Simplee_tz
Kwa habari za wasanii na burudani LIKE page hii!!
⛔️ NIUNGE KWENYE MAGROUP YA WHATSAPP 👍0716 611 379👈 PIA K**A UNA MALALAMIKO AU KERO POPOTE ULIPO MWANAFAMILIA NIANDIKIE | Kazi yangu kukupa habari za ENTERTAINMENT na STORY ZA WASANII..!!
02/06/2026
HONGERA SANA.. WEWE NDO MWANASIASA MKONGWE AMBAYE ATA ULIPOACHWA UKUKATA TAMAA, UKUTAKA VISASI, UKUTAKA KUJIONYESHA WEWE NDO NGURIII ILA ULITULIA KATIKA UCHAJI WA MUNGU NA KUTOA USHIRIKIANO KWENYE KILA HALI NDANI YA SERIKALI.. HONGERAH UMMY MWALIMU ATEULIWA KUWA MSHAURI WA RAIS KWENYE AFYA YA UZAZI, MAMA NA MTOTO
02/06/2026
PUMZIKA KWA AMANI.. POLE CHADEMA.. POLE WANAFAMILIA NA TANZANIA KWA UJUMLA.. LEMA ALIKUWA MTU MUHIMU SANA MBALI NA KUFANYA MAUAJI OKTOBA 29 NA BASTOLA YAKE ILA NAYE AMEENDA KWA KIFO CHA AJALI MBAYA.. RIP LEMA
VIJANA MSIJE KUJIDANGANYA MKALETA MAISHA YA MOVIE ZA KIHINDI KWENYE UHALISIA😀😀
29/05/2026
TENA HII CHADEMA NDO SABABU KUU WANAWATETEA WAVUTA BANGI WAKIAMINI WATAPATA HURUMA.. WAVUTA BANGI WENGI WAPO CHADEMA NA NDO HAO UKIWAULIZA UNATAKA KATIBA MPYA ATAKUJIBU NDIYO UKIMUULIZA KWA NINI ANABAKI ANACHEKA CHEKA TU🤣.. MFANO MZURI KATIKA MIKUTANO YA CHADEMA HIVI KARIBUNI ILIKUWA IMEJAZA WAVUTA BANGI TU HAKUNA MTU SERIOUS KABISA ANAYEENDA KUSIKILIZA HOJA ZA KUTAKA KUCHAFUA NCHI WOTE WANAOENDA NI WAVUTA BANGI NA WENYEWE WAMEKAA KIBANGI BANGI TU
29/05/2026
Madeleka anaamia Chadema, anasubiri mikutano ya Dar ya Chadema.
Anataka kugombea jimbo la Tabora mjini 2030 hivyo anaamini karata yake iko Chadema.
Na ndio maana mnamuona anajifanya yuko deep na 29 October kwasababu anataka mumuone anauchungu kumbe anatumia hiyo iwe karata yake! Shida hawa wanasiasa kwasasa wanaitumia situation ya 29 October ili kupata approval ya wananchi.
Tuko hapa tunasubiri,!
29/05/2026
🤣🤣🤣
29/05/2026
KWA HIYO MAREKANI YEYE ANAJIONA NANI? YAANI MAISHA YA WATU WAKE NI BORA KULIKO WAKENYA NA WAAFRIKA KWA UJUMLA? MGONJWA WA EBORA ANAKUTWA MAREKANI ANAKUJA KUZIKWA KENYA AISEE HII KITU HAPANA KABISA KWA HIYO MAREKANI ANATUONA SISI MAMBUZI YAANI
29/05/2026
Ukiambiwa serikali ni LIDUDE LIKUUUBWA hivi inabidi mtu awe anaelewa.
Sasa jamaa alijiona ni mtemi kuliko mamlaka kiko wapi sasa?
Huenda funza walishalitimiza jukumu lao kitambo mno.🤣😂🤣
SASA SUGU ANAMKE AU ANA MALAYA TU.. WENYE WAKE NI K**A MBOWE WAMETULIA MA KWAO.. SUGU MALAYA ANAYEZUNGUKA USIKU KUCHA KWENYE MACLUB
🤣🤣KUMBE ANAJIUZA BWANA.. TWAHA KATIKA UBORA WAKE AKIWA KAZINI
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma