Bongo Source
PATA HABARI ZETU KUPITIA YOUTUBE YA BONGO SOURCE
KWA HABARI NA MATUKIO TUTAFUTE-: +255747692064
24/05/2026
Engonga ametoka jela, account yake imepata wafuasi wapya 150,000. Asilimia 80 walioongezeka ni wanawake.
Inadaiwa wanawake wengi wamefurahi sana Engonga kutoka jela
24/05/2026
LIST YA MASTAA WAJAWAZITO
_
Hii hapa list ya mastaa ambao wana ujauzito.
1. Wema Sepetu ✅
2. Kajala ✅
3. Zuchu ✅
4. Dorah wa jua kali ✅
5. Zaiylissa ✅
Unaambiwa kuwa mastaa hawa wataanza kujifungua kuanzia mwezi wa saba mwaka huu wa 2026, Kwa kweli nawaombea wajifungue salama na wapate watoto wenye afya iliyo tele.
06/05/2026
Takwimu za mawinga hatari wa NBCPL kutokea mitaa ya Kariakoo:
Allan Okello
Mechi 13
Magoli 03
Assist 06
Dakika 1033
K. Njano 00
K.Nyekundu 00
Elie Mpanzu
Mechi 18
Magoli 03
Assist 07
Dakika 949
K.Njano 00
K.Nyekundu 00
Je! Nani bora kati ya hawa wawili?? 🙄🤔👋
Follow the BONGO SOURCE channel on WhatsApp:
👇👇 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6u2Xu7tkjHaNMwcQ44
06/05/2026
Vikosi vinavyoanza leo kwenye mchezo kati ya Yanga Sc dhidi ya KMC Fc katika muendelezo wa mechi za ligi kuu.
Follow the BONGO SOURCE channel on WhatsApp:
👇👇 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6u2Xu7tkjHaNMwcQ44
05/05/2026
MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA NA RAIS RUTO BUNGENI
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto pamoja na viongozi wengine baada ya Rais Ruto kulihutubia Bunge jijini Dodoma, Mei 5, 2026.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
04/05/2026
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda akiwa pamoja na mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Klabu ya Chelsea, Didier Drogba katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, tayari kwa kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2026/27, leo Mei 04, 2026
Follow the BONGO SOURCE channel on WhatsApp:
👇👇 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6u2Xu7tkjHaNMwcQ44
02/05/2026
Kariakoo Derby ya pili ndani ya siku tano.
Tazama Video full hapa
👇👇👇👇
https://youtu.be/mPYALo5Z9lk?si=i__vuchb6OK-3jau
Ila hawa kila wakikutana lazima pachimbike ,Yanga ametoka anakutana na Simba nje nae anataka kuingia ko kamzozo kanaendelea ni balaa ,bivi sababu uwaga ni nini mpaka jeshini mnafanya haya ?? Jengeni viwanja vyenu bhana 😂
Tazama Video full hapa
👇👇👇👇
https://youtu.be/mPYALo5Z9lk?si=i__vuchb6OK-3jau
30/04/2026
Mchambuzi wa soka nchini, Jemedari Said, amemshushia rungu mwamuzi wa kati, Dickens Mimisa Nyagrowa, kufuatia uchezeshaji wake katika mchezo wa dabi ya Muungano uliopigwa visiwani Zanzibar.
Jemedari ameeleza kutoridhishwa kwake na kiwango cha mwamuzi huyo, akidai kuwa ameshindwa kusimamia sheria za mchezo kwa ujasiri na badala yake amechezesha kwa "uoga wa lawama." Kwa mujibu wa Jemedari, licha ya nia njema ya ZFF, Dickens Mimisa ameonekana kuwa "kawaida sana" na ameshindwa hata kutoa kadi za njano kwenye madhambi ya wazi, jambo ambalo amedai ni kuwadhalilisha waamuzi wengine ambao wangeweza kufanya kazi bora zaidi.
Katika ukosoaji wake huo mzito kupitia ukurasa wake wa kijamii, Jemedari Said aliandika:
"Nia ya ZFF kumleta ilikuwa njema kabisa, lakini huyu Refa wa MUONGO hana lolote, tena 'TAPELI' kabisa. Muoga wa lawama k**a vile kwao ni Mikindani Mtwara, faulu nyingi sana ameogopa kutoa hata kadi za njano. Kwa uchezeshaji huu waamuzi wetu tumewadharau bure kabisa, binafsi sina cha kumpongeza kwa 90 minutes."
Yapi maoni yako?
Follow the BONGO SOURCE channel on WhatsApp:
👇👇 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6u2Xu7tkjHaNMwcQ44
29/04/2026
ILA MAGAZETI 😂😂
Follow the BONGO SOURCE channel on WhatsApp:
👇👇 https://whatsapp.com/channel/0029Vb6u2Xu7tkjHaNMwcQ44
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Dodoma