Dodoma SCOUT

Dodoma SCOUT

Share

Falsafa za mtaa

08/06/2025

TUJIADHALI SANA NA HIKI KITU KINAITWA NYAMA ZA BURE RAFIKI ZANGU.

Kuna ongezeko kubwa sana la mama zetu na dada zetu kupewa nyama za bure MISKITINI na baadhi ya TAASISI kwa kivuli Cha misaada.
Hii ni anguko kubwa sana kwa watu wakimbiliao hii misaada, sizani K**a mpaka leo watu tunahitaji misaada ya chakula haswa hizi nyama ambazo tunaambiwa tu wamejitolea WATURUKI 🤔.
Najalibu kuangalia UTAKATIFU wa hao wanaotupa hiyo misaada siuoni kabisa, najalibu kuangalia huruma wanayotuonea pia bado sioni.
Yani WATURUKI hawa hawa tunaogombania nao malaya club na wanapanda dau kwa dada zetu wawape kaumu rutu leo wawe na utakatifu wakutulisha eti sisi ni maskini 🤔.

Imenishtua Sana kuona sikuku ya leo zimechinjwa ng'ombe na kondoo kedekede eti tunatoa sadaka alafu nyama haupati mpaka upigwe picha fuccck😂.

Hivi mmewahi kujiuliza wao huko kwao hawana ndugu au jamaa wenye uhitaji??

Hivi mmewahi jua anayekulisha ndo atakayekuongoza??

Umewahi kujua kumpa mtu chakula ni njia rahisi ya kumtawala??

Umewahi kudadisi kujua ni nani anazamini hiko kitu na hela zake inapatikana vp??

Umejiuliza anapata faida gani yeye kufanya hvyo??

Ni maswali machache tu tu unapaswa kujiuliza kabla ya kuchukua nyama ukapike rosti yako.

Nauwakika Misaada hii itaongeza umaskini kwenye kaya zetu, sababu msaada ni siku ya kwanza ila ya pili ni mazoea na ya tatu ni utaratibu.
Utaratibu huu ukizidi utaongeza ombaomba na mategemeo makubwa ya kupewa msaada na watu watafanya K**a ni haki yao kupewa.

Stay tune sijaishia hapa.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


WWW. DODOMASCOUT. COM
Dodoma
DODOMA