Volunteers In Development - VID
A non governmental, non profitable, charitable organization that inspires the orphans and the needy. Bismillahi Rahman Rahym!
All praise be to Allah; The glorious, the Merciful. The creator of the Universe and all that exist and ever existed in this life and
hereafter! Without Allah we are nothing; our lives and existence belong to Thy! Peace and blessings be upon Habibul Rahman, our beloved, Muhammad SAW! Volunteers In Development is a registered Non Governmental Organisation with its headquarters in Dar Es Salaam, Tan
21/04/2026
*📅 SAVE THE DATE 📅*
> *Save the date for Community Center Fundraising Gala*
📅 Tarehe: 23 Mei 2026
*Tukio hili maalum linalenga kukusanya rasilimali kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha jamii kitakachochochea maendeleo endelevu katika kuwezesha yatima, vijana na kuwezesha program mbalimbali za maendeleo za kijamii.*
🤝 *Tunakaribisha wadau wote kushiriki kwa njia ya:*
*Kuchangia | Kusaidia | Kudhamini*
Kwa pamoja, tunaweza kujenga misingi imara kwa ajili ya kesho bora.
📞 Kwa mawasiliano:
+255 768 587 488
+255 713 500 305
Volunteers In Development (VID) ~ Inspiring Orphans and The Needy
Togetherwecanmakeadifference
15/04/2026
Volunteers In Development (VID)
*Mpesa lipa namba 5972950*
Tigo pesa *0655900444*
Mpesa *0768587488*
Airtel *0789407887*
PBZ Account No.*0451026000* Peoples Bank of Zanzibar Lumumba Branch. DSM.
Amana Bank Account no.*001140813330001*
Kariakoo Branch. DSM
14/04/2026
Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh,
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, tunakualika uwe sehemu ya mabadiliko makubwa kupitia mradi wa VID Community Center — kituo kitakachogusa na kubadilisha maisha ya vijana wengi, hasa yatima na wale wanaohitaji msaada katika jamii yetu.
💫 1 MILLION CAMPAIGN
🎯 Lengo: TSh 208,000,000 (GROUND FLOOR)
Kupitia awamu hii ya ujenzi, tunalenga kujenga msingi imara wa kituo kitakachokuwa chanzo cha:
✔️ Ujuzi na ajira kwa vijana
✔️ Msaada endelevu kwa yatima
✔️ Kipato cha kudumu kupitia maduka na huduma mbalimbali
🤝 Tunakualika wewe — sponsor, rafiki, mdau au mwanajamii — kushiriki katika sadaka hii ya thamani.
🌟 Tunatafuta watu 100 tu
Kila mmoja: TSh 1,000,000
Lakini pia tunakaribisha michango ya kiwango chochote — kila mchango una thamani kubwa katika kufanikisha lengo hili.
✨ Hii ni Sadaka Jaria — uwekezaji unaoendelea kukuingizia thawabu hata baada ya muda mrefu.
📲 Tuma mchango kupitia:
Tigo: 0655900444
Airtel: 0789407887
M-Pesa: 0768587488
🏦 Benki:
PBZ Bank: 0451026000
Amana Bank: 0011 408 133 300 01
🙏 *Pamoja tunaweza.
*Tujenge leo, tuinue kesho ya vijana wetu.
Karibu tushirikiane kuacha alama ya kudumu katika jamii*
09/04/2026
Congratulations and JazakAllah khair for your efforts! 👏 We all wish you the best.
From; Volunteers In Development (VID)
09/04/2026
Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh
*Kupitia VID, tunaendelea na ujenzi wa VID Community Center*
💫 1 MILLION CAMPAIGN
*Lengo: TSh 208,000,000*
Kwa ajili ya GROUND FLOOR
Maduka haya yatasaidia:
✔️ Kuzalisha kipato cha kudumu
✔️ Kuendesha programs za yatima
✔️ Kujenga taasisi inayojitegemea
🤲 Tunatafuta watu 100 tu
Kila mmoja: TSh 1,000,000
Hii ni phase ya ujenzi (sio project yote)
Phase nyingine zitaendelea baada ya hii
✨ Hii ni Sadaka Jaria — uwekezaji wa kudumu
Tuma mchango:
Tigo: 0655900444
Airtel: 0789407887
M-Pesa: 0768587488
PBZ Bank Account Number: 0451026000
Amana Bank Account Number: 0011 408 133 300 01
🙏 Pamoja tunajenga mustakabali wa vijana wetu.
31/03/2026
Taasisi ya VID (Volunteers in Development) inakukaribisha kushiriki katika fursa adhimu ya Sadaka Jaria kupitia ujenzi wa Community Center — kituo kitakachohudumia jamii kwa kutoa msaada, elimu na malezi bora kwa yatima na wasiojiweza.
Mradi huu ni uwekezaji wa kudumu unaogusa maisha ya wengi, na kila mchango wako utakuwa sehemu ya historia ya kheri itakayoendelea kizazi hadi kizazi.
Tunapokea michango ya aina mbalimbali:
💰 Michango ya fedha
🧱 Tofali na vifaa vya ujenzi
Hakuna mchango mdogo — kila unachotoa kina thamani kubwa na ni hatua muhimu kuelekea kukamilisha ndoto hii ya pamoja.
Shiriki nasi leo, ujipatie Sadaka Jaria itakayodumu milele.
Alone you can help, together we can make a difference (VID)
Volunteers In Development (VID)
~ Inspiring Orphans and The Needy.
*Mpesa lipa no. 52994606*
*Tigo lipa no. 22162201*
Tigo pesa *0655900444*
Mpesa *0768587488*
Airtel *0789407887*
30/03/2026
Taasisi ya VID (Volunteers in Development) inakukaribisha kushiriki katika fursa adhimu ya Sadaka Jaria kupitia ujenzi wa Community Center — kituo kitakachohudumia jamii kwa kutoa msaada, elimu na malezi bora kwa yatima na wasiojiweza.
Mradi huu ni uwekezaji wa kudumu unaogusa maisha ya wengi, na kila mchango wako utakuwa sehemu ya historia ya kheri itakayoendelea kizazi hadi kizazi.
Tunapokea michango ya aina mbalimbali:
💰 Michango ya fedha
🧱 Tofali na vifaa vya ujenzi
Hakuna mchango mdogo — kila unachotoa kina thamani kubwa na ni hatua muhimu kuelekea kukamilisha ndoto hii ya pamoja.
Shiriki nasi leo, ujipatie Sadaka Jaria itakayodumu milele.
Alone you can help, together we can make a difference (VID)
Open this link to VID members WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/D1SaZCid0VBKFfkBljbDH4
*Wajue Volunteers In Development*
Assalaam Alaykum
Volunteers In Development ( VID ) ni Jumuiya ilosajiliwa ya Wanawake yenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam.
Office zetu zipo Mburahati.
VID inajihusisha na kusaidia jamii.
Inasaidia:
✅Mayatima (elimu kuwanunulia mahitaji ya shule kila mwanzo wa mwaka, kuwalipia short course na vocational training.
✅Kuwapatia education counselling yatima wetu mara mbili kwa mwaka
✅kuwapatia vitabu vya kiada na ziada yatima wetu
✅Ramadan na Eid kuwapatia iftaar na nguo za Eid
✅Kusaidia wasiojiweza
✅Afya kuwapatia huduma za afya yatima waliopo kwenye database yetu ikiwemo kuwakatia bima kila inapowezekana.
Mwanamke yeyote popote alipo duniani anaweza kujiunga kuwa mwanachama wa VID. Wanaume tunawakaribisha kutuunga mkono na michango.
Ada ya mwanachama ni elfu 10 kwa mwezi.
Watu wote wanaweza kuchangia katika mfuko wa VID wake kwa waume.
Kwa Mawasiliano zaidi wasiliana na secretary wetu kwa namba hii:
0768587488
Kwa michango tu
VID Tigo number 0655 900 444
VID Mpesa + 255 768 587 488
24/03/2026
Assalaam alaykoum, Karibu kwenye kheir!
Volunteers In Development (VID)
~ Inspiring Orphans and The Needy.
*Mpesa lipa no. 52994606*
*Tigo lipa no. 22162201*
Tigo pesa *0655900444*
Mpesa *0768587488*
Airtel *0789407887*
*CHANGIA UJENZI WA JENGO LA WAQF LA VID COMMUNITY CENTRE! HII NI SADAQAT JAAARIYAH*
*ALONE YOU CAN HELP, TOGETHER WE CAN MAKE A DIFFERENCE*
Ungana nasi katika kusaidia jamii. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu 🫶💞.
21/03/2026
Eid Mubarak from VID 🌙✨
May Allah bless everyone who donated and supported us this Ramadhan season. May He accept your charity, reward your kindness abundantly, and fill your lives with barakah, peace, and endless kheyr. Taqabbal Allah minna wa minkum.
VOLUNTEERS IN DEVELOPMENT (VID)
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Magomeni Mapipa Wazani Street
Dar Es Salaam
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |