Matrixer
Lengo la Ukurasa huu ni kupata watu wenye uwezo wa "kurap" HIP HOP ili niweze kupata uzoefu wa kucha
15/03/2019
¥>>>>>π
mademu wa iphone, daily insta na whatsapp, bajet yao milioni, mwendo wa kuku na supu, ctaki kutolewa nishai, et kisa pale kati, ndo maan nataka mmasai, anaekunywa chai na karoti!!!!
chochote, xo mbishi ni ngangari, ctaki chuma ulete, et ndo ninunue gari, nshazichuma kwa kikwete, kbabe naponda mali, sasa ya nini niogope, wakat na ukmmw tayar, c bora nshushe net maana mbu ndo hatari!!!!
kiki, mm ni true mc, kwenye beat sik**atiki, mamluki nawatoa lesi, ding ukpenda muziki, 2uulize kwanza waasisi, so kuleta flow za kitozi, k**a mshamba wa maiki, m natest verse, washkaj msiweke chuki!, coz hii n universe, kila m2 ruksa kumiliki!
ucku namwomba mungu,nzd kimbza hapa bongo mpk kwa mzungu, ingawa kila ck majungu, bt mi cwez choka kutetea kpaji changu$
HEAVY leso mfukoni jasho nafuta, cna kibunda mfukoni lakin sichoki kutafta, mtoto wa kiume nipo makini, kwa kidogo nachopata, ndo maana nachukia umasikini, just y ctak kurud nilikotoka, what!!!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dom Town
Dodoma
DODOMA