NegoFit

NegoFit

Share

Nawasaidia Wanaume Walio OA Kuondokana na Changamoto ya Nguvu za Kiume Kupitia Program Ya Matunda, Lishe na Mazoezi.

07/02/2025

Moja Ya Changamoto Ambazo zinapelekea Mwanaume uwe na Changamoto za Nguvu za Kiume ni Pamoja na Bawisiri

Sasa basi, Tibia Changamoto Ya Bawisiri Kwanza Kwa Kufanya Hivi 👇👇

Unahitaji kuwa na:....

1. Unga wa magome ya mng'ongo vijiko vya chakula vinne (4)

2. Unga wa habat soda vijiko vya chakula vinne (4)

3. Bakali hadi vijiko vya chakula vinne(4)

4. Manemane vijiko vya chakula vinne (4)

5. Mafuta ya nyonyo

Matayarisho na Matumizi Yake:

Changanya mng'ongo, habbat soda, bakali hadi, na Manemane kisha chemsha kwenye maji ya lita sita, viache vichemke kwenye moto wa wastani kwa dakika 20 hadi 30, epua na uache ipoe ikiwa imefunikwa. Baada ya kupoa chuja kwa chujio au kitambaa safi upate maji yake tu.

Utakuwa kunywa nusu kikombe cha dawa hii kutwa mara mbili kwa siku 25, Pia uatakiwa kuwa anapaka mafuta ya nyonyo kwenye huo uvimbe wa bawasiri kila anapotoka chooni.

Usisahau kuzingatia utaratibu wa kula maana ni Muhimu katika kukusaidia kuondoka kabisa Changamoto ya Bawisiri.

K**a utahitaji Dawa tuliyooandaa sisi kukusaidia kuondokana na Changamoto ya Bawisiri Tuma Ujumbe WhatsApp Kwa namba hii 0745434130

Swahiba Wako Hapa

20/01/2025

K**a Miongoni Mwa wale Ambao mnahaingaika na Changamoto ya Ngiri.

Nenda Katika duka La Tiba asili.

Chukua Unga Wa Mimea Wa Msokonoi Na Mtulatula:

Kisha Andaa Dawa Hii:

Mahitaji:

1. Mizizi ya ntulantula - kijiko kimoja cha unga
2. Mizizi ya msokonoi - kijiko kimoja cha unga
3. Maji ya uvuguvugu - vikombe viwili

Jinsi ya Kuandaa:

1. Changanya unga wa mimea yote miwili kwa uwiano sawa (kila moja kijiko kimoja).
2. Chemsha vikombe viwili vya maji hadi vichemshe.
3. Ongeza mchanganyiko wa unga ndani ya maji moto na uache kwa dakika 10 ili kuiva vizuri.
4. Chuja na uhifadhi maji ya dawa tayari kwa matumizi.

Matumizi:

✓ Kunywa nusu kikombe mara mbili kwa siku (asubuhi na jioni).
✓ Endelea kutumia kwa siku 7 hadi 14 au kulingana na maendeleo ya afya yako.

Faida za Mchanganyiko:

∆ Hupunguza maumivu na uvimbe kwenye ngiri na busha.
∆ Huimarisha misuli na mishipa ya damu.

Ikiwa Unahitaji Dawa Ambayo Tayari Imeandaliwa, Piga Simu Au Tuma Message kwenda WhatsApp namba 0745434130

Swahili wako Hapa

19/01/2025

*Fanya Hivi Kuondoa Fangasi Sehemu za Siri*

Poleni sana wanaume mnaosumbuliwa na tatizo hili nalijua jinsi ambavyo huwa linasumbua unaweza kutamani hata kuzikata nyeti zako. Na inawezekana umeshatumia dawa nyingi sana lakini ma-fanikio yamekuwa madogo leo napenda ujifunze dawa hii rahisi ila huwa inawasha kiasi kwa siku mbili au tatu za mwanzo ila baadae mambo huwa mazuri sana.

Fangasi kwenye kende zinaweza kukufanya ujiskie vibaya na usiwe comfortable unaposhiriki Tendo la ndoa hivyo ni Muhimu kuondokana na Changamoto Hii Ili Kufanya Vizuri Tendo la ndoa.

Mahitaji:

(i.) Mafuta ya nyoyo

(ii.) Kitunguu saumu

(iii.) Aloe vera

Matayarisho na matumizi yake:

Chukua kitunguu saumu na aloe vera na uvisage kwa pamoja kisha viweke kwenye mafuta ya nyonyo na uchemshe kwa pamoja kwa dakika 5, epua na acha yapoe na uyachuje, mgonjwa anatakiwa kupaka mafuta hayo kutwa mara mbili kwa siku 5 hadi saba.

Kwa Uwezo wa Mungu Mambo Yatakuwa Mazuri zaidi.

19/01/2025

*Dawa Ya Kukosa Usingizi*

Tatizo hili la kukosa usingi kwa kiingereza linajulikana k**a Insommia na limegawanyika katika makundi makuu mawili.

Kundi la kwanza ni lile la huwa linatokea na kupotea na kundi la pili ni lile linalotokea kwa muda mrefu na mfululizo labda majuma kadhaa au miezi kadhaa.

Zipo sababu nyingi zinazopelekea tatizo hili la kukosa usingizi k**a...

Mawazo mengi, matumizi ya pombe au vinywaji vyenye Caffeine kwa wingi, na matatizo mengine ya kiafya.

Hivyo ni muhimu sana kutambua chanzo cha tatizo lako na kujita- hidi kurekebisha chanzo hicho ili uweze kupona kabisa. Wakati unaendelea kupambana kurekebisha chanzo chenyewe tumia dawa ifuatayo:

Mahitaji:

Mafuta ya Nyonyo

Maandalizi na Matumizi:

Ukifika muda wa kulala safisha uso wako vizuri kwa maji ya vuguvugu kisha chukua matone kadhaa ya mafuta ya nyonyo na uyapakaze kwenye kope zako.

Baada ya kupakaza panda kitandani na ulale baada ya muda mfupi sana utasinzia kabisa.

Endelea kutumia mafuta haya hadi pale utakapoona umeanza kupata usingizi kirahisi kabisa.

NB Usingizi ni Muhimu Kwa afya Yako ya Uzazi Mwanaume jitahidi ulale at least Masaa 7-9 Kwa Usiku

Hope umepata kitu

Swahiba Wako Hapa

18/01/2025

*Fanya Hivi Kutibia Changamoto Ya Vidonda Vya Tumbo*

Vidonda vya tumbo ni miongoni mwa magonjwa ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula katika mwili wa binadamu.

Vidonda Vya Tumbo vinaweza Kuathiri Nguvu za Kiume Moja Kwa Moja Au Kwa Namna Isiyo Ya Moja Kwa Moja

Hivyo Unahitaji Kutibia Changamoto Ya Vidonda Vya Tumbo K**a Hatua Ya Kwanza Kabla Ya Kutibia Changamoto Ya *Nguvu za Kiume*

Mahitaji.

(i.) Unga wa manjano
(ii.) Asali

*Matayarisho na Matumizi Yake:*

Chukua maji ya vuguvugu kikombe kimoja cha chai kisha chukua kijiko cha chai cha unga wa manjano weka kwenye maji hayo na ukoroge vizuri kisha weka kijiko kimoja kikubwa cha asali kwenye mchanganyiko wako huo koroga tena

Kunywa kikombe kimoja asubuhi, kingine mchana na kingine jioni. Tumia dawa hii kwa wiki tatu hadi mwezi kwa uwezo wa Mungu utakuwa umepona.

Hope Hii Utafanyia Kazi✅✅

Swahiba Wako Hapa

*NegoFit*

18/01/2025

*CHANGAMOTO YA KUKOSA CHOO*

Kukosa Choo au Kujisaidia Choo Kigumu husababishwa na mfumo mbovu wa mmengenyo wa chakula.

Kukosa choo Kunaweza Kusababisha gesi Tumboni, kukosa hamu ya kula, Tumbo Kujaa na Kuuma

Pia choo kigumu husababisha udhaifu kwenye pelvic floor muscles (Misuli inayounda uume) hali hii hupelekea Udahifu kwenye tendo la ndoa pamoja na kuvimba kwa misuli ya Njia ya haja Kubwa na Kupelekea BAWASIRI..

*Jinsi Ya Kuondokana na Changamoto Hii*

1. *Formula Ya Kwanza*

Mahitaji:

Chumvi Ya Mawe , Maji Ya Moto,Tangawizi, Binzari na Limao.

*Jinsi Ya Kuandaa*

Chemsha Maji nusu Lita,Tia vijiko viwili vya
chumvi ya mawe,sagia kipande Cha tangawizi na Kipande cha binzali kamulia limao Kisha chuja.

Kunywa huo mchanganyiko wote subiri dakika 30 Hadi saa moja..utaenda chooni .

2. *Formula Ya Pili*

Mahitaji:-
Nusu kilo ya ukwaju na Maji ya moto

*Jinsi Ya Kuandaa*
Chemsha maji Lita moja,tia ukwaju WAKO iache kwa saa moja, uchuje vizuri, kunywa huo mchanganyiko wote utaenda chooni

3. *Formula Ya Tatu*

Mahitaji:-
Tangawizi Kipande, Matango 2, Broccoli.

*Jinsi Ya Kuandaa*

Matango 2, broccoli kubwa Moja na tangawizi..brend na nusu Lita ya maji kunywa mchanganyiko wote

Utapata Choo Ndani Ya Muda Mfupi...

Hope Umejifunza Kitu

Swahiba Wako Hapa

NegoFit

17/01/2025

Njia Tatu za Kuondokana na *Kiungulia*,*Acid Tumboni*, *(Acid- Reflux)*

Hivi Vyote Unaweza Kutumia Ukiwa Nyumbani Kwako👇👇

1.*TANGAWIZI*
Antioxidant iliyoko kwenye tangawizi husaidia sana kutuliza hali ya tumbo kuzalishwa kiwango Kikubwa cha acid TUMBONI.

Hivyvo huondoa KIUNGULIA kwa muda mfupi sana Baada ya Kutumia.

*Jinsi Ya Kuandaa*

Andaa kipande cha tangawizi kisage Kisha tia kwenye Kikombe Cha maji ya moto, Tangawizi utumike kunywa kabla hujala chochote.

2.*MAJIVU*

Kwa kawaida MAJIVU KIKEMIKALI ni base wakati kinachokusumbua kukujaza gesi TUMBONI ni acid..
Na kwa kawaida acid ikikutana na base inageuka kua *Neutral*..Hivyo K**a Utatumia Majibu Uta *Neutralize* Acid Tumboni na Kuondoa Maumivu

*Jinsi Ya Kuandaa*

Chukua MAJIVU Ya jikoni kijiko kimoja, mix na Kikombe kidogo Cha Maji Baridi Koroga vizuri kunywa ...hali ya kiungulia KOONI itapoa

3. *MAJI YA MOTO*
husaidia Kupunguza kiwango Cha acid TUMBONI.

*Jinsi Ya Kuandaa*

Chemsha maji ya moto nusu lita.kunywa taratibu mpaka uimalize Utaondokana na Hali ya Gesi na Kiungulia Tumboni na Kooni

17/01/2025

Gesi Tumboni husababishwa na Njia kuu Mbili, Njia ya kwanza ni huko huko ndani wakati wa mwili ukimeng'enya chakula.

Na njia ya pili ni wakati wa kula au kunywa kuna kiasi fulani cha hewa huwa kinaingia kwenye mfumo wa chakula na kupelekea kutokea kwa tatizo hili.

Ikiwa unasumbuliwa na tatizo hili la gesi tumboni inaweza kupelekea kuathiri ufanisi wako wa Tendo la ndoa kwa namna Moja au nyingine hivyo basi k**a una changamoto ya Gesi tengeneza dawa hii

*Mahitaji:*

(i.) Baking Soda nusu kijiko cha chai

(ii.) Maji ya Limao kijiko kidogo kimoja

(iii.) Maji kikombe cha chai kimoja.

*Matayarisho na Matumizi:*

Changanya vitu vyote kwenye maji hayo na ukoroge vizuri kabisa. Kisha kunywa mchanganyiko huo mara baada ya kula chakula...

Fanya zoezi mfululizo kwa siku saba. Ikiwa utaiandaa na kuitumia kwa uaminifu k**a nilivyoelekeza hapa naamini baada ya siku hizo saba utakuwa umepona kabisa.

Hope Umejifunza Kitu

Swahiba Wako Hapa

NegoFit

Endelea kufuatilia ukurasa huu kujifunza zaidi.

03/01/2025

Kusimamisha uume asubuhi kunajulikana k**a Nocturnal Pe**le Tumescence (NPT) kwa lugha ya kitaalamu.

Hii ni hali ya kimaumbile ambapo uume husimama bila hiari wakati wa kulala au wakati wa kuamka asubuhi.

Sababu zinazopelekea usisimamishe Asubuhi ni Pamoja na...

Kutopata Usingizi wa Kutosha au Kupata Usingizi wenye usumbufu

Msongo wa Mawazo na Uchovu

Matumizi Ya Pombe na Madawa

Matatizo ya mzunguko wa Damu k**a Pressure, Kisukari,na Matatizo ya Moyo.

Kusimamisha Asubuhi ni kiashiria Cha Afya nzuri ya Uume na Mzunguko wa Damu.

K**a Unachangamoto hiyo Epuka Matumizi ya Pombe, lala Usingizi wa Kutosha, Punguza Msongo wa Mawazo.

Hope Umejifunza Kitu Swahiba

15/12/2024

*KANUNI YA KUBANA ( Squeeze Technique)*

Hii Mbinu inahusisha KUBANA sehemu ya juu ya Uume wako karibu na kichwa cha uume wako kwa sekunde kadhaa Wakati Unakaribia Kumwaga

Mbinu hii inasaidia kuchelewesha mshindo kwa kuzuia mbegu kutoka nje mapema na kukuwezesha kuendelea na tendo kwa muda mrefu...

Hope Umejifunza

Follow page hii kuendelea kujifunza zaidi

14/12/2024

*KUFANYA TENDO MARA KWA MARA*

*(Hii Kwa Wanandoa Tu!!)*

Kufanya tendo Mara kwa kunakufanya kuondoa wasiwasi, uoga, msongo wa mawazo kuhusiana na tendo lenyewe hivyo hupunguza hofu, na kuongeza kujiamini unaporudia kufanya kwa Mara nyingine.

Kadri unavyofanya tendo Mara kwa Mara unaweza kujifunza mwitiko wa mwili wako na kutambua ni wakati gani wa kumwaga hivyo unafahamu namna ya kudhibiti Hali hiyo kwa kupunguza kasi au Mkao wa kufanya tendo.

Hivyo kufanya Mara kwa mara itakusaidia kuelewa vizuri mwili wako na mwitikio wake Wakati wa tendo na kurekebisha hili mapema.

Hope Umejifunza Kitu

Endelea kufuatilia ukurasa Huu kujifunza zaidi, k**a Bado hujafollow Hakikisha unanifollow Ili usipitwe na Makala Mbalimbali.

Swahiba Wako Hapa

14/12/2024

*KANUNI YA KUVUTA PUMZI KWA NGUVU*

*(Breathing Technique)*

Ukiwa unafanya tendo la ndoa unaweza kuvuta Pumzi ndefu kwa kina ili kupunguza kasi ya mapigo ya Moyo, kuondoa hofi wasiwasi na uoga na kupunguza hisia za msisimko..

Vuta Pumzi ya kutosha kwa kina na toa taratibu, taratibu, Mbinu hii inaweza kukusaidia kupunguza mhemko, kuboresha mzunguko wa damu hasa mtiririko wa oxgen kwenye damu..

Unapovuta Pumzi kwa nguvu itakusaidia kuongeza uelewa wa mwili wako na kuongezea umakini kiakili na kimwili na hivyo kukusaidia kudhibiti changamoto ya kuwahi kumaliza.

Hope Umejifunza, Endelea kufuatilia ukurasa Huu kujifunza zaidi

Swahiba Wako Hapa

NegoFit

Want your business to be the top-listed Bakery in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Majengo
Dodoma
DODOMA