Bishop Dankton Rudovick Rweikila

Bishop Dankton Rudovick Rweikila

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bishop Dankton Rudovick Rweikila, Religious organisation, Chanika/Sheratoni, Dar es Salaam.

✝️ Our worship services:
Tuesday (16:00–18:00 – Women Fellowship)
Thursday (16:00–18:30 – Word of God, Prayer, and Intercession)
Sunday (8:00 AM–12:00 PM) – Sunday Worship Service.
📍https://maps.app.goo.gl/aA3Xtz9r54c2prURA

04/06/2026

🔥 KARIBU KWENYE MFUNGO WA MASAA 12 🔥
Jiunge nasi katika maombi maalumu ya kuombea ndoto na maono yako. Mungu afungue njia, akupe mwelekeo na kutimiza kusudi lake katika maisha yako.

📖 “Vijana wenu wataona maono, na wazee wenu wataota ndoto.” — Yoeli 2:28
Usikose kushiriki. Neema yako inakusubiri! 🙏

01/06/2026

UMEOMBA KITU GANI KWA WATOTO WAKO WANAPORITHI VITU KUTOKA KENYE UKOO WAKO

01/06/2026

TAZAMA UFUNUO HUU WA AJABU WENYE SIRI KUBWA NYUMA YA UKOO WAKO

01/06/2026

MAMBO MUHIMU MANNE YA KUTEMBEA NAYO MWEZI HUU WA SITA

01/06/2026

TAMBUA MAMBO MUHIMU MATANO YA HABARI NJEMA INAYOTOKA KWA MUNGU

01/06/2026
01/06/2026
01/06/2026
01/06/2026

✨ WIKI YAKO IMEBARIKIWA ✨

Katika wiki hii, Mungu akupatie habari njema itakayobadilisha maisha yako. Habari ya mafanikio, kufunguliwa, uponyaji, kuinuliwa na ushindi zikufikie kwa jina la Yesu.

📖 “Nawaletea habari njema ya furaha kuu...”— Luka 2:10

Wiki hii usikate tamaa, kuna habari njema njiani kwa ajili yako. Barikiwa na uwe na wiki yenye ushindi! 🙏🔥

31/05/2026

TAMBUA MWEZI WA SITA UMEBABA MAMBO HAYA

Want your place of worship to be the top-listed Place Of Worship in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Chanika/Sheratoni
Dar Es Salaam