Lab TZ Solutions
Lab Expert | Health & Business Educator
Nasaidia: Maabara, vifaa, vipimo vya nyumbani
Ndoto: Afya bora kupitia elimu na mifumo sahihi
KWANINI ASUBUHI NDIYO MUDA SAHIHI WA KUCHUKUA SAMPLE NA KUFANYIWA VIPIMO? ๐งชโฐ
๐ฌ Kisayansi:
Asubuhi mwili wako uko kwenye hali yake ya baseline (hali ya kawaida bila kuathiriwa na chakula, dawa au shughuli nyingi).
๐ Mifano halisi:
1๏ธโฃ Vipimo vya damu (FBP, Sugar, Lipid profile)
๐ Baada ya kula, sukari na mafuta ya damu hupanda kwa muda.
๐ Asubuhi (kabla ya kifungua kinywa) matokeo huwa sahihi zaidi.
2๏ธโฃ Vipimo vya homoni (Cortisol, Testosterone, TSH)
๐ Tafiti zinaonyesha homoni nyingi huwa juu zaidi asubuhi.
๐ Ukipima mchana au jioni โ matokeo yanaweza kupotosha utambuzi.
3๏ธโฃ Vipimo vya mkojo (Urinalysis)
๐ Mkojo wa kwanza wa asubuhi una mkusanyiko mzuri wa vijidudu, protini au sukari.
๐ Ndiyo maana hutumika sana kugundua UTI na matatizo ya figo mapema.
4๏ธโฃ Vipimo vya maambukizi (mf. malaria, infections)
๐ Asubuhi mwili haujachoka, hakuna interference ya dawa au shughuli โ sample bora zaidi.
๐ Kwa mujibu wa tafiti za kitabibu duniani:
Hospitali na maabara nyingi hupendekeza vipimo vifanyike asubuhi ili kupunguza false results na misdiagnosis.
๐ก Ujumbe wa mtaalamu:
Muda wa kupima ni muhimu sawa na kipimo chenyewe.
๐ฌ Je, umewahi kupima mchana ukapewa matokeo yaliyokuchanganya?
๐ Tuambie kwenye comment.
Vipimo Muhimu kufanya kabla ya kuanza au kufunga ndoa
Vipimo hivi ni muhimu kwa familia yani afya watoto na maelewano ya familia baadaye
Vipimo Muhimu kufanya Mama mjamzito pindi anzapo KLINIKI
1.BLOOD GROUP
2.MALARIA
3.MAGONJWA YA ZINAA
4.HIV
5.HEPATITIS B
6.MKOJO PROTEIN NA SUKARI
7.WINGI WA DAMU
8.USS
Unasikia maumivu ya viungo kila mara? โ ๏ธ Usichukulie poa.
Maumivu ya viungo yanaweza kusababishwa na gout, arthritis au maambukizi bila wewe kujua.
Vipimo vinavyosaidia kujua chanzo ๐
๐งช Rheumatoid Factor
๐งช Uric Acid
๐งช Full Blood Picture
๐งช Calcium & Phosphate
๐งช C-Reactive Protein
๐ Usivumilie maumivu bila majibu sahihi.
๐ฉ Tuma DM sasa kwa ushauri wa vipimo
15/01/2026
Full Blood Picture (FBP) / CBC
Ni kipimo cha damu kinachoangalia hali ya damu yako kwa ujumla na kusaidia kugundua magonjwa mbalimbali mapema.
Umuhimu wa Kipimo cha FBP:
1๏ธโฃ Huonyesha afya ya mwili kwa ujumla
2๏ธโฃ Husaidia kugundua upungufu wa damu (Anemia)
3๏ธโฃ Huonyesha dalili za maambukizi (infection)
4๏ธโฃ Husaidia kutambua magonjwa ya damu k**a leukemia
5๏ธโฃ Huonyesha upungufu wa virutubisho mwilini
Magonjwa Yanayoweza Kugundulika Kupitia FBP:
โ๏ธ Anemia (upungufu wa damu)
โ๏ธ Maambukizi mwilini
โ๏ธ Saratani ya damu (Leukemia)
โ๏ธ Upungufu wa sahani za damu (platelets)
โ๏ธ Upungufu wa maji mwilini
๐ Usisubiri kuumwa sana โ pima damu yako mapema.
๐ฉ Tuma DM au njoo maabara kwa ushauri na vipimo.
vya awali ambavyo unaweza kupima katika level ya kituo cha afya au hospital ili kujua hali yako ya figo na ufanyaji kazi wake.
Afya ni mtaji pima mara kwa mara, usitumie dawa bila kupima
Vipimo Muhimu vya awali ili kujua ufanyaji kazi wa figo zako
Mkojo,damu unaweza tambua katika hatua za awali kabisa
Dereva bodaboda katika ubora wake
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Arusha
Arusha