Strategis Insurance TZ

Strategis Insurance TZ

Share

TOTAL INSURANCE SOLUTIONS PROVIDER

HEAD OFFICE: 1ST FLOOF MASAKI IKON BUILDING. MASAKI AREA. SALES A

28/05/2026

One car had a bad day; the other has Strategis Insurance. Which one would you rather be?

Our comprehensive motor insurance doesn't just cover the basics it goes the extra mile to keep you with hope. Don't just drive, drive with confidence.

For more information call 0782 700 800 or 0778 100 222. Thank you.

26/05/2026

Kwa nini uhangaike na makaratasi wakati unaweza kumaliza kila kitu kwa sekunde chache kwenye simu yako? Sisi Strategis Insurance tumekusikia, na sasa tumesogeza huduma zetu za afya karibu na wewe kupitia Strategis Health App.

Kupitia Strategis Health App, utapata faida ya;
✅ kuangalia mwenendo wa matumizi ya bima yako ya Afya.
✅ Kutumia E-Card (Kadi yako ya kidijitali) hospitalini bila stress.

Ondokana na usumbufu, ingia kwenye ulimwengu wa kidijitali na Strategis leo!

Bofya link kwenye bio yetu uipakue sasa (iOS & Android).

25/05/2026

Kila hatua ya maisha yako ina thamani yake, na kila thamani inahitaji kinga.

Afya yako ni kitu cha msingi sana na inastahili kupewa thamani bila kujali rika.

Tumaini Plan ipo hapa kuhakikisha kuwa unamiliki bima yako sasa, bila kujali rika lako.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu kupitia 0782 700 800 au 0778 100 222 kwa maelezo zaidi na msaada wa haraka. Asante.

25/05/2026

Habari Dodoma!
Tunayo furaha kuwataarifu kuwa Ofisi zetu za Dodoma sasa ziko wazi Mtaa wa Uhindini, mkabala na Wizara ya Ujenzi. Tunakusubiri upate huduma bora za bima kwa uhakika.

Karibu Strategis Insurance.

20/05/2026

Long bills shouldn't mean a short bank balance.

Tumaini Plan by Strategis Insurance is here to make things easier for you. Protect your savings from unexpected medical expenses and enjoy the certainty of quality healthcare.

For more information call 0782 700 800 or 0778 100 222. Thank you.

18/05/2026

The best way to travel? With a safety net you can trust.

Strategis Insurance protects you on the road, ensuring that every destination is reached with peace of mind.

For more information call 0782 700 800 or 0778 100 222. Thank you.

15/05/2026

Tabasamu la uhakika linatokana na ulinzi thabiti!

Usiendeshe gari kwa wasiwasi. Jiunge na maelfu ya Watanzania wanaolinda magari yao na Strategis Insurance kupitia Vodacom.

Tunakuhakikishia huduma bora na ya kwa haraka pindi dharura inapotokea, ili uendelee kufurahia kila maili unayopiga.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie simu kupitia 0782 700 800 au 0778 100 222 kwa maelezo zaidi na msaada wa haraka. Asante.

13/05/2026

Strategis Insurance inakukaribisha katika mwendelezo wa Warsha ya Siku ya Mama.
Safari hii tunaangazia namna ya kuboresha afya ya mwili. Ungana na mtaalamu wetu, Dkt. Beatrice Mungi Matondo (Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake), akitupatia maarifa kuhusu mabadiliko ya homoni na nishati mwilini, Lishe na mazoezi kwa ustawi wa afya, Mbinu za kupona na kujitunza.

TAREHE: Alhamisi, 14 Mei 2026
MUDA: Saa 5:00 Asubuhi (EAT)
JUKWAA: Microsoft Teams
Meeting ID: 359 253 680 724 543
Passcode: Di9KB7EW

Jiunge nasi kwa maarifa yatakayokupa nguvu mpya na ustawi wa kudumu. Afya yako ndio kipaumbele chetu!

10/05/2026

To the woman who wears many hats and wears them all with grace.

Happy Mother’s Day!

05/05/2026

Kuwa mama ni safari nzuri, lakini mara nyingi huambatana na mzigo wa kifikra ambao hauna likizo. Strategis Insurance tunaamini kuwa kila mama anastahili msaada, si shukrani pekee.

Jiunge nasi katika mfululizo wa warsha yetu ya Siku ya Mama 2026 ambapo mtaalamu wa afya ya akili, Elna Maro, atatupa mwongozo wa jinsi ya kupata uwiano na kushughulikia mzigo wa kifikra kwa ustawi bora.

Tarehe: 06 Mei 2026 (Jumatano)
Muda: Saa 5:00 Asubuhi (EAT)
Jukwaa: Microsoft Teams
Meeting ID: 375 750 698 100 064
Passcode: mg7j3S33

Wewe ni muhimu. Ustawi wako ni muhimu. Tuweke kipaumbele afya ya akili kwa ajili ya familia imara na yenye furaha.

Want your business to be the top-listed Finance Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Plot 1520, 1st Floor – Masaki Ikon Building, Bains Avenue
Dar Es Salaam
7893

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Tuesday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Wednesday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Thursday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Friday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Saturday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00
Sunday 09:00 - 17:00
17:00 - 21:00