LFC Dodoma
Winners chapel international Dodoma Sunday Service is 8:30am and Wednesday service is 5pm. Ibada zetu ni Jumapili saa 2:30 asubuhi na Jumatano saa 11 jioni.
31/10/2023
26/09/2023
Bwana Yesu asifiwe mpendwa Jumatano ya leo karibu katika Ibada ya ushirika Mtakatifu na Meza ya Bwana tutakuwa tukifunga na kuomba na kuja kufunga hapa Kanisan na Mungu wa mbinguni atakuwa akiachulia majibu ya maombi yetu katika jina la Yesu karibu sana
05/09/2023
Wiki ya Msisitizo wa Kiroho inaanza Jumatano hii Septemba 6 mpaka Ijumaa Septemba 8 sote tukuwa tukimngoja Bwana katika kufunga. Na tutakuja kufunga kwa ushirika Mtakatifu hapa Kanisani. Muda ni saa 11 Jioni Kila siku. Usafiri unapatikana Soko la machinga saa 10:30 Jioni na utapita CBE, Mataa ya Area D na Kituo cha Mafuta -Kisaa.
05/09/2023
Jumapili ijayokuja ya Septemba 10, 2023 itakuwa siku ya kiagano ya maisha marefu & Ibada ya Meza ya ushirika Mtakatifu kanisa lipo Ilazo kusini kalbu na Toronto karibuni watu wote na njoo wewe na familia yako na Mungu wa mbinguni atawabariki Muda wa Ibada ni saa 2:30_5:00
10/08/2023
Pictures highlighted from our last Sunday service was a great service ;covenant day of RESTORATION.
25/07/2023
What a flash glimpse of pictures from our covenant day of FINANCIAL FORTUNE.
Jesus is Lord!
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the place of worship
Website
Address
Dodoma