GOOD HOPE Training Center

GOOD HOPE Training Center

Share

GOOD HOPE TRAINING CENTER ikishirikiana na Good hope Ministry International imeandaa ufadhili mku

04/10/2015

• TUPO ARUSHA- KIKATITI MITA CHACHE KUTOKA KITUO CHA MAFUTA CHA NJAKE BARABARA YA SOKONI
• AU KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NASI KATIKA NAMBA ZA SIMU 0756064451 AU 0783085808

04/10/2015

GOOD HOPE TRAINING CENTER ikishirikiana na Good hope Ministry International imeandaa ufadhili mkubwa wa masomo kwa wahitimu kidato cha nne na kuendelea katika muhula mpya wa masomo katika kozi ya ualimu wa shule za mchepuo wa kiingereza ( English medium school) na kozi ya tour guide
o Chuo kinamjengea mwanafunzi uwezo wa kumudu mazingira mbalimbali ya ufundishaji
o Chuo kina waalimu bora na mazingira tulivu kwa kujisomea
o Chuo kinamjenga mwanafunzi katika maadili mazuri, kimwili na kiroho

OFA UTAKAZOPATA CHUONI;
• Mwanachuo atafundishwa kompyuta BURE
• Mwanachuo atafundishwa kifaransa na kiingereza BURE
• Mwanachuo ambaye hakufanikiwa kupata daraja zuri katika masomo ya sekondari atafundishwa masomo yote ya sekondari BURE
• GHARAMA ZA CHUO
• Ada kwa mwanafunzi wa kutwa kwa muhula ni shilingi 200,000/-(laki mbili tu) na shilingi laki nne kwa mwaka. Pia nafasi za bweni zinapatikana.

Want your school to be the top-listed School/college in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address


P. O. Box 596
Arusha