Baraca Gideon
Visit my page
16/04/2026
BallDancer⚽️✌
14/04/2026
⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡
⚽️
13/04/2026
Shalom 🙏😀
Mimi tuu kuwaletea habari
16/03/2026
💒📖✝️🫀
25/02/2026
Birthday Blessing my covenant Brother , may God preserve you for our generation, that genuine heart may it sustain longer
One love
24/02/2026
Jipangeni la sivyo😁🔥
02/01/2026
2026....
30/12/2025
Dodoma Dodoma Dodoma
You can't just miss this
30/12/2025
It's tomorrow
Upo mwanza 🔥
29/12/2025
What A Game ⚽️
Mechi ya Jumapili ya mwisho wa mwaka 2025, ikitukutanisha , vijana wa
Na kwenye sikukuu yao ya vijana na tukapata muda wa kucheza mechi ya kirafiki ya mpira miguu,
Ilikuwa ni rahisi kukutana na watu ambao pengine tungewaona kwa mbali , madhabahuni, au tusionane kabisa lakini mchezo wa Jana ukatu engage pamoja ...⚽️❤
22/12/2025
This coming Sunday ⚽️❤
Kunaenda kuwa na jambo la kihistoria, kwa mara ya kwanza vijana wa kanisa la na vijana kanisa la , tunakwenda kuwa na wasaa mzuri wa kubond kwa njia ya michezo ,
Labda niseme hivi kidogo
Michezo inatukutanisha vijana wa kanisani kwa upana na kwa kina zaidi ya tunavyoweza kufikiri. Si suala la kukimbia, kupiga mpira, au kushindana tu, bali ni jukwaa la kujenga ushirika wa kweli,karibu, mahali ambapo tunafahamiana,matabaka yanaondolewa,udhehebu , na mahusiano ya kudumu yanazaliwa. Kwenye uwanja wa michezo tunajifunza maana ya umoja katika tofauti, kuvumiliana, kuheshimiana, kusameheana, na kusimama pamoja bila kujali nani ameshinda au nani amekwama.
Hapa ndipo vijana wanapopata nafasi ya kujieleza, kufungua mioyo yao, na kujisikia kukubalika k**a sehemu ya familia moja ya kanisa. Kupitia michezo, vizazi vinaunganishwa, vipaji vinaibuliwa, na uongozi wa baadaye unaandaliwa ,
michezo ni furaha na ni daraja la mahusiano, na njia salama ya kuwavuta vijana karibu na kanisa na karibu zaidi na Kristo. Kwa sababu tunapocheza pamoja, tunajifunza kuishi pamoja; tunaposhirikiana uwanjani, tunajenga kanisa lenye afya nje ya uwanja. Huu si mchezo tu ni uwekezaji wa vizazi vijavyo. ⚽🤝🔥
Mtag Mtu ambae unatamani kumuona ❤
Mimi natamani
Kuwaona Wazee wangu
Ndugu zangu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dodoma