TISD
Driving school �
💰📚 Financial Management for Kids 👧🧒
Wajengee watoto wako msingi bora wa kifedha mapema!
Kupitia michezo ya fedha, kuweka akiba, bajeti na miradi midogo ya biashara, tunawaandaa kuwa wajasiriamali wa kesho.
📍 Dodoma, barabara ya tisa jengo la Bible tower
👉 Wekeza kwenye mustakabali wa mtoto wako leo!
📞 061 562 2742
📩 [email protected]
InvestInTheFuture WatotoWaLeoViongoziWaKesho 💡💰
02/02/2026
Quality, safety and security to our clients. We empower skills and transform lives
Come ride with us, you won't regret!!
24/01/2026
🚗 Jifunze udereva na kompyuta kwa vitendo ukijengewa ujuzi, nidhamu, na kujiamini barabarani.
🛣️ Tunatoa mafunzo ya udereva salama yanayokidhi viwango vya kisasa.
🌟 Anza safari yako ya udereva leo na uwe dereva bora wa kesho.
Kwa uhitaji wa mafunzo va vitendo hii sio ya kukosa huduma zetu zinazingatia viwango vya ubora Ili kukupa wewe mteja wetu uwezo wa kujifunza vizuri na kutopata shida kipindi Cha mafunzo wote mnakaribishwa
20/01/2026
Kozi za udereva na kompyuta !! Mwambie rafikiako amwambie rafikiake hii siyo ya kukosa, ubora ni tabia yetu... Karibu utatushukuru baadae, this is no lie!!!
Click here to claim your Sponsored Listing.