MC Rhevan
Do you want your guests to remember your event for the right reasons, or do you risk having your eve
12/04/2025
UZINDUZI WA BARAZA LA FAMASIA
Mgeni Rasmi Mh. Jenista Mhagama Wariri wa Afya katika Uzinduzi wa Baraza la Famasia amesisitiza weledi na ubunifu kwa kwa wajumbe wapya wa Baraza ili kuwa na tija kwa sekta ya dawa nchini.
10/04/2025
On Site Meditation. Thank You Got For Making Our Harambee Successful
10/04/2025
HARAMBEE KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO KITERERE.
Tunamshukuru MUNGU kwa kufanikisha HARAMBEE yetu zaidi ya Shilingi Millioni Ishirini na MojaFedha Tasimilu za Kitanzania zilipatikana kwa ajili ya Ka*i ya MUNGU.
Nitumie wasaa huu kuwashukuru Sanaa Ndugu, Jamaa na Marafiki wote walioungana pamoja nasi kufanikisha kazi hii ya Mungu. MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUWABARIKI KILA SIKU.
08/04/2025
Zimebaki siku NNE TU. Washereheshaji wote Tanzania tukutane Arusha.
Usikose fursa hii ya kushiriki kongamano kubwa la kipekee na ziara ya utalii Arusha 2025.
06/04/2025
KONGAMANO LA WASHEREHESHAJI - ARUSHA
Washereshaji wote Tanzania tunakutana Arusha na Mheshimiwa Waziri Mkuu k**a MGENI RASMI na Mwenyeji wetu Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa Ajili ya kujiongezea uwezo na kuwa na weledi katika utendaji kazi.
Asanteni Sanaa Viongozi wetu kwa kutuheshimishisha WASHEREHESHAJI TANZANIA. Baraza la Sanaa Tanzania BASATA .tanzania k**a Mratibu na Msimamizi wa shughuli zetu za Wasanii Tanzania watakuwepo pamoja na wadau wengine.
@mc_chinaa
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Makole/Dodoma
Dodoma