Layers Pro
Tunawasaidia Wafugaji wa kuku Kuongeza Kipato Chao Kupitia Mbinu Bora za usimamizi wa mradi
24/04/2026
Kuku wanamaliza chakula mapema Nitafanyaje chakula kilo 5.5 kitoshee mpaka siku 60?
๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Habari yako, leo nilipata ugeni wa mama cheupe [sio jina halisi] huyu ni mteja wangu mzuri wa CFP za kuku wanaokua hapa Dodoma
Leo alikuja dukani na alikuwa ana changamoto yake ambayo ni hii "afanyaje chakula kitoshee mpaka siku 60" nilimpa ushauri wa nini Cha kufanya ili chakula kilo 5.5 kitoshee mpaka siku 60
Inawezekana huelewi hii dhana ya chakula kilo 5.5 imetokea wapi, usiwaze... Iko hivi mfumo wetu wa ulishaji wa kuku chotara umegawanyika sehemu mbili
Sehemu ya kwanza ni kuanzia siku 1 mpaka siku 25 ambapo kuku mmoja anakula chakula kilo 1 sehemu ya pili ni kuanzia siku 25 mpaka siku 60 ambalo kuku mmoja anakula chakula kilo 4.5
Kwahiyo kuanzia siku 1 mpaka siku 60 jumla kuku chotara mmoja anakula chakula kilo 5.5 si tumeelewana?
Sasa Ikiwa na wewe unapata changamoto hiyo ya chakula kilo 5.5 kutofika siku ya 60 Fanya mambo yafuatayo
1.Kwanza pakua hii chati ya kuku wa sasso ambayo utaitumia kujua kiwango cha chakula wanachokula kila siku kuanzia siku 1 mpaka siku 60
Kupakua hiyo chati bofya hii link hapa๐๐ฝ
https://drive.google.com/file/d/1JyGNxKDUKYsQyaQAkHvE0KB-702M1Mhr/view?usp=drivesdk
๐๐ฝK**a huwezi kupakua hii chati tafuta mtu akusaidie kuipakua na unaweza kwenda nayo stationery wakakuchapishia ukawa na nakala ngumu [hard copy]
๐๐ฝChati hii ni ya sasso na tunaitumia kwa kuku chotara aina zote, hatuna chati za chotara wengine k**a unayo unaweza kuitumia.
2.Jambo la pili Jifunze kutumia hiyo chati kwa kuangalia hii video hapa kwa kubofya hii link ๐๐ฝ
https://youtu.be/ssrq3vHNL0o
๐๐ฝK**a unapata changamoto kuangalia hii video tafuta mtu akusaidie namna ya kufungua hii video ya YouTube najua tunatofautiana!
3.Jambo la tatu hakikisha unawalisha kuku kwa kipimo kila siku k**a ambavyo hiyo chati inaonesha kiwango husika kwa kila siku
Hapa unahitaji mzani, k**a Bado huna mzani tupigie 0752 912132 kuagiza mzani wa kidijitali bei yake ni 20,000 na unapima kuanzia gram 100 mpaka kilo 50. Pia unaweza kufika ofisini kwetu Moshi Agrovet tunapatikana Dodoma Majengo Sokoni
Zingatia kwamba kiwango cha chakula wanachokula kitakuwa kinabadilika kadri wanavyokua siku kwa siku
4.Ulishaji wa chakula ni asubuhi na mchana utagawa chakula nusu kwa nusu yaani k**a kuku wako chotara wanakula chakula kilo 20 kwa siku utawapa kilo 10 asubuhi na jioni utawapa kilo 10
๐๐๐๐๐๐๐๐
Jifunze jinsi ya kuwalisha kuku wako kwa kufuata viwango vinavyoelekezwa kupitia hiyo chati
Tafadhali sisi hatutakufanyia hayo mahesabu ndio maana tumeandaa chati na hiyo video ili uweze kujifunza na kufanya wewe mwenyewe kila siku hapo bandani kwako.
Ni rahisi Wala sio ngumu
Asante sana kwa usikivu wako kwenye hili suala ๐๐ฟ
CFP
Ulishaji wa uhakika
21/04/2026
Tanbro wamefikisha siku 14 Leo wastani wa uzito wao ni gram 286.13, uzito wa kawaida kwa kifaranga wa siku 14 ni gram 204 [narejea performance chart ya sasso- tunaitumia kwa chotara wote]
Mpaka siku 14 vifaranga wote wamekula chakula kilo 115.8 maana yake ulaji wa chakula Uko vizuri
Nitaweka clip ya Hawa vifaranga kwenye comment unaweza kuitazama hapo.
Vifaranga hawa tumewachanganyia chakula kuanzia siku 1 kwa kutumia hii formula, tuliwachanganyia chakula kilo 300 ๐
Mahindi paraza kilo 156
Soya kavu kilo 96
Mashudu ya alizeti kilo 27
Mafuta kilo 6 [tumia alizeti, korie etc]
CFP ya vifaranga kilo 15
Jumla kilo 300
K**a unahitaji CFP tafadhali wasiliana nasi, CFP kwasasa zinapatikana hapa
1.Dodoma, Majengo Sokoni pembeni ya CRDB MAJENGO
Mawasiliano ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
2.Dar es salaam, Ubungo
Mawasiliano ๐ฌ๐ณ๐ญ๐ฑ๐ฒ๐ฒ๐ฌ๐ณ๐ณ๐ญ
3.Iringa mjini
Mawasiliano ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
4.Arusha mjini
Mawasiliano ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
19/04/2026
haiwezekani kuku ana siku 35 awe hivo ukitembelea mabanda ya wafugaji wengi kuku k**a hao unakuta wana miez miwil had nanusu
๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Nitaweka picha ya hao kuku wa siku 35 ili uwaone, tuliwapost Alhamisi trh 26 March 2026
Tuendelee kujibu hii hoja...
Iko hivi Ukuaji wa kuku unategemea mambo haya makubwa matatu : aina ya kuku, chakula na mfumo wa ulishaji
1.Aina ya kuku
aina tofauti za kuku chotara zina ukuaji tofauti mfano aina hii kwenye picha huwezi kulinganisha ukuaji wake na chotara wengi wanaofahamika, kiukuaji Hawa ukuaji wao uko juu
Hapa kwenye aina ya kuku ongezea na ubora wa vifaranga, yaani aina inaweza kuwa ile ile ila vifaranga wasiwe na ubora
Kwenye picha Hawa ni kuku wapya kwahiyo bado hawajafamika k**a hao wengine [sitaki kuwataja kwa kuheshimu majina ya biashara za wengine] sisi wenyewe tumewafuga wakati tunafanya majaribio ya formula ya vifaranga kuanzia trh 5 January 2026
2.Chakula kutegemeana na unatumia chakula gani itaathiri ukuaji wa kuku wako hapa hata k**a ni Cha kununua dukani au kuchanganya mwenyewe vyakula havifanani
3.Mfumo wa ulishaji kuanzia kiwango cha chakula, masaa ya mwanga, aina ya ufugaji [k**a ni huria,nusu huria au wanafungiwa bandani] na nafasi bandani hivi vyote vinaathiri ukuaji wa kuku
Kwenye comment nitakuwekea video ya Tanbro, kwa mwaka Jana tumefuga sana Tanbro mpaka wafugaji wakawa wanahisi labda CFP ni kwa ajili ya Tanbro ndio maana tulipoanza kutoa darasa kuhusu formula ya vifaranga mwaka huu tukaamua kutumia vifaranga wa hii kampuni ya SQ ili kuondoa dhana kuwa CFP ni kwa ajili ya Tanbro
๐ Muhimu Post zetu tunaweka picha kwa ajili ya kujifunza sio kwa lengo la kutangaza biashara ya vifaranga wanaonekana kwenye picha kumbuka sisi Hatuuzi vifaranga โ [Effect inaweza kuwepo ila hii inaitwa unintended project goal]
Hivyo amua wewe mwenyewe utafuga vifaranga wa chotara wa kampuni gani kulingana na sababu zakoโ
๐Kuonesha umri wa kuku kwenye Picha tunaandika hivi k**a hii imeandikwa " DAY 35 " maana yake kuku huyu ana siku 35, k**a hatujaweka umri kwenye picha usitusingizie ๐
Sasa Angalia hii video ya Tanbro wa siku 43 kwenye comment section kwasababu wakati tunawafuga Hawa Tanbro wafugaji walikuwa wanabisha kuhusu umri wao k**a ambavyo Leo baadhi wanakataa kuwa Hawa kwenye picha sio kuku wa siku 35 ๐
19/04/2026
Tuna formula tatu katika mpangilio ufuatao na kila formula ina CFP yake
1.Chakula Cha vifaranga/starter mash hii formula inatumika kuchanganya chakula cha vifaranga kuanzia siku 1 mpaka siku 25
Mahindi paraza kilo 52
Soya kavu kilo 32
Mashudu ya alizeti kilo 9
Mafuta/oil kilo 2
CFP ya vifaranga kilo 5
Jumla kilo 100
๐๐๐
๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
๐๐๐๐๐๐ ๐๐
2.Formula ya kuku wanaokua hii inatumika kuanzia siku 25 mpaka unapowauza au wanapoanza kutaga/ukiona yai la kwanza
Mahindi paraza kilo 45
Mashudu ya alizeti kilo 15
Pumba za mahindi kilo 25
Soya kavu kilo 10
CFP ya kuku wanaokua kilo 5
Jumla kilo 100
Hapa kwenye kuku wanaokua Kuna formula nyingine yenye pumba nyingi
3.Formula kwa ajili ya kuku chotara wanaotaga
Mahindi paraza kilo 45
Pumba za mahindi kilo 16
Mashudu ya alizeti kilo 14
Chokaa kilo 10
Soya kavu kilo 10
CFP ya kuku wanaotaga kilo 5
Jumla kilo 100
Hapa pia Kuna formula nyingine yenye pumba nyingi
Kuanzia siku 25 na kuendelea unaweza kutumia uduvi au dagaa k**a mbadala wa soya kavu kwa vifaranga tumia soya kavu pekee
Bei za CFP hapa Dodoma
1.Starter/vifaranga [kuanzia siku 1 na kuendelea]
Kilo 5 ni 17,000
Kilo 25 ni 75,000
2.Grower/kuku wanaokua [Kuanzia siku 25 na kuendelea]
Kilo 5 ni 14,000
Kilo 25 ni 60,000
3.Kuku wanaotaga[Baada ya kuona yai]
Kilo 5 ni 14,000
Kilo 25 ni 60,000
๐๐ข๐ฅ๐จ ๐ ๐ข๐ง๐๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐๐
๐๐ข๐ฅ๐จ ๐๐ ๐ข๐ง๐๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐๐
Mawasiliano 0752 912132 au 0718 192 378 kuagiza CFP
19/04/2026
Tuwekane sawa kuhusu soya
Soya imegawanyika sehemu kuu mbili : soya kavu/soyabean meal na soya mafuta/full fat soya
Soya ya mafuta hii inakuwa na protini 36% na mafuta 18% uwepo wa mafuta mengi inaifanya iwe na energy nyingi kuliko soya kavu
Soya kavu inakuwa na protini 45% au zaidi na mafuta 0.5-2% kwahiyo soya kavu ina protini nyingi na energy yake Iko chini kuliko soya mafuta
Hapa tunatumia soya kavu kwasababu tunalenga kupata protini ya kutosha kwa ajili ya ukuaji wa kuku
๐๐จ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐ ๐ง๐ข ๐๐๐,๐๐๐, ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐ ๐ง๐ข ๐๐๐๐ ๐ฐ๐๐ฌ๐ข๐ฅ๐ข๐๐ง๐ ๐ง๐๐ฌ๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐ง๐๐ฆ๐๐ ๐ก๐ข๐ข ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฎ ๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐
Kuna classifications nyingi za soya ila hii ya kuangalia kiwango cha protini ndio mgawanyo sahihi kwa mfugaji
Mgawanyo/classification nyingine ni zile zinazoangalia mchakato wa uandaji mfano
De oiled cake [Soya Doc] k**a huu mfuko kwenye picha na hii ndio inapatikana masoko mengi inakuwa na protini 42-46%
Dehulled soybean meal hii inakuwa na protini 47-48% mchakato wake unahusisha kukoboa soya kabla ya kui process
Disclaimer
Haya sio maelekezo ya kitaalamu kuhusu namna ya kuandaa soya tunashauri ununue soya iliyoandaliwa.
Kuagiza CFP au soya kavu tupigie 0752912132 au fika ofisini kwetu
Moshi Agrovet tunapatikana Dodoma, Majengo Sokoni pembeni ya CRDB MAJENGO
23/03/2026
Mpaka kufikia hapo kuku mmoja ametumia gharama ya TZS 5126.58 , ndio kuanzia kununua kifaranga, chakula, chanjo,dawa,kuwapa joto na gharama nyinginezo [magazeti, pumba za mpunga etc...]
Gharama yote 1,537,976 [ Gharama hii haihusishi kujenga Banda, kununua vyombo vya maji na chakula na vifaa vya joto] Miundombinu ya kiufugaji ipo [Banda na vifaa vyake]
Kuku mmoja ametumia 5126.58
Tumewachanganyia chakula kilo 300 kuanzia siku 1 kwa kutumia CFP ya vifaranga, walipomaliza kilo 300 za starter tukakutumia CFP ya kuku wanaokua kuchanganya chakula kilo 400 ambacho wanamalizia leo siku ya 31
Wastani wa uzito wao ni kilo 1, maana yake wapo wenye kilo 1 mpaka 1.25 na wadogo gram 850-900
Umri wao siku 31 leo...
Jumla ya gharama zote 1,537,976
Idadi ya kuku:300
Kuna CFP ya vifaranga, kuku wanaokua na Wanaotaga
Bei za CFP hapa Dodoma
1.Starter/vifaranga [kuanzia siku 1 na kuendelea]
Kilo 5 ni 17,000
Kilo 25 ni 75,000
2.Grower/kuku wanaokua [Kuanzia siku 25 na kuendelea]
Kilo 5 ni 14,000
Kilo 25 ni 60,000
3.Kuku wanaotaga[Baada ya kuona yai]
Kilo 5 ni 14,000
Kilo 25 ni 60,000
๐๐ข๐ฅ๐จ ๐ ๐ข๐ง๐๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐๐
๐๐ข๐ฅ๐จ ๐๐ ๐ข๐ง๐๐ญ๐จ๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐๐
Mawasiliano 0752912132
Moshi Agrovet tunapatikana Dodoma Majengo Sokoni
12/02/2026
๐ข๐ธ๐ผ๐ฎ ๐๐ฎ๐ถ๐ฑ๐ถ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ฌ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ ๐ธ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฐ๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ธ๐๐น๐ฎ ๐ฐ๐ต๐ฎ ๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ
Kwa kawaida vifaranga wa chotara tulikuwa tunaanza kuwalisha chakula cha dukani kuanzia siku 1 mpaka 25 baada ya hapo tunaanza kuwachanganyia chakula kwa kutumia CFP ya kuku wanaokua
Sasa wafugaji wengi ambao wanatumia CFP wamekuwa wakihitaji CFP ya vifaranga ili wapunguze gharama
Ndio wapunguze gharama na hapa nitakupa ushuhuda huu
Tuliokoa 33,000 kwa kuchanganya chakula cha vifaranga na ukuaji wao uko vizuri sana, tulitumia hii formula ๐
Mahindi paraza kilo 52
Soya kavu kilo 32
Mashudu ya alizeti kilo 9
Mafuta/oil kilo 2
CFP ya vifaranga kilo 5
๐๐ฎ๐ฆ๐ฅ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐๐ ๐ ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ ๐ฒ๐๐ค๐ ๐ญ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐๐๐,๐๐๐, ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐๐ ๐ง๐ข ๐ฌ๐๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐ข๐๐ฎ๐ค๐จ ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฅ๐จ ๐๐
Maana yake mfuko mmoja tumeupata kwa 73,000 wakati tungenunua tungetumia 89,500 kwa mfuko mmoja wa starter
Kwahiyo utaona tumesevu 16,500 kwa kila mfuko mmoja kwa kuchanganya chakula cha dukani vifaranga
Fanya hesabu ya gharama ya hii formula uone unaokoa sh ngapi hapo ulipo?
K**a kikwazo kwako ni bei ya soya kavu unaweza kuagiza tukakutumia mf Kuna mfugaji akaniambia alipo soya ni 2700 kilo moja wakati hapa Dodoma soya kavu kilo 50 ni 95,000 sawa na kilo moja sh 1900
Unaweza kuagiza soya kavu ukatumiwa, na huyu mfugaji hakuwa mbali sana ni wilaya fulani hapo Morogoro!
Mwingine yupo Arusha aliniambia soya kavu kilo moja ni 2500
Niliwahi kupigiwa simu na mama mmoja yupo Mbagala akasema ananunua soya kilo moja sh 3000!
Nataka kusemaje?
๐๐ฎ๐ญ๐๐ง๐ ๐๐ง๐๐ณ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ ๐ง๐๐๐ฎ๐ฎ ๐ข๐ง๐๐ก๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข ๐ฆ๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐ข๐ณ๐ข ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฌ๐๐ง๐ฒ๐ ๐ฆ๐๐ก๐ข๐ญ๐๐ฃ๐ข ๐ฒ๐จ๐ญ๐ ๐ฒ๐๐ง๐๐ฒ๐จ๐ญ๐๐ค๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐๐๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ก๐๐ฌ๐ ๐๐๐ฅ๐ ๐๐ฆ๐๐๐ฒ๐จ ๐ง๐ข ๐๐๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ง๐๐ข๐จ ๐ฒ๐๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฐ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ณ๐.
11/02/2026
Chakula kinapanda kila siku, changanya chakula uokoe zaidi ya 20,000 huku ukipata ukuaji mzuri wa vifaranga wako k**a hawa unaowaona kwenye picha Wana siku 21
Ni rahisi Wala sio kazi na huhitaji vitu vingi kuchanganya chakula cha vifaranga, unahitaji hivi vitu vichache Nikupe mfano wa chakula kilo 100 utaweka
Mahindi paraza kilo 52
Soya kavu kilo 32
Mashudu ya alizeti kilo 9
Mafuta/oil kilo 2
CFP ya vifaranga kilo 5
Jumla kilo 100, kwa gharama za hapa Dodoma utatumia 146,000 kupata starter kilo 100 sawa na mifuko 2 ya chakula ambacho ukinunua sio chini ya 179,000
Mafuta unaweza kutumia ya alizeti, korie, safi etc
Bei za CFP ya vifaranga kwa hapa Dodoma
Kilo 5 ni 17,000 inatosha kuchanganya chakula kilo 100
Kilo 25 ni 75,000 inatosha kuchanganya chakula kilo 500
Tupigie 0752912132
Leo vifaranga wetu wamefikisha siku ya 21 ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ
Gharama ya chakula kilo 100 tulitumia : ๐๐๐,๐๐๐
Formula tunayotumia ๐๐ฝ๐๐ฝ
๐ญ.๐ ๐ฎ๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐ถ ๐ฝ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฑ๐ฎ
๐ฎ.๐ฆ๐ผ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฏ๐ฎ
๐ฏ.๐ ๐ฎ๐๐ต๐๐ฑ๐ ๐๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐๐ถ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ต
๐ฐ.๐ข๐ถ๐น/๐ ๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฎ
๐ฑ.๐๐๐ฃ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฑ
๐๐๐บ๐น๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ญ๐ฌ๐ฌ
1.Ulaji wa chakula / Feed intake - Uko vizuri...mpaka leo siku 21 wameshakula kilo 94 sawa gram 959.2 kwa kila kifaranga
2.Uzito / Body weight gain - wanaongezeka vizuri, daily gain ni above average -
Wastani wao ni gram 720
Uzito wa juu gram 840
Kwa uzoefu wetu vifaranga wa chotara siku 21 wakiwa na uzito wa juu ni gram 540 tulipokuwa tunatumia chakula cha dukani
3.Matatizo ya miguu / Leg problems-Hakuna
4.Choo Cha kuku / faecal dropping- Normal/Kawaida - angalia maranda utaona choo choo kikoje
5.Cannibalism/ Kudonoana -Hakuna
๐๐๐ฆ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ ๐ฌ๐จ๐ฒ๐ ๐ก๐๐ข๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ง๐ข ๐ค๐ข๐ซ๐๐ก๐ข๐ฌ๐ข, ๐ฎ๐ฌ๐ข๐จ๐ ๐จ๐ฉ๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฅ๐ข๐๐๐ง๐ฒ๐ข๐ ๐ค๐๐ณ๐ข ๐ข๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ก๐๐ค๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐จ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ ๐ ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ก๐๐ง๐ ๐๐ข๐ค๐ ๐๐ฎ๐ซ๐
Leo vifaranga wetu wamefikisha siku ya 14 ๐ฅ ๐ฅ ๐ฅ
Gharama ya chakula kilo 100 tulitumia : ๐๐๐,๐๐๐
Formula tunayotumia ๐๐ฝ๐๐ฝ
๐ญ.๐ ๐ฎ๐ต๐ถ๐ป๐ฑ๐ถ ๐ฝ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฑ๐ฎ
๐ฎ.๐ฆ๐ผ๐๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐๐ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฏ๐ฎ
๐ฏ.๐ ๐ฎ๐๐ต๐๐ฑ๐ ๐๐ฎ ๐ฎ๐น๐ถ๐๐ฒ๐๐ถ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ต
๐ฐ.๐ข๐ถ๐น/๐ ๐ฎ๐ณ๐๐๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฎ
๐ฑ.๐๐๐ฃ ๐๐ฎ ๐๐ถ๐ณ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ฑ
๐๐๐บ๐น๐ฎ ๐ธ๐ถ๐น๐ผ ๐ญ๐ฌ๐ฌ
1.Ulaji wa chakula / Feed intake - Uko vizuri...mpaka leo siku 14 wameshakula kilo 47 sawa gram 480 kwa kila kifaranga
2.Uzito / Body weight gain - wanaongezeka vizuri, daily gain ni above average -
Wastani wao ni gram 387.75
Uzito wa juu gram 474
Kwa uzoefu wetu vifaranga wa chotara siku 14 wakiwa na uzito wa juu ni gram 335 tulipokuwa tunatumia chakula cha dukani
3.Matatizo ya miguu / Leg problems-Hakuna
4.Choo Cha kuku / faecal dropping- Normal/Kawaida - angalia maranda utaona choo choo kikoje
5.Cannibalism/ Kudonoana -Hakuna
๐๐๐ฆ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ ๐ฌ๐จ๐ฒ๐ ๐ก๐๐ข๐ฉ๐๐ญ๐ข๐ค๐๐ง๐ข ๐ค๐ข๐ซ๐๐ก๐ข๐ฌ๐ข, ๐ฎ๐ฌ๐ข๐จ๐ ๐จ๐ฉ๐ ๐ญ๐ฎ๐ง๐๐ฅ๐ข๐๐๐ง๐ฒ๐ข๐ ๐ค๐๐ณ๐ข ๐๐ข๐ฅ๐จ ๐ง๐๐ฅ๐จ ๐ข๐ฅ๐ข ๐ญ๐ฎ๐ก๐๐ค๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐จ๐๐ก๐๐ง๐ ๐๐ง๐ฒ๐ ๐๐ก๐๐ค๐ฎ๐ฅ๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฉ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐ณ๐ ๐ ๐ก๐๐ซ๐๐ฆ๐ ๐๐๐๐๐ฅ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ก๐๐ง๐ ๐๐ข๐ค๐ ๐๐ฎ๐ซ๐
26/09/2025
Tupo wazi Jumatatu mpaka Jumamosi karibu tukuhudumie tunauza dawa, chanjo, vitamin na vifaa vya ufugaji wa kuku
Sasa tumekuletea suluhisho la kuandaa chakula cha kuku chotara kwa kutumia CFP ๐ฅ
Tunapatikana Dodoma Majengo Sokoni karibu na CRDB MAJENGO tupigie 0659632332
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Address
Weyula
Dodoma
41201
Opening Hours
| Monday | 07:30 - 19:00 |
| Tuesday | 07:30 - 19:00 |
| Wednesday | 07:30 - 19:00 |
| Thursday | 07:30 - 19:00 |
| Friday | 07:30 - 19:00 |
| Saturday | 09:30 - 19:00 |