Ets tech
Hii ni kurasa inayomilikiwa na kampuni ya Entre Tech Solutions ikiwa na lengo la kuziba nafasi kati
Electric Fence Installation ( 0655312158 || 0766312158)
Site Location:Iyumbu ,Dodoma
Kazi inaendelea kwa ustadi mkubwa kutoka kwa fundi mahili Mr Poulsen.
Karibu kwa huduma za:Cctv ,Electric fence, sliding gate motor ,Video Door Intercomm , Biometrics and Fingerprint Devices,Alarm Systems na Huduma Zingine za IT..
Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.
Mikoa yote tunafika na kutuma mizigo kwa uaminifu mkubwa kabisa.
Tupigie kwa simu namba: 0655312158 || 0766312158
Karibuni sana
Electric Fence & Cctv Camera ( 0655312158 || 0766312158)
Site Location:Iyumbu,Dodoma
tupo Dar es salaam kumaliza kazi ya electric fence kutoka kwa mteja wetu mpendwa.
Hii ni kazi ya pili tunamfanyia so we proud..
Karibuni tuwahudumie popote pale Tanzania.
Tupigie kwa simu: 0655312158 || 0766312158
Karibuni sana.
Vibe juu ya Vibe...
Mteja tupe kazi tumalize kazi.
Electric fence installation(0655312158 || 0766312158)
Site Location:Mzinga,Dar es salaam
Vibe linaendelea yaani kazi na Dawa.
Cctv Camera Installation ( 0655312158 || 0766312158)
Site Location:Mpamaa Dodoma
Tiandy IP 2 MP Cameras zimefungwa kwa ustadi wa hali ya juu...
Mteja anaweza fuatilia matukio ya nyumbani kwake kupitia simu yake akiwa popote pale duniani.
Hapa tunarahisisha maisha ya wateja wetu.
Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.
Mikoani tunafika na kutuma vifaa(devices) kwa uaminifu mkubwa.
Tupigie simu namba; 0655312158 || 0766312158
Karibuni sana
Unyamaaa
ya IP kutoka Hikvision imekaa mkao wake..
Na uzuri zaidi hii device ni smart unaweza kui-control kutokea kwenye Smart Phone yako popote ulipo.
Njoo tukurahisishie maisha.
Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.
Mikoa yote tunafika.
Tupigie kwa simu namba:0655 312158 || 0766312158
Karibuni sana
Hikvision IP Video Intercomms
Uzuri wa hii kitu hata usipokuwa nyumbani unaweza pata ujumbe au simu mtu akigonga kengele kwako...na unaweza ongea naye ukiwa mbali pia...
tunarahisisha maisha
Tupigie kwa simu namba:0655312158 || 0766312158
Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House.
Mikoa yote tunafika.
Nyumba Moja mifumo mitatu (0655312158 || 0766312158)
Site Location:Mpamaa ,Dodoma
Hapa tunaweka mifumo mitatu kwenye nyumba Moja:
1.Tunaweka Cctv camera za IP zenye Quality ya 2 MP(Tiandy) - 8 Channels
2.Tunaweka Smart electric Fence ambayo mteja ataweza kuwasha na kuzima electric fence yake kwa njia nne tofauti(kutumia magnet tag,remote Maalum,Sim Card na Application kwenye Simu)
3.Tunamuwekea video door Intercom ambayo itamuwezesha kuwasiliana na mtu aliye getini kwake kabla hata hajamfungulia ili kujua k**a Kuna ulazima wa kufanya hivyo..
NB:Uzuri wa mifumo yote hii ana uwezo wa kuiona na kui-control kupitia Smart Phone yake 🔥🔥🔥
Karibuni sana turahisishe maisha yako.
Tunapatikana Dodoma Ujiji Street Uhindini karibu na Jengo la Mkamba House au Kituo Cha Daladala Cha Paradise.
Mikoa yote tunafika na tunatuma mizigo kwa uaminifu mkubwa
Tupigie kwa simu namba: 0655312158 || 0766312158
Karibuni sana
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |
| Saturday | 09:00 - 17:00 |