YC Updates
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YC Updates, Sports, Dodoma.
31/12/2021
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐
โชKuna kamjadala kanatembea huko mitandaoni juu ya ubora wa makipa wawili Manula wa Simba na Diarra wa Yanga. Nani bora? Nani anastahili kujifunza kwa mwezake?
โชHaya ndiyo maswali wanayojiuliza watu wengi. YES ni maswali fikirishi. Wote ni makipa bora Mosi. Pili sidhani k**a Aishi ana cha kujifunza kwa Diarra au Diarra ana cha kujifunza kwa Aishi.
โชWote wana safari ndefu, lakini kuna sehemu Manula yuko Diarra hayuko.
โช Simba na Taifa Stars zimemtangaza Manula kwa kiasi kikubwa. Kitendo cha Simba kucheza robo fainali mbili ndani ya miaka minne kimemfanya ajitangaze Afrika, sio kwa jina lake. Bali uwezo.
โช Nchi nyingi zinamjua Aishi. Diarra ni moja ya makipa mahiri walioko katika soka letu kwa sasa. Huu ni ukweli usiopingika, lakini anapaswa kufanya kazi. Atuonyeshe k**a ambavyo Aishi ametuonyesha na anatuonyesha katika mechi za ligi na mechi za kimataifa.
โชAishi amewahi kwenda Misri na Simba akachukua 5-0. Amewahi kwenda Congo na Simba akachukua tena 5 -0 nyingine. Vipigo hivyo vimemuimarisha kwa kiasi kikubwa.
โช Tunataka kumuona Diarra katika level hizi, sio mtu atuambie moja kwa moja Diarra ni bora kumzidi Aishi. Katika taifa la Mali ambalo ni kubwa kuliko letu Diarra ni kipa namba mbili. Aishi ni namba moja wa Tanzania.
โชHatujui k**a Diarra angekuwa Mtanzania au Manula angekuwa M'mali nini kingetokea kati yao kwenye lango. Manula ana uzoefu mkubwa wa kusimama langoni dhidi ya washambuliaji mahiri wakubwa wa Afrika.
โชUzoefu wa Diarra anaupata katika benchi. Japo hili sio la kubeza. Inawezekana Diarra angekuwa Mtanzania huenda ndiyo angekuwa ndiyo Tanzania One. INAWEZEKANA.
โชNadhani Watanzania hatupaswi kujipa presha ya kuwafananisha hawa makipa wawili. Diarra anatakiwa kufanya sana kazi ndiyo tuje katika meza ya ubishani.
โช Aliko sasa Manula haitaji tena maswali. Amefanya kazi kubwa na kila mmoja wetu ameiona. Kina Metacha, Haroun Mandanda, M***a Mbise na wengineo ndiyo wanapaswa kujifunza kwa Diarra, sio Manula.
โชKama Manula anataka kujifunza kitu awatazame kina Mohammed El Shanawy, Dennis Onyango, Sharrif Ekramy, Ithumeleng Nkune, lakini sio Diarra.
โชUkiona umesoma kisha hujaelewa, hii haikuhusu wewe.
๐๐๐ฅ๐๐ ๐ซ๐๐ฆ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐๐ข๐๐๐ก๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฌ๐๐๐ฐ๐ฌ
https://t.me/+0FTKPrSsKA41YmRk
09/04/2021
JISOMEE MAGAZETI YA KIMICHEZO
Leo April 9,2021
updates
08/04/2021
NYUMBANI KWANZA
Anaandika msemaji wa Simba Haji Manara ๐
updates
07/04/2021
KIKOSI CHA SIMBA CHATUA SALAMA CAIRO MISRI
Kikosi Cha klabu ya Simba kimetua salama jijini Cairo Misri kujiandaa kwa mchezo wao dhidi ya Al Ahly siku ya Ijumaa
updates
03/04/2021
KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA AS VITA
Je simba wataondoka na alama tatu leo?
updates
02/04/2021
Jisomee Magazeti ya kimichezo leo April 2, 2021
updates
01/04/2021
Kamata vichwa vya Magazeti ya kimichezo leo April 1,2021
updates
10/03/2021
Jisomee Magazeti ya kimichezo leo March 10,2021
updates
06/03/2021
HAYA SASA KUMEKUCHA KIKOSI CHA SIMBA LEO DHIDI YA AL MEREIKH,
MANULA NJE LEO
Nini maoni yako kuhusu kikosi alichopanga Kocha Gomes leo?
updates
04/03/2021
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION LEO
updates
03/03/2021
RATIBA YA MECHI ZA CLABU BINGWA AFRIKA WIKI HII
updates
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dodoma
27/07/2021