Shule Tech
Shule Tech is an e learning mobile application for Tanzanian students. Get it on Playstore Now
10/08/2026
Vitabu vipo vingi sana ndani ya app yetu ya shule tech na website yetu.
Ni wewe tu ujisajili na kulogin uanze kusoma na kujiongezea maarifa.
10/08/2026
Kitabu hiki na vingine vingi vipo ndani ya app yetu na website yetu ya shule tech.
Jisajili leo uweze kuongeza maarifa kwa kusoma kitabu hiki na vingine vingi.
30/07/2026
Una kitabu umeandika hujapata jukwaa la kikiweka kikasomwa na watu wengi zaidi?
Basi Karibu shule tech leo uweze kukiweka kitabu chako na kuwafikia maelfu ya wasomaji kote Duniani.
Tuandikie ujunbe wasap 0718660882 au tembelea website yetu ,link ipo kwnye Bio yetu.
14/07/2026
Pakua app ya shule tech sasa hivi uweze kusoma kitabu hiki na vitabu vingine vingi......!
App ipo playstore
11/07/2026
Fursa kwako Mwalimu......
12/05/2026
Fursa kwako mwalimu , karibu utumie jukwaa letu la Shule Tech kuweka content zako na kuwawezesha wanafunzi kuzitumia / kujifunza kupitia content zako.
Mfuno wa Shule Tech unarahisisha katika uendeshaji wa shule kupunguza kutunza kumbukumbu kwenye ma karatasi na xcel. Karibu utumie leo mfumo huu uone utofauti mkubwa katika usimamizi wa shule yako.
Tupo Dodoma mjininstendi kuu ya mabasi ghorofa ya kwanza au tupigie 0718666752 au 0718660882
11/04/2025
LIKIZO Hii mpatie mwanao app ya shule tech iliyopo playstore aweze kurudia masomo aliyosoma darasani kwa njia ya video kutoka kwa walimu wenye uzoefo.
Ongeza uwezo wa mtoto wako kujiamini kwa kujisomea mwenyewe kupitia app yetu hii ya shule tech.
Nenda Playstore andika shule tech kisha i download ,jisajili anza kusoma .
PIA SOMA VITABU MBALIMBALI KUPITIA APP YETU,Vitabu vya mapishi ,teknolojia nk.
Ikiwa una swali au maoni basi tupigie kwa 0718 660 882 karibu sana.
26/01/2025
Mahubiri haya yanakujia kutokea hapa nchini Kenya.
Nasi team nzima ya shule tech tutakuletea matangazo haya kwa siku zote kuanzia leo Tarehe 26/01/2025 hadi Tarehe 8/1/2025.
π΄π »π Έπ π ΄ : LIPO TUMAINI || TURKANA KENYA || SIKU YA PILI
14/12/2024
Hitimisho la Mkutano wa wana Taaluma na wajasiriamali ATAPE.
#LIVE : ATAPE MINI RETREAT CTF - MHUBIRI NI PR PAUL SHIGELA 14/12/2024 Matangazo ya moja kwa moja kutokea hapa kanisa la Dodoma Kati ,ni katika mkutano wa wana ATAPE kwa field ya kati mwa Tanzania. Mnenaji mkuu ni Pr Paul Shigel...
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the school
Telephone
Address
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 22:45 |
| Tuesday | 08:00 - 22:45 |
| Wednesday | 08:00 - 22:45 |
| Thursday | 08:00 - 22:45 |
| Friday | 08:00 - 22:45 |
| Sunday | 08:00 - 22:45 |