House Plan Design
Pata ramani za nyumba za kisasa kwa bei nafuu. Tunatoa huduma zifuatazo;-
1. Kuweka Vipimo kwenye ramani mbalimbali bei inaanzia 60,000
Kusanifu na kuchora ramani za nyumba aina zote na kuandaa michoro yote kwa ajili ya ujenzi bei inaanzia 150,000
2.
Ukitaka kujua makadirio ya gharama za nyumba.
Chukua square mita za nyumba unayotaka kujenga zidisha kwa 350,000/= kwa nyumba ya chini. Kwa ghorofa zidisha square mita kwa 400,000/= zidisha mara idadi ya floor unazojenga
Kwa mahitaji ya Ramani za nyumba Piga/WhatsApp: 0789 920 150
25/02/2023
RAMANI NYUMBA YA VYUMBA VITATU
Ramani vyumba vitatu
Chumba kimoja ni master, viwili vya kawaida pia ina Sebule kubwa, jiko, store, bafu na choo cha public.
Kwa mahitaji ya ramani za nyumba piga/WhatsApp:
MAWASILIANO: 0789 920 150
Hamna mtu anahitaji ramani ya nyumba humu.
19/02/2023
https://wa.me/c/255789920150>>https://www.youtube.com/channel/UCekOFRvCUiINg74xzv06vXw/featured?sub_confirmation=1
View Knowledge's catalogue on WhatsApp Learn more about their products and services
Niwauzie Ramani au mpo bize na mpira?
19/02/2023
RAMANI YA NYUMBA YA VYUMBA TATU.
Ina 👉Vyumba vitatu, chumba kimoja ni master
👉Sebule, jiko, stoo na choo cha public
👉Tofali 2800 na bati 128
Bei ya ramani ni 220,000/= (Inaweza kupungua au kuongezeka)
Kuona video na mpangilio wa vyumba ingia hapa>>>https://youtu.be/ITMWwhBxtmc
16/02/2023
Habari zenu wapendwa.
Ramani ya chumba kimoja na sebule
Angalia muonekano wake wote hapa>>https://youtu.be/3eBhCSSHugc
Kuna watu wanachanganya sana haya mambo ya ujenzi.
1. K**a unahitaji ramani na unajenga eneo ambalo linahitaji kuomba kibali cha ujenzi bei ya ramani ni kuanzia 250,000/= hadi 450,000/= kwa nyumba za kawaida za kuishi.
2. K**a unajenga eneo ambalo halihitaji kuomba kibali cha ujenzi bei ni kuanzia 150,000/= hadi 350,000/= kwa ramani ambayo inakuwa na kila kitu.
3. K**a unataka floor plan tu yenye vipimo bei ni kuanzia 50,000/= hadi 150,000/=.
4. Hata hivyo bei ni makubaliano hata ramani ya bure unaweza kupata😂😂
Katika hii page ya watu 12,000 kila mtu akinipa 10,000/=
Jumla nitakuwa na =12000X10000= 120,000,000.00
Kwanin msinitumie niachane na haya mambo ya ramani za nyumba ndugu zangu😂😂😂
Happy Valentine's day wateja wangu
Nani nimchoree ramani ya nyumba kwa bei nafuu kabisa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Uzunguni
Dodoma
33000