na Wakristo wote kusherehekea neema na ushindi wa kufufuka kwa Yesu Kristo katika Sikukuu ya Pasaka.
Katika kipindi hiki cha tumaini jipya, tunawatakia wateja wetu na familia zenu:
๐ค Amani ya kweli
๐ค Upendo wa dhati
๐ค Mafanikio mapya
Asanteni kwa kuendelea kutuamini na kutuchagua. Tutaendelea kuwahudumia kwa uaminifu na ubora wa hali ya juu.
Heri ya Pasaka! ๐โจ
04/04/2026
K**a ilivyo desturi ya siku na tarehe k**a ya jana, huwa ni siku ya ukimya ๐คซ, tafakari ๐ฏ๏ธ, na shukrani ๐.
Tunapenda kukukaribisha kwenye duka letu ili tukuhudumie mteja wetu mpendwa ๐. โฃโฃโฃโฃ
Hapa dukani kwetu, kuna bidhaa mbalimbali zinazokidhi mahitaji yako, k**a vile:
Kompyuta Mpya ๐ป
Hard Disk Original ๐พ
Mabango HD ๐ผ๏ธ n.k.
Tunafuraha kukujulisha kuwa kesho na kesho kutwa tutakuwa na offa maalum ya punguzo la bei ๐ฐ, k**a shukrani na sadaka kwa wewe, mteja wetu wa thamani ๐.
Pamoja tuko nawe, tena na tena ๐คโจ
01/04/2026
K**a ilivyo desturi yetu, tunaendelea kujitahidi kuboresha maisha ya wateja wetu kwa kuwaletea huduma bunifu na zenye tija ๐ผโจ
Leo tunajivunia kumtambulisha Mteja wetu wa nguvu __________ kutoka Nyehunge ๐๐ฅ
Alianza safari yake kwa kuwekeza kidogo kidogo kupitia mfumo wetu wa HABA & HABA ๐ฐโก๏ธ๐ป
Na hatimaye leo amefikia lengo lake na kuchukua Computer Complete kwa bei elekezi maalum kutoka kwa Mr. Bei Kitonga ya Tsh 350,000 tu ๐ฅณ
Sio hivyo tu!
Pia ametuchangia HDD 3TB kwa bei ya punguzo ๐๐พ
Hongera sana kwa uamuzi sahihi na uwekezaji wenye tija! ๐
Na wewe pia karibu ujiunge nasi ๐ค
Endelea kuwa mwanafamilia wetu, ujifunze kuhusu fursa mbalimbali za uwekezaji kupitia huduma zetu pamoja na mbinu rahisi na salama za kuongeza mtaji wako ๐
๐ฒ Tufollow kwenye mitandao ya kijamii:
๐ค 0764611871
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Kinka Movies Bugulula
Geita
2022
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 21:00 |
| Tuesday | 08:00 - 21:00 |
| Wednesday | 09:00 - 21:00 |
| Thursday | 08:00 - 21:00 |
| Friday | 08:00 - 21:00 |
| Sunday | 10:00 - 16:00 |
13/04/2026