Dodoma MPYA
helo
Karibu katika page maalumu itakayokujulisha kuhusu mji mkuu wa dodoma, fursa zilizopo pamoja m
17/02/2021
15/09/2018
Tazama barabara za jiji la Dodoma zinavyopigwa deki kwa mashine Subscribe youtube channel yetu kupata video mpya kutoka Jiji la Dodoma
06/09/2018
http://dodomamc.go.tz/new/ujumbe-kutoka-jiji-la-dodoma-wawasiri-linz-kwa-ziara
Single News | Dodoma City Council A page template to display single news
05/09/2018
Oparesheni “Kupika na Kupakua” kuondoka na watu Dodoma Jiji Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi ameanza ziara ya kutatua kero na matatizo mbalimbali katika kata za jiji la Dodoma huku akiapa kusimamia haki za wa...
18/08/2018
Wavamizi wa eneo la Barabara jijini Dodoma wavunjiwa kupisha ujenzi wa Lami Maandalizi ya kufungua barabara ya mzunguko wa nje (Mlimwa Outer Ring Road), Wavamizi wa eneo la barabara mitaa mbalimbali ya jiji waondelewa.
16/08/2018
Adha ya Kukosa Kituo Kikubwa cha Daladala yapatiwa ufumbuzi jijini Dodoma Upanuzi wa Kituo Cha Daladala eneo la Sabasaba unaendelea jijini Dodoma na daladala zote zinazofanya safari
25/07/2018
Dodoma kuwa jiji la mfano kwa usafi Tanzania Jiji la Dodoma limeingia mkataba na Kampuni ya Green Waste kwa ajili ya kufanya usafi wa jiji kwa majaribio katika kata sita zilizopo katikati ya jiji.
25/06/2018
MATIBABU YA KIBINGWA HOSPITALI TEMBEZI YAANZA LEO JUNI 25 JIJINI DODOMA
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeanza rasmi zoezi la siku 5 la kutoa huduma ya matatibu kwa wagonjwa mbalimbali kwa mfumo wa Hospitali Tembezi linalofanyika katika Hospitali Teule ya Wilaya Mtakatifu Gemma iliyopo Kata ya Miyuji Jijini humo.
Mganga Mkuu wa Jiji la Dodoma Hamad Nyembea amesema huduma ya Hospitali Tembezi ni jukwaa linalowakutanisha madaktari Bingwa wa fani mbalimbali za utabibu k**a mgonjwa ya akina mama na watoto, Figo, Moyo, Koo na Pua, Kinywa na Meno, Shinikizo la Damu, Sukari, Tezi Dume, Shingo ya Kizazi, Macho, Masikio, pamoja na upasuaji wa mifupa na wa kawaida.
Ametoa wito kwa wakazi wa Jiji la Dodoma na Wilaya za jirani hususan wanaosumbuliwa na maradhi mbalimbali kutumia fursa hiyo vizuri.
"Kuna wagonjwa wengine ambao wameandikiwa rufaa kwenda Hospitali za mbali k**a Muhimbili Dare es Salaam na hawana uwezo, hii ni fursa kwao kwani hapa kuna madaktari Bingwa wa fani zote na watahudumia kwa muda wa siku tano kuanzia leo, mpaka Ijumaa Juni 29.
Alifafanua kuwa utaratibu wa matibabu ni wa kawaida ambapo wagonjwa wenye Bima za Afya za NHIF na CHF watatibiwa kwa kutumia kadi zao na wale wasio na Bima watachangia Shilingi elfu 5 k**a gharama ya kuonana na Daktari, na kwa huduma ya upasuaji mgonjwa atachangia Shilingi elfu 30 tu.
Karibu dodomaMpya page! Mahali ambapo utapata fursa ya kujua shuhuli za uchumi na maendeleo zinazoendelea katika jiji jipya la Dodoma. Karibu kutangaza biashara yako bure kabisa. Hii ni offer ya mwezi wa sita tu. Piga simu zifuatazao kwa maelezo zaidi.
0717143050
0625472151
0755250452
31/05/2018
http://dodomacc.go.tz/announcement/tangazo-la-kuchora-nembo-logo-ya-jiji-la-dodoma
Announcement | Dodoma City Council View single announcement
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Iringa Road
Dodoma
123
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 15:00 |
| Tuesday | 09:00 - 15:00 |
| Wednesday | 09:00 - 15:00 |
| Thursday | 09:00 - 15:00 |
| Friday | 09:00 - 17:00 |