Swahili Software

Swahili Software

Share

Kampuni ya Kitanzania Inajihusisha na utengenezaji mifumo mbali mbali ya komputer kuanzia tovuti (Website) hadi program tumishi za simu (Mobile Apps)

31/05/2026

Karibu tukupatie website nzuri sana kwa ajili ya biashara yako.
Tupigie leo 0718660882 au fika ofisini kwetu nanenane stendi kuu ya mabasi ghorofa ya kwanza Dodoma mjini.

20/05/2026

🌍 Watalii wengi hutafuta huduma mtandaoni kabla ya kusafiri.
💻 Website nzuri huongeza uaminifu na kuonyesha tour packages zako saa 24.
📲 Wateja wanaweza kuwasiliana nawe kirahisi kutoka sehemu yoyote duniani.
🚀 Usikubali kupitwa na washindani wenye uwepo mzuri mtandaoni.
✨ Ipeleke biashara yako ya utalii kiwango cha kimataifa kwa kuwa na website ya kisasa.
Wasiliana nasi leo kwa namba zetu hapo kwenye picha au fika ofisini kwetu Dodoma Tanzania.

19/05/2026

Website huifanya biashara yako ionekane biashara kamili 🌍
Wateja wanaweza kukuona muda wowote, popote walipo.
Inaongeza bookings na mawasiliano kwa urahisi 📲
Inaonesha huduma zako za utalii kwa picha na video nzuri ✨
Wageni wa ndani na nje ya nchi wanaweza kukupata kirahisi.
Biashara yako hupata uaminifu mkubwa online 🚀
Usibaki nyuma kwenye dunia ya kidigitali.
Karibu Swahili Software tukutengenezee website bora 💻

16/05/2026

Bila hasara App simamia biashara yako kidijitali.

13/05/2026

Bado biashara yako haina website? Unangoja nini sasa? Wasiliana nasi leo tukupatie website nzuri itakayokutambulisha mtandaoni.

0718660882.
Tupo Dodoma mjini.

02/05/2026

Bado unatumia daftari kutunza hesabu za biashara yako? Achana na hayo ya kizaman ,Tumia app yetu ya bilahasara uwe mtu wa kisasa zaidi.

11/04/2026
05/04/2026

Uongozi wa Swahili Software Development Company unawatakia WaTanzania wote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.

Boresha mawasiliano ya wateja wako ukiwa na swahili sms.

31/03/2026

Boresha mawasiliano ya biashara yako kupitia swahili sms

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Nane Nane Bust Stand
Dodoma